Hanspaul: Mshahara wa Laki 5 usikatwe Kodi


Unawabana kwa sheria na kanuni. Spending power ikiongezeka hela itazunguka haraka na employers hawatokuwa wagumu kutoa mishahara mizuri.
 
Kuongezeka kwa VAT na corporate tax kwa sababu watu watafanya manunuzi zaidi na biashara zitakuwa zaidi.
Corporates nnavyowajua ku counter balance watapandisha bei na kupunguza wafanyakazi kwasababu it's natural when you increase price kuna wateja utapoteza hence retrenchment.
 
Napendekeza walimu wote wasikatwe kodi
 
Mpumbavu mkubwa wewe!!
 
Pia wenye mshahara wenye sifa ya kukatwa kodi, baada ya makato (yasiyo ya mikopo) takehome yao isiwe chini ya mshahara wa asiyekatwa kodi ili twende sawa, si ndiyo wajumbe?!
 
Acha uongo asee kama vile raia wote mbumbumbu.
 
CCM hawawezi kukubali maana maisha ya viongozi hugharamiwa na Kodi zitokazo Kwa watu wenye kipato Cha chini.Ajabu rais,makamu,spika,na baadhi ya wakurugenzi wa taasisi ambao wanajilipa mishahara mkubwa na marupurupu mengi yasiyo na utaratibu wa kueleweka hayakatwi Kodi
 
yote tisa kila nikiangalia salary slip ya mwanangu mmoja home boy ni kilio. after makato paye, nhif, loanbod, watumish saccos n.k anabakk na sh 290k .if paye ingekua 1% labda jamaa angekaua nafuu
 
Huyu dogo ashakuwa mkurugenzy Mtendaji?
unafikir hawa wanarithishana kaz.siku zote na yakijikita kwenye biashara flan ndio hio hio kuanzia babu mpaka mjukuu.kama ni construction masinga singa utayakuta kina har sigh.garej ndio hayo majamaa
 
Kabisa lazima deep analysis ifanyike ila kiuhalisia 80% ya employee wanalipwa hiyo 500k.
Hata kama ni 100% ishu ni jambo lifanyiwe analysis yakutosha. Kuto wakata hiyo PAYE itasaidia sana kukuza uwezo wa kutumia wa watu wengu. Kama analysis ikipigwa na kuna faida kubwa kufanya hivyo kuliko hasara basi jambo lifanyike......

Issue ya purchasing power ni muhimu sana kuingalia kwa umakini sana.
 
Kama kusamehewa tusamehewe wote Kama kutozwa tutozwe wote.

Msilete double standard hapa
Hoja sio double standard ijapokuwa hadi sasa ipo. Ukweli ni kwamba TRA haina ubunifu. Kila mwaka vyanzo vya mapato ni vilevile tu. Hakunavwatu wanaoumia nchi hii kwa kodi kama wafanyakazi. Mshahara anakatwa kodi, akianzisha kaduna analipia kodi, akinunua bidhaa analipa kodi. Mfanyakazi analipa kodi hata mara 10 lakini kuna wafanyabiashara hawalipi kodi. Lakini pia nchi imekuwa ya udalali na madalali hawakipi kodi. Hebu fuatilia hawa watu wana vipato vikubwa lakini kodi hawalipi:
1. MC
2. Madalali
3. Wapiga debe
4. Wanasiasa
5. Wafugaji nk.
 
Ndio maana akashauri ku spread tax base,kama nimemuelewa vizuri anachomaanisha.

Tusikariri vyanzo vya kukusanya(mapato) kodi vile vile tokea mwaka hamsini kweusi.
 
Ndio maana akashauri ku spread tax base,kama nimemuelewa vizuri anachomaanisha.

Tusikariri vyanzo vya kukusanya(mapato) kodi vile vile tokea mwaka hamsini kweusi.
Sawa, hata hiyo nayo inahitaji quantitative analysis ili kama tunaongeza tax base, tujue tutaongeza wapi, kwa kufanya nini, etc.

Chochote kike utakachotaka huwezi kukimbia kazi ya kufanya quantitative analysis na kuangalia models kwa empirical data.
 
Sawa, hata hiyo nayo inahitaji quantitative analysis ili kama tunaongeza tax base, tujue tutaongeza wapi, kwa kufanya nini, etc.

Chochote kike utakachotaka huwezi kukimbia kazi ya kufanya quantitative analysis na kuangalia models kwa empirical data.
Nakubaliana na wewe, kwa kukiri siyo suala la kukurupuka kufanyike analysis ya kutosha kwa vyanzo vipya vya uhakika vya mapato na kodi ili tuondoke kwenye kukariri vyanzo wa mapato vya miaka mingi.
 
Kuondoa kodi kwenye huo mshahara, hiyo ni ngumu sana laabda kwa ubishani sana wapunguze % za kukatwa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…