Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Ushauri wangu aendelee kupumzika alipo hadi itakapoamriwa vinginevyo.Aangalie mfano wa akina kitilya,malinzi,ruge,singasinga n.k.Potea kabisa Hanspope.
 
Hans Poppe ni commando,huwezi kumpata kijinga jinga.
Yani mkurugenzi wa takukuru kaapishwa juzi tu eti Leo Hans anatafutwa,what a coincidence?
Rigged whitch hunt!
Tunajenga taifa la hofu! Kosa la madai ya kodi tena kwa taasisi ya mpira, Halina uwiano na tamko Kamanda Takukuru kumtafuta MTU kama gaidi!?Ushauri wangu kama Kuna hoja binafsi kupishana na mkuu zamani ,sisi wakristu tunaaswa kusamehe 7*70! IPO Hatari tukawapoteza Watanzania wenzetu kwa kuhamisha biashara zao.
 
Yuko DR Congo ana kibarua cha kufundisha waasi

Sijui yuko wapi lakini kama bado yuko hai atakuwa amezeeka sana

Eugine Maganga ni marehemu kwa sasa. Aliugua ugonjwa wa kisukari na baadaye kufariki. Apumzike kwa Amani.

Mhhhh naanza kuelewa kitu, kadego =DRC waasi, Hans = Tanzania malori DRC, kagame = Maslahi Rwanda..hahahaha
 
Duh, kumbe kimbembe kilianza kitambo
 
Eti zawadi nono itatolewa kwa mtu atakayefanikisha kukamatwa alipo Hans Poppe,what a joke?
Halafu wanajua alipo Ila kumkamata ndio hawawezi.
Ngoja niwape clue,yuko Israel,Tel Aviv nendeni mkamchukue.
Hans Poppe alikuwa rafiki mkubwa wa Yoni Netanyahu (mdogo wa Benjamin Netanyahu)who commanded the Israel elite commandos in Operation Entebbe.Iddi Amin Dada angekuwa hai angewasimulia kidogo.
Kila la heri,I have given you the location.
 
Wewe mukubwa mbona umetuchimba mkwara kiasi hicho?
 
Wewe siyo mpenzi wa simba
 
Haya sasa Bwana Hans Poppe pambana na hali yako.
Usiyempenda kaja, japo inauma nakushauri vumilia tu
Wekeni akiba maneno yenu, hatimaye Magufuli is fighting a former military officer, tena mtu pekee aliyethubutu kuwaza na kujaribu kumpindua Rais Nyerere - he is not just another guy you know ...and he hasn't lost his love for the trigger u know...and he hasn't lost his class you know....sasa wekeni akiba maneno yenu! Hamjiulizi tu Magufuli alikosaje kumkamata? Tulieni
 
kumbe tatizo lao limeanzia mbali hivyo?
 
Mkuu kumbe kufukua makaburi waweza kukutamo marehemu alizikwa na tofari la dhahabu ikawa ni faida, kuliko ambavyo kila mtu hulaani kufukua makaburi akiangalia mambo hasi pekee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…