Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Mzee wa visasi...ndo anamfanyizia sasa!
 
Watanzania wanapaswa kuwa na utu na ubinadamu sasa ili wasaidie kuukataa Uonevu wa Mtukufu badala ya kushangilia kila akiwakomoa watu.
Wewe ni zaidi ya mbwa koko!
 
Kuna kitu unakitafuta wewe!!
 
Huyu Hans Poppe si ndio yule Mhaini ambaye alitaka kumuua Nyerere na kuipindua serikali akahukumiwa kifungo cha maisha kasha akaja kuachiwa na Rais Mwinyi???
Ndo sasa Baba Bashite ajue aina ya mtu anayepambana naye...huyu ni retired Military officer aliyewahi kuwaza kumpindua Rais wa nchi, tena Nyerere, na almanusura afanikiwe...he can still do it....tena kwa huyu kiberenge ni rahisi tu!
 
Wasiojulikana wako wapi
 
Wote lake oil, gsm and the like wanashugulikiwa kimya kimya ni suala la muda tu yote yatakuwa hadharani. Kinachoniuma zinazoumia ni nyasi (kama wafanyakazi wanaopoteza ajira, mfano mo juzi amelay off wafanyakazi kibao wa kiwanda cha mafuta kutokana na kubamizwa kodi kufuru ya mafuita ghafi). Kinachoboa Zaidi tukisimama majukwaani tunajinasibu kwamba sisi ni serikali ya wanyonge, ni wanyonge wapi hao hawa hawa tunaosababisha wapoteze ajira kutokana na bifu zetu binafsi zisizokuwa na sababu?
 
Ndo sasa Baba Bashite ajue aina ya mtu anayepambana naye...huyu ni retired Military officer aliyewahi kuwaza kumpindua Rais wa nchi, tena Nyerere, na almanusura afanikiwe...he can still do it....tena kwa huyu kiberenge ni rahisi tu!
Mtukufu malaika toka chato akumbike walikuwepo makaburu wa Afrika Kusini, Bokasa, Mabutu, idd Amin, Chiluba, Abacha, Sadam Husein, Gadafi na wenzao wanyama na madikteta Hatari kuliko yeye na Naibu Rais wake Bashite Maliyamungu leo hii wapo wapi? Malipo ni hapa hapa Duniani hakuna ubaya usiokuwa na mwisho.
 
Kule NSSF kazuia ujenzi kisa aliwahi kugombana na mtu aliyepewa tenda ya kujenga zile nyumba, huku aliyetoa tenda kampa Ubalozi ni Aibu watu wanakosa ajira kisa Visasi Visasi vya kishamba toka kolomije na chato
 
Duuuh!!! Sijui kwanini hatukuwasikiliza hawa, ndio anamshughulikia Hanspope kwa kauli ya 2013!!!
 
Reactions: SDG
Duuuh!!! Sijui kwanini hatukuwasikiliza hawa, ndio anamshughulikia Hanspope kwa kauli ya 2013!!!
Mkuu Visasi Visasi vimewatafuna wengi hata Yusuph Manji alipigwa kwa Visasi vya zamani na sasa anawasaka Risasi rostam Aziz na wenzake kwa bidii ili awakomoe ni hatari na Aibu kufanya kazi kwa Visasi.
 
Hahahahaha... kumbe na chat na kichaa anaitwa ushuzi....!! Basi bwana
 
Visasi vya Mtukufu malaika toka chato ni hatari kubwa ni wakati wa kuvikataa kwa nguvu na ikibidi Duniani kote wajue Nchi inaongozwa kwa visasi.
Mungu anatambua kisasi ni haki ya kila MTU kulipa kisasi japo si jambo jema
 
Reactions: SDG
Ndo sasa Baba Bashite ajue aina ya mtu anayepambana naye...huyu ni retired Military officer aliyewahi kuwaza kumpindua Rais wa nchi, tena Nyerere, na almanusura afanikiwe...he can still do it....tena kwa huyu kiberenge ni rahisi tu!
Hana jeuri hiyo mchumba tu. Na inaonekana hujui sababu za mapinduzi nyakati hizo. Someni historia watoto mange ana wafanya mchukie nchi yenu na viongozi
 
Duuh kumbe ni toka zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…