Shambulia mafundisho ya kiroho mbalimbali ,na maombi ya toba mbele za Mungu wako .
Weka Nia ya dhati ya kutaka kubadilika
Na weka mikakati ya KIUTEKELEZAJI ya kubadilika na umahirikiahe Mungu .
Unaposoma neno langu Kwa raundi kadhaa, awamu ya kwanza chambuwa vyakufanya na vyakuto kufanya andikwa kwenye daftari lako
Awamu zinginezo unaweza Tafuta maandiko ya ukili maandiko ya kusimamiaga ukiwa kwenye maombi,
Na awamuzingine utajipangia utataka kuchambuwa Nini Kila awamu
Na weka mpango na ratiba nzuri ya mambo ya kiroho mwaka mzima ,
Mfano mwezi Fulani nitashambulia vitabu audio na video za mafundisho ya unyenyekevu, mwezi Fulani unashambuli vyakutosha mafundisho ya maombi ya vita na ya kawaida aina za maombi na n.k
Mwezi Fulani Roho mtakatifu ,na mwenzi mwengine mafundisho ya utakatifu na kuwa mtu wa tabia njema
Mambo mengi tu unaweza kupanga na mambo yakipyuzi uyapoteze ,Yale mambo yatakayo kula Muda wako
Penda kufuatilia watumishi wanaofundisha namna ya kuishi maisha ya utakatifu,anaye onya dhambi,
Achana na watu mishi walio egemea kutwa mafundisho ya mafanikio japo na yenye Yana nafasi yake na Muda wake
Mafundisho ya mafanikio hayatakusaidia kukuwa kiroho , maana ni kwaajili ya wewe kupata vya mwilini tu basi
Shambulia mafundisho ya kupata vya rohoni,maana vitakusaidia kukuwa kiroho,
Kasi yako ya kushambulia mafundisho ya kiroho ndio Kasi hiyohiyo itakayo kusogeza karibu na Mungu ndio hapo ataanza kukufunulia usivi vijua, ili kukuza Imani yako kwake na Kwa kadiri ya kiu yako kwake na uwaminifu wako kwake ndipo atapofunua macho yako yaone ya rohoni , ulipokuwa ukisimuliwa unayaina waziwazi ,Kwa kadili utavyokuwa mwaminifu zaidi utajuzwa makubwa zaidi
Na kupata tuzo kubwa baada ya maisha haya ya duniani