Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Ninaswali wani Mungu hujibuje?Mimi ni mwamini tu,
Niliguswa na ujumbe wako,
Ya kukuongezea, ni kuwa Duniani hatuna muda kabisa
Tuzo yako , kwenye mshahara ule ambao Kila mtu ata upokea upo kwenye Yale UTAKAYO TENDA NA SIO ULIOTENDEWA, ULIOTENDEWA ,ATALIPA MWENYEWE MUNGU KWA NIABA YAKO KWA HAO WALIO KUTENDEA, UKIJICHUKULIA HATUA TEARI KULE ISHAREKODIWA UNAKUWA UNAJIONGEZEA MATUKIO ,ILA YALE ATAYOKULIPA MWENYEWE MIKONONI MWAKO KAMA MSHAHARA WAKO ,KITACHO ANGALIWA NI KWA ULIO TENDA WEWE.
Lazima ujiunge,yaani aingie maishani mwako kwanza,Ninaswali wani Mungu hujibuje?
Sielewi bora tu nifuate Akili japo moyo unakataa nilikua mwamini mzuri niliona kweli Mungu anafanya kwangu mpaka kwenye gari watu wamesimama mtu anakupisha nilikua nasikia sauti juu ya mengi lakini nimeamua kuyapuuuza japo bado inanijiaLazima ujiunge,yaani aingie maishani mwako kwanza,
Hii ni Kama raini ya simu ,Kuna mitandao mingi ,mtandao utakao jiunga ,ndio huwo utapata taarifa ,ofa zake na vifurushi vyake.
Ko ili kupokea taarifa zake Mungu kukujilia nilazima uliunge ,uwe mwana wake . Ndipo hapo utaanza kupokea ujumbe ,taarifa na n.k zinazo Muhusu Mungu
Sisi wanadamu tuko kwenye phase ya tabia ,yaani anataka tufanane na mwana wake wa pekee yesu kristo .
Nguvu ya Roho mtakatifu ndiyo inayomzaha mtu Mara ya pili pale mtu anapo mwamini kristo, atakuwa mwana wa Mungu
Kuhusu Mungu kujifunua au kujidhihilisha kwako au kukujibu kwake inatemea na kiwango chako Cha ukaribu wako kwake na kiwango chako Cha ufahamu wa mambo ya rohoni.
Mungu anajibu Kwa njia nyingi hizi ni baadhi ndoto,maono ,sauti ya ndani yako, mawazo , hata waziwazi hii inategemea na ukaribu wako kwake na neema na n.k
Unapo ruhusu ya Dunia yatawale maisha yako na kuweka mbali mambo ya kirohoSielewi bora tu nifuate Akili japo moyo unakataa nilikua mwamini mzuri niliona kweli Mungu anafanya kwangu mpaka kwenye gari watu wamesimama mtu anakupisha nilikua nasikia sauti juu ya mengi lakini nimeamua kuyapuuuza japo bado inanijia
Najihisi mwenye hatia lakini kuna nguvu inayonishawishi
sawasawaUnapo ruhusu ya Dunia yatawale maisha yako na kuweka mbali mambo ya kiroho
Taratibu Ile sauti ya ndani yaani hofu ya Mungu ,inapungua, itafika HATUA utaona mambo ya Mungu ni kawaida na upuhuzi ,utaanza kuishi maisha ya bora liende.
Ndio maana niliposoma ujumbe wako nikajuwa uko kwenye wakati gani kiroho.
sawasawa
Unanimotevate sana je? nikifanya yote ila nisipokwenda kanisani ni sawa, nikasikiliza tu mahubiri?Shambulia mafundisho ya kiroho,shida mbalimbali ,maombi ya toba mbele za Mungu wako mwenye,
Weka Nia ya dhati ya kutaka kubadilika
Na weka mikakati ya KIUTEKELEZAJI.
Na weka mpango na ratiba nzuri ya mambo ya kiroho mwaka mzima ,
Mfano mwezi Fulani nitashambulia vitabu audio na video za mafundisho ya unyenyekevu, mwezi Fulani unashambuli vyakutosha mafundisho ya maombi ya vita na ya kawaida aina za maombi na n.k
Mwezi Fulani Roho mtakatifu ,na mwenzi mwengine mafundisho ya utakatifu na kuwa mtu wa tabia njema
Mambo mengi tu unaweza kupanga na mambo yakipyuzi uyapoteze ,Yale mambo yatakayo kula Muda wako
Penda kufuatilia watumishi wanaofundisha namna ya kuishi maisha ya utakatifu,anaye onya dhambi,
Achana na watu mishi walio egemea kutwa mafundisho ya mafanikio japo na yenye Yana nafasi yake na Muda wake
Mafundisho ya mafanikio hayatakusaidia kukuwa kiroho , maana ni kwaajili ya wewe kupata vya mwilini tu basi
Shambulia mafundisho ya kupata vya rohoni,maana vitakusaidia kukuwa kiroho,
Kasi yako ya kushambulia mafundisho ya kiroho ndio Kasi hiyohiyo itakayo kusogeza karibu na Mungu ndio hapo ataanza kukufunulia usivi vijua, ili kukuza Imani yako kwake na Kwa kadiri ya kiu yako kwake na uwaminifu wako kwake ndipo atapofunua macho yako yaone ya rohoni , ulipokuwa ukisimuliwa unayaina waziwazi ,Kwa kadili utavyokuwa mwaminifu zaidi utajuzwa makubwa zaidi
Na kupata tuzo kubwa baada ya maisha haya ya duniani
Yaani ifanye neno la Mungu biblia, maagizo ya MunguUnanimotevate sana je? nikifanya yote ila nisipokwenda kanisani ni sawa, nikasikiliza tu mahubiri?
poapoaYaani ifanye neno la Mungu biblia, maagizo ya Mungu
Kuwa ndio lifestyle yako nio kacha yako, ndio tamaduni na desturi yako ,
Usifuate mapokeo na taratibu za kidini
Fuata neno la Mungu linasemaje, mfano usinywe pombe ,usiabudu sanamu, usizini,uasherati , na Achana na chochote KITACHO kuwamasisha kuludia huko
Liishi neno la Mungu kuanzia Sasa mpaka kifo chako Kwa uwaminifu bila kuwangalia jamii inayokuzunguka
Na jamii yako inapaswa ijufunze kupitia wewe na siwewe wakufundishe wao
Mitume walikusandika,na imeandikwa msihache kukusanyika,
Ni vema kushiriki ibada