Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen,Asante kwa ujumbe mzuri!!
.Mungu yupo.
Anajifunuwa Kwa wenye moyo wa unyenyekevu na safi
Na anavutiwa na watu wenye Imani , ukisubiri mpaka umuone utakuwa ushachelewa.
Kuanzia naomba unitajia amri zote za Mungu siyo miungu au amri za makanisa.Dhambi ni kitu kibaya,
Soma ujumbe vema
Kwanza nimeguswa na hoja zako,Kuanzia naomba unitajia amri zote za Mungu siyo miungu au amri za makanisa.
Je, ulishakwenda na kurudi toka mbinguni ukakuta walevi na wazinzi wanateseka?
Vipi waongo na wanaojiita manabii wakati manabii walishamaliza kazi hawa wapo wapi?
Je, wavivu wa kutafuta kazi na kubakia kudandia kazi rahisi za kudanganya watu, hao watafikia wapi?
Wale wanaopaka watu mafuta ya ng'ombe na kusema ni uponyaji, maji ya mtoni na vikombe je hao vipi wanakwenda mbingu ipi??
Nasubiri majibu tafadhari.
Hizo nafasi za kipekee mbinguni ni zipi?
kiukweli kwenye dunia ambayo nimezaliwa na kukuta karibia watu woteeee wanaonizunguka wanafanya dhambi na imekuwa kama destuli mimi ni nani nisifanye pili huu ulimwengu nimeukuta wala sijawahi ona mwingine zaidi ya huu kwaiyo hayo yanaofata sidhani kama yananihusu pia Mungu sidhani kuwa anaongea na sisi maana nilikuwa namwomba anioneshe huko mbinguni au motoni na hakuna kilichotokea so ilive as i want mpaka pale litakapotokea jambo la kuniminisha ...
Hiro ni kweri mkuhu...mbiguni ni maari ambapo tunapasa kupapiganiha tuhede uko.
Aleluya mtomeshi.
Naona hujanijibu maswali yangu. Amri kuu alitupa je, hiyo amri mbona haina hivi vyote unavyogusia kuhusu ulevi, uzinzi na vingine. Mbona Yesu hakuhukumu mtu yeyote hata watesi wake?Kwanza nimeguswa na hoja zako,
Hasa kuhusu yanayoendelea NYAKATI HIZI, inasikitisha,
Kuhusu amri Soma,
Luka 10:27
Yesu kristo Akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote na kwa akili yako yote. Na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.”
Ningependa ufahamu kuwa yesu kristo hakuwacha Dini Wala thehebu aliacha zawadi ya wokovu Kwa Kila atakae mwamini.
Na miongozo ya namna ya KUHISHI baada ya kumuhamini,miongozo hiyo ilishushwa Kwa mitume wake 12 tu, nje ya hao , utakachofundishwa ni upotevu.
FUTA injili zote Anza na injili ya yesu kristo ,kupitia vitabu vinne vinavyo eleza Habari zake, mathayo ,Marko ,luka na yohana hakikisha una vielewa , maisha yako yote usiguse vitabu vingine Kama hujavielewa hivo vitabu vinne, maliza vya mitume wake na ndipo uwe huru ,
Na kitakacho kuokoka si kwakuwa uko thehebu Fulani au Dini Fulani mapokeo na taratibu zakidini au thehebu furani hazita kuokowa Bali injili ya kristo na mitume wake 12
Muhubiri anatuambia kwa lugha ya mafumbo kuwa 'the game is rigged'.
View attachment 2243243
Naye Bwana wetu Yesu Kristo anasema...
View attachment 2243259
Ok basi sawaRafiki nimeguswa na maelezo yako, naelewa nihali gani ilikuwa na Bado unayo ipitia
Na Mimi nimepita uko uko, Kuna wakati nilikaa nilijiuluza njia ipi ni sahihi, nilihanza kukusanya taharifa mbalimbali za nifanyeje niweze kuingia mbinguni na kumsihi Mungu anijibu nikajibiwa.
Tukianza Kwa Abrahamu,
Baba wa matahifa mengi hapa tunaona Wayahudi, wajerumani,waharabu na wahindi na nchi zinginezo kama zimezisshau hapo,
Ukicheki Agano la Mungu liliwekwa Kwa uzao wa mke wa kwanza wa ibrahimu , ambao ukitiririka na uzao wake utaikuta ahadi inatimia Kwa yesu kristo kuzaliwa na ndio asili ya Imani Kwa wakristo.
Ko waarabu ni Kwa yule mjakazi, ambaye Mungu hakuweka agano lake Kwa uzao wake .
Na kuhusu maisha ya utakatifu sio rahisi kwanguvu zako kushinda unamuhitaji yesu kristo abadili maisha yako.
Mungu anavutiwa na wenye Imani , wanao sitasita na waoga havutiwi nao
Mimi ni mwamini tu,Mtoa mada kwani wewe ni mchungaji, unasli wapi?