Hao kwenye picha wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha

Kwa hiyo,ile Israeli tunayoisoma kwenye torati/agano la kale(waislamu kwa wakristu)ilikuwa wapi kieneo/geographical location?
 

Imamu hussein alikua ni nani? Na nani alimuua? am interested kufahamu maana leo humu hili jina nimekutana nalo sana
 
Kwa hiyo,ile Israeli tunayoisoma kwenye torati/agano la kale(waislamu kwa wakristu)ilikuwa wapi kieneo/geographical location?
Achana na Hizo story za uongo za kwenye vitabu vya dini(ni illogical)
Tuanzie mwaka 1948.
Kabla ya mwaka 1948 hao wakina NETANYAHU walikuwa wapi, Je.. Palestine ilikuwa tupu.
 
20s ameshika smartphone
 
Wametokea Syria huko na Iraq, mbona biblia ipo wazi kuwa hapo Canaan (Israel ya sasa) walivamia tu baada ya kuchinja wenyeji.
Walipoondoka kuelekea nchi zingine walitokea nchi gani?Na unadhani kwa nini hawakurudi Syria au Iraq,wakaelekea walipo sasa?
 
Hukukuwahi kuwepo kwa taifa la Kipalestina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…