Mtoa mada kwani wewe ni mchungaji, unasli wapi?
Mimi ni mwamini tu,
Niliguswa na ujumbe wako,
Ya kukuongezea, ni kuwa Duniani hatuna muda kabisa
Tuzo yako , kwenye mshahara ule ambao Kila mtu ata upokea upo kwenye Yale UTAKAYO TENDA NA SIO ULIOTENDEWA,
ULIOTENDEWA ,ATALIPA MWENYEWE MUNGU KWA NIABA YAKO KWA HAO WALIO KUTENDEA,
UKIJICHUKULIA HATUA KUlIPA, TEARI KULE ISHAREKODIWA UNAKUWA UNAJIONGEZEA MATUKIO ,
ILA YALE ATAYOKULIPA MWENYEWE MIKONONI MWAKO KAMA MSHAHARA WAKO ,KITACHO ANGALIWA NI KWA ULIO TENDA WEWE.
ÀINA KUU MBILI YA CHIMBUKO LA MATENDO NDANI YA MTU
1.Kuna matendo ya NDANI YAKO ,
Haya ni Yale matendo ambayo hayaonekaniki Wala kugusika ,mfano , chuki,hasira,wivu ,uchungu , unafiki wa ndani , kuong'ong'a mtu Kwa ndani ,uchungu ,kisasi wa kisasi ulio ndani Bado hajaonekana Kwa njee Kwa matendo na kiu ya dhambi,mawazo mabaya, mipango yote miovu,
Sasa hizo dhambi zisizo onekana zinahifadhiwa kwenye moyo Kwa stoho na mawazo Kama SEHEMU yanapozaliwa.
Kuna uchoyo - tumbo , ubinafsi hii kutokana na kiwango kidogo Cha kujuwa mahana harisi ya maisha kiroho sio kimwili.
Ko maeneo yakushugurikia dhambi za ndani kwenye maombi yako ni hayo;
Moyo,mawazo,tumbo,fikra ,kiwango kidogo Cha ufahamu wa mambo ya kiroho Kwa kutokuwa mtafiti na kukusanya taarifa sahihi za kutosha.
2./Dhambi za NJEE
Hizi ni zile dhambi zinazo onekana na Kila mtu hata mwenyewe utandaye unakuwa unaziona na kujijuwa,na zinashikika ,
mfano
Dhambi hizo ni ;;
Utokozi wizi ufisadi ,uasherati,kujichuwa,uzinzi,ulevi,ukahaba ,rushwa atowae na apokeaye zipo nyingi tu zote ambazo zinaonekanika na hata hii kuhabudu sanamu Soma
Kutoka 20:4
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia
Mwanadamu ana mwili nafsi na roho ,kati ya mwili na roho Kuna nafsi ibebayo tabia ya mtu ,na
kati ya hiyo nafsi na roho Kuna moyo, ko moyo ni Kama daraja la vya rohoni kufikia kwenye nafsi , ko Mungu anapotaka kuhisha Roho yako na kukufunulia ya rohoni kukufikia inatagemea na moyo wako,koyo ni daraja yaweza ikawa SEHEMU ya kuzuiya ya rohoni hata lile ulilomuomba Mungu.
Likishafika kwenye nafsi utendaji wa mwili unabadilika unakuwa mtakatifu.
Lakini kwanza lazima ujiungamanishe na Mungu,Kwa kumpokea yesu kristo sio tu Aishi na wewe Bali aingie ndani yako na ufanywe upya Kwa kuzaliwa Mara ya pili, yaani hio ni sawa na kuweka raini ili vya rohoni vikufikie.
Unajisajiri ,kuwa na wewe unaamini ungetamani kuwa mwana wake Mungu, ndio atakuonyesha Mengi usiyoyafahamu