Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza kwanini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.

Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.

Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.

Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.

Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho.

Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Mzee wa visasi...ndo anamfanyizia sasa!
 
inasemekana alikaa sehemu kwenye mazungumzo akamponda Mtukufu malaika toka chato kumbe kulikuwa na mpambe akamrecord akampelekea kila kitu ndipo Mtukufu magufuli akasema tafuta upenyo lazimisha foji hata sahihi yake aingizwe kwenye hiyo kesi kwa nguvu, kisha akiwa jela wamuongezee kesi zingine nyingi zaidi, Visasi vya namna hii havina tija kwa Taifa na havileti maendeleo kamwe.
Kuna kitu unakitafuta wewe!!
 
Huyu Hans Poppe si ndio yule Mhaini ambaye alitaka kumuua Nyerere na kuipindua serikali akahukumiwa kifungo cha maisha kasha akaja kuachiwa na Rais Mwinyi???
Ndo sasa Baba Bashite ajue aina ya mtu anayepambana naye...huyu ni retired Military officer aliyewahi kuwaza kumpindua Rais wa nchi, tena Nyerere, na almanusura afanikiwe...he can still do it....tena kwa huyu kiberenge ni rahisi tu!
 
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza kwanini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.

Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.

Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.

Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.

Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho.

Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Wasiojulikana wako wapi
 
ipo List ndefu ya kukomolewa na Mtukufu malaika toka chato hataki kusikia wale waliokuwa wakimpinga wapo Uraiani wanatembea, kaamua kuwa Rais mpenda kesi kesi kutwa kuwabambikia kesi Wapinzani na sasa wafanyabiashara kama alivyomnyanyasa Manji na wengineo kimya kimya wakiwemo akina Dewji baba yake MO Mohamed Dewji na wenzao.

Wote lake oil, gsm and the like wanashugulikiwa kimya kimya ni suala la muda tu yote yatakuwa hadharani. Kinachoniuma zinazoumia ni nyasi (kama wafanyakazi wanaopoteza ajira, mfano mo juzi amelay off wafanyakazi kibao wa kiwanda cha mafuta kutokana na kubamizwa kodi kufuru ya mafuita ghafi). Kinachoboa Zaidi tukisimama majukwaani tunajinasibu kwamba sisi ni serikali ya wanyonge, ni wanyonge wapi hao hawa hawa tunaosababisha wapoteze ajira kutokana na bifu zetu binafsi zisizokuwa na sababu?
 
Ndo sasa Baba Bashite ajue aina ya mtu anayepambana naye...huyu ni retired Military officer aliyewahi kuwaza kumpindua Rais wa nchi, tena Nyerere, na almanusura afanikiwe...he can still do it....tena kwa huyu kiberenge ni rahisi tu!
Mtukufu malaika toka chato akumbike walikuwepo makaburu wa Afrika Kusini, Bokasa, Mabutu, idd Amin, Chiluba, Abacha, Sadam Husein, Gadafi na wenzao wanyama na madikteta Hatari kuliko yeye na Naibu Rais wake Bashite Maliyamungu leo hii wapo wapi? Malipo ni hapa hapa Duniani hakuna ubaya usiokuwa na mwisho.
 
Wote lake oil, gsm and the like wanashugulikiwa kimya kimya ni sula la muda tu yote yatakuwa hadharani. Kinachoniuma zinazoumia ni nyasi (kama wafanyakazi wanaopoteza ajira, mfano mo juzi amelay off wafanyakazi kibao wa kiwanda cha mafuta kutokana na kubamizwa kodi kufuru ya mafuita ghafi). Kinachoboa Zaidi tukisimama majukwaani tunajinasibu kwamba sisi ni serikali ya wanyonge, ni wanyonge wapi hao hawa hawa tunaosababisha wapoteze ajira kutokana na bifu zetu binafsi zisizokuwa na sababu?
Kule NSSF kazuia ujenzi kisa aliwahi kugombana na mtu aliyepewa tenda ya kujenga zile nyumba, huku aliyetoa tenda kampa Ubalozi ni Aibu watu wanakosa ajira kisa Visasi Visasi vya kishamba toka kolomije na chato
 
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza kwanini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.

Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.

Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.

Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.

Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho.

Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Duuuh!!! Sijui kwanini hatukuwasikiliza hawa, ndio anamshughulikia Hanspope kwa kauli ya 2013!!!
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Mkuu Visasi Visasi vimewatafuna wengi hata Yusuph Manji alipigwa kwa Visasi vya zamani na sasa anawasaka Risasi rostam Aziz na wenzake kwa bidii ili awakomoe ni hatari na Aibu kufanya kazi kwa Visasi.
 
Upo tumboni mwako umekutia njaa umejitoa fahamu zote sasa ni Ushoga, changudoa, Daima yaani kirefu cha UCD ingawa kipo kingine mbaya zaidi ukiendelea na ufala wako nitaendelea kukupa kirefu cha UCD cha kila Aina mpaka ufukuzwe huko Gheto ulikopakatwa na Cyprian msiba.
Hahahahaha... kumbe na chat na kichaa anaitwa ushuzi....!! Basi bwana
 
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza kwanini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.

Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.

Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.

Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.

Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho.

Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Visasi vya Mtukufu malaika toka chato ni hatari kubwa ni wakati wa kuvikataa kwa nguvu na ikibidi Duniani kote wajue Nchi inaongozwa kwa visasi.
Mungu anatambua kisasi ni haki ya kila MTU kulipa kisasi japo si jambo jema
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ndo sasa Baba Bashite ajue aina ya mtu anayepambana naye...huyu ni retired Military officer aliyewahi kuwaza kumpindua Rais wa nchi, tena Nyerere, na almanusura afanikiwe...he can still do it....tena kwa huyu kiberenge ni rahisi tu!
Hana jeuri hiyo mchumba tu. Na inaonekana hujui sababu za mapinduzi nyakati hizo. Someni historia watoto mange ana wafanya mchukie nchi yenu na viongozi
 
Mhazini wa TATOA ambacho ni chama cha wenye malori Tanzania amemwita Magufuli ni mtu asiyejua na ambaye ana chuki kubwa kwa transporters na angeweza angewaondoa wote nchini kwa tuhuma za kufikirika kuwa wanaharibu barabara.

Amekwenda mbali zaidi kwa kusema anafikiria kuwa Magufuli anafanya makusudi ili apate mgao wake wa rushwa. Hii ni kwa sababu amewaagiza wafanyakazi wa mizani ya Iringa wawatoze faini wenye malori na kuuliza kwanini faini zinapungua. Hans Poppe anasema faini zinapungua kwa sababu transporters wamekuwa compliant so hawatakiwi kutozwa faini ovyo.

Amesema Magufuli ndio Waziri wa ovyo kuliko wote kwa kuendesha uongozi wa vitisho na amri za ovyo na kwamba mainjia wote wanamwogopa sana na wanasema hivyo.

Anasema ingawa Magufuli si injinia lakini elimu yake inatosha kutoa mwongozo mzuri ila anafanya makusudi.

Amesema amri ya Magufuli kuondoa tolerance ya 5% katika uzito wa mizigo ni kinyume cha sheria kwani hiyo ni sheria au taratibu iliyowekwa tokea zamani wakati Magufuli bado anasoma.

Kwa hitimisho wameamua kusimamisha malori yote kutofanyakazi kuanzia kesho.

Hii imetoka katika mahojiano na ITV 5 minutes ago. Ipo kazi!
Duuh kumbe ni toka zamani
 
Back
Top Bottom