Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Hans Poppe wa TATOA amchambua Magufuli

Hans yu sahihi, mr Pombe anakurupuka sana.anashangaa mizani iringa kuwa na faini ndogo.ni ---- sana. Kuna mizani ngapi mpaka unafika iringa bado utegemee gari liwe overloaded!shame on him alitakiwa kuwapongeza
Kumbe hajaanza Leo kukurupuka
 
Huyo HANS POPE ni -------- tu, kama wakigoma wagome wao, hata hivyo malori kutoka nje yanaendelea na safari. Na nyinyi munompa kichwa na kumsifia HANS POPE ni wapuuzi tu, inawezekana hamumujui magufuli. Ngoja niwape mfano mdogo wa mjinga mmoja aliyekuwa na kiburi na dharau kama HANS POPE jinsi magufuli alivyo mfanya kitu mbaya.....

Kuna jamaa mwarabu mmoja anaitwa Zakheimu alikuwa mkandarasi mkubwa sana hapa nchini, siku moja wakandarasi wakaandaa mkutano na magufuli akaalikwa kama mgeni, kilichotokea ni kwamba MAGUFULI alichelewa kufika kwenye mkutano, MAGUFULI alipofika kwenye mkutano yule ZAKHEIMU akamfuata MAGUFULI na kuanza kumtukana nanukuu "yaani waziri mzima unachelewa kwenye mkutano sikutegemea kama waziri unaweza kuwa na akili ya ajabu kiasi hiki na hatukutaki tena kwenye mkutano" Magufuli akamjibu ZAKHEIMU nanukuu "wewe mwarabu unatoa wapi jeuri ya kunitukana mimi waziri tena wewe ni mgeni ndani ya hii nchi, sasa tutaona, nahakikisha kuanzia leo kampuni yako haipati kandarasi au tender yoyote labda ya kutengeneza bara bara za mtaa, labda mimi sio magufuli nakuapia" tokea hapo mpaka leo kampuni ya ZAKHEIMU imekufa na nasikia siku hizi ZAKHEIMU ameamua kuokoka. Zamu ya huyo kibaraka HANS POPE inakuja, kumbukeni magufuli haonei mtu bali anasimamia sheria na ndicho kinachotakiwa kwa kiongozi bora "utawala wa sheria"
Duuh magu mtu wa visasi kitambo
 
Mimi simuungi mkono Magufuli hata kidogo kwani hata yeye anadharau sana na amri zake za kiimla.Umedharau utadharaulika pia this is principle kwani yeye nani.Mizani zinapima tofauti na watu wanapigwa faini ilo analisemeaje.Walitoka watu wa wizara,Tatoa na wa mizani wakaondoka na magari yakapima tofauti kibaha,Chalinze,Msata na makambako gari iloilo hii imekaajae.Lori la mafuta linapima kila mizani huu si uhuni na kuwatesa kwa foleni bila sababu ya msingi.
Dharau kumbe tangu zamani
 
Natamani taifa langu lingekuwa na Rais na Mawaziri wote including Prime Minister aina ya Magufuli...Tungeshanyoka
Bila watu wa aina hiyo maendeleo tutayasikia redioni na kuyataeama kwenye TV.
tumeshanyooooka mkuu
 
Mbona umeandika utumbo? Kwani hiyo sheria inayoruhusu 5% tolerance kaitunga Hanspope? Kama kipenzi chako Gufuli anasimamia sheria basi alitakiwa kusimamia hii iliyopo na sio kuleta ya kwake. Labda hujui sheria haitungwi na mtu mmoja(waziri). Hakafu mfano wako huo wa kitoto wa huyo mwarabu kunyimwa kandarasi unasaidia nini nchi!! Huo ni ubabe tu ulitumika ambao wewe unaita ndio utawala bora wa sheria!!!!
Ubabe kitambo kumbe
 
TATOA, kile chama cha wenye malori, kimesema "Magufuli alipaswa kupelekwa kwenye propaganda za chama kwa sababu ndio sehemu inayomfaa kwa ajili ya kupiga propaganda na sio kuwa waziri".
Pia wanajiandaa kumpeleka mahakamani kwa kuwaletea hasara.
Source: Gazeti la Mwananchi tarehe 12 Oktoba
Duh kumbe alizoea kupiga propaganda
 
Wajinga watakupinga ila hii ni kweli. Design ya sasa ya highways inalenga maximum loading in a sense ukizidisha uzito unaharibu gari yako mwenyewe na si barabara. Hapa kuna uchakachuaji mkubwa. Huyu jamaa ni mtu wa ajabu sana kila maamuzi yake ya ajabu lazima yaligharimu taifa
1. Meli ya samaki bahari ya Hindi tumevuna nini zaidi ya hasara?
2. Bomoa bomoa?
3. Mizani ni zaidi nadhani kila m2 amesikia loss yake.
The issue is they are constructing roads below the design std ndo maana anabweka hovyo. Ngapi zinatitia hovyo kabla hata ya robo ya design life? Chalinze - Segera, Minjingu - Singida nk. Aibu. Mimi siko KISIASA. Mwenye macho na aone
Huku tuna msala wa 1.5T
 
Magufuli ni boot leaker tu. Amevurunda mara nyingi sana kuliko mawaziri wengi. Mara ngapi Pinda kapindua maamuzi mabovu ya Magufuli? Kama Magufuli asingekuwa mchumia tumbo tu angejiuzuru siku nyingi kwa kudhalilishwa mbele ya umma na kuvuliwa nguo hadharani kwanza na TATOA then na Waziri Mkuu Pinda.
Watu wengi wanadhani ukipiga kelele sana ndio ushahidi kuwa unajua kazi sana. Magufuli ni mweupe kabisa! Huwa najisikia vibaya sana nikimwona Magufuli akiramba viatu vya Kikwete mbele za watu bila hata tone la aibu! Mwanaume mzima! Baba mwenye watoto nyumbani! Mimi ningemkana kuwa baba yangu mtu kama Magufuli. Hakuna waziri yeyote anayemzidi Magufuli kwa kujikomba!
Naona kujikomba ni stahili mpya pale Lumumba
 
Back
Top Bottom