Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
sana ukiruhusu huo mfumo ni rahisi sana kuchezewa na hapo ndio uchochoro kwa wakwepa kodiKwa hiyo jamaa katuona sie mambususu tuu
kaa kimya hujui kituWe ni mjinga…laki 5 ikatwe kodi ila milion 200 za wabunge hazikatwi kodi wala mishahara ya marais wenu hakuna kodi..
Vipi kuhusu mapato ya VAT yatakayoongezeka kwa spending power ya hao watu kuongezeka?Tatizo hao wanaolipwa laki tano na chini ninwengi sana kiasi wasipokatwa kodi serikaki itapunguza mapato sana.
Hivyo, hiyo kodi ama itafutwe kwa wanaoliowa zaidi, ama serikaki ipunguze matumizi.
Hapa panatakiwa uchakataji wa namba kuangalia quantitative analysis.
Kuongezeka kwa VAT na corporate tax kwa sababu watu watafanya manunuzi zaidi na biashara zitakuwa zaidi.Tatizo kila atakaeulizwa tusipokata hizo funds zitakuwa replaced na mapato gani mapya hakutakua na majibu
Akilewa mademu VAT inaongezeka kwa serikali.Mtanzania ni kama punda, bila bakora haendi.
Unaweza ukampa msamaha wa kodi, hela akaiona nyingi akaanza kulewa na mademu.
Yote hayo yanahitaji quantitative analysis, number crunching, models, beta testing on a small scale before a countrywide rollout.Vipi kuhusu mapato ya VAT yatakayoongezeka kwa spending power ya hao watu kuongezeka?
Kwenye kanuni za uchumi wowote duniani consumer spending ndio component muhimu zaidi yenye impact kubwa zaidi katika GDP.Yote hayo yanahitaji quantitative analysis, number crunching, models, beta testing on a small scale before a countrywide rollout.
Swali la kwanza ni kwamba, Watanzania asilimia ngapi wanaliopwa 500,000 na chini?
Hao ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote?
Mapato ya serikali asilimia ngapi yanatokana na kodi zao?
Unaweza kuwa na nia nzuri ya kuwapunguzia mzigo hao kwa kuwaondolea kodi, ukajikuta unawaondoa walipa kodi 80%.
Ni aibuIla hii mishahara ukiibadili kwa dola ni vichekesho vitupu.
Kabisa lazima deep analysis ifanyike ila kiuhalisia 80% ya employee wanalipwa hiyo 500k.Yote hayo yanahitaji quantitative analysis, number crunching, models, beta testing on a small scale before a countrywide rollout.
Swali la kwanza ni kwamba, Watanzania asilimia ngapi wanaliopwa 500,000 na chini?
Hao ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote?
Mapato ya serikali asilimia ngapi yanatokana na kodi zao?
Unaweza kuwa na nia nzuri ya kuwapunguzia mzigo hao kwa kuwaondolea kodi, ukajikuta unawaondoa walipa kodi 80%.
Ukaufanya mfumo usiwe sustainable.
Hata hiyo consumer spending inabidi ufanye projections zilizokuwa based kwenye quantitative analysis na realistic models.Kwenye kanuni za uchumi wowote duniani consumer spending ndio component muhimu zaidi yenye impact kubwa zaidi katika GDP.
Unaona sasa, hiki ndicho nilikuwa nahofia.Kabisa lazima deep analysis ifanyike ila kiuhalisia 80% ya employee wanalipwa hiyo 500k.
Wakuu
Mbele ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul Group, Satbir Singh Hanspaul amependekeza mwananchi anayepokea mshahara wa laki tano kushuka chini asikatwe kodi.
Hanspaul ameyasema hayo siku ya Jumatano, Januari 08, 2025 katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa kampuni wa Kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 uliofanyika katika Serena Hotel, Dar es Salaam.
View attachment 3195925
Wala hauhitaji analysis ya kina sana kujua Watanzania wengi hawajafikia level ya kufanya saving kuwa kipaumbele. Watu ambao majority bado wanaishi kwenye makazi duni, usafiri wa shida, maji ya shida, wanapenda kujenga zaidi nyumba zao wenyewe kuliko kupanga n.k wata save ya nini ikiwa kipato chao kitaongezeka hata kidogo tu!Hata hiyo consumer spending inabidi ufanye projections zilizokuwa based kwenye quantitative analysis na realistic models.
Unaweza kuondoa kodi ukifikiri utawaongezea discretionary spending income watu na wata spend na ku generate economic activity, lakini kumbe watu wako ni conservatives sana, ile extra income wana save, hawatumii.
This is why you need quantitative analysis and realistic modeling
Isamehe kodi ya mapato, hao watu wanalipa kodi nyingine nyingi kama za VAT kwenye bidhaa, huduma za simu, benki n.kUnaona sasa, hiki ndicho nilikuwa nahofia.
Kama uko sahihi, hapo maana yake serikali isamehe kodi kwa 80% ya employees.
How sustainable is that?
Tatizo hao wanaolipwa laki tano na chini ninwengi sana kiasi wasipokatwa kodi serikaki itapunguza mapato sana.
Hivyo, hiyo kodi ama itafutwe kwa wanaoliowa zaidi, ama serikaki ipunguze matumizi.
Hapa panatakiwa uchakataji wa namba kuangalia quantitative analysi
Unahitaji analysis kujua asilimia ngapi ya wafanyakazi Tanzania wanalipwa sh 500,000 au chini.Wala hauhutaji analysis ya kina sana kujua Watanzania wengi hawajafikia level ya kufanya saving kuwa kipaumbele. Watu ambao majority bado wanaishi kwenye makazi duni, usafiri wa shida, maji ya shida, wanapenda kujenga zaidi nyumba zao wenyewe kuliko kupanga n.k wata save ya nini ikiwa kipato chao kitaongezeka hata kidogo tu!
Unahitaji quantitative analysis kufanya break down ya cost / benefit analysis na point of diminishing returns ya taxation katika Arthur Laffer's Curve.Isamehe kodi ya mapato, hao watu wanalipa kodi nyingine nyingi kama za VAT kwenye bidhaa, huduma za simu, benki n.k
Haya sio mambo ya majaribio au nadharia tu kama ujamaa ulioshindwa duniani kote. Tayari kuna mifano chungu nzima ya kuonyesha jinsi gani tax cuts na minimum regulations vina faida nyingi zaidi kiuchumi kwa nchi kuliko kinyume chake.Unahitaji quantitative analys, empirical data tracking.
Si nadharia za kiitikadi na kanuni za kukariri za political science.
Hizo tulishazijaribu kwenye Ujamaa zikatuangusha.
Kama hujafanya quantitative analysis na empirical data by definition hayo ni mambo ya nadharia tu.Haya sio mambo ya majarubio au nadharia tu kama ujamaa ulioshindwa duniani kote. Tayari kuna mifano chungu nzima ya kuonyesha jinsi gani tax cuts na minimum regulations vina faida nyingi zaidi kiuchumi kwa nchi kuliko kinyume chake.