Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

Maeneo ya hivi hapa Tz yapo ila kuna sehemu huku uchaggani ardhi za hivi ni nyingi na nyumba pia.....

Ila shida ni kuwa ukijitwalia leo kesho jopo la watu wanakuja kuwa hapa umepewa na nani wakati pana mwenyewe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
1. Unaona nyumba ila ni pagala au kaburi.

2. Ni nyumba ya majini

3. Ni nyumba ya dhuluma huwa hailalwi

4. Ni mtego wako ukiingia ufie humo.

ongeza na zako
 
Wewe ni muongo
 
Kuna baadhi ya wanaume wapumbavu wanaweza jenga nyumba nunua mashamba na kutowashirika wake wazao wakiofia kugawana ikitokea mazozo wengine tunao wafanya biashara ya mazao wanaweka mipunga ya mamilioni kwenye magodauni kwa siri hata miaka 3 wengi wao wakifa mali zina potea bule,kama kuliko kuficha mali zako bora mwanake kama umuamini bora upige chini kuliko kufa hela zikapotelea kwe simu mamilioni kisha mke wangu akijua namba ya siri atanibia upumbavu huo
 



Huna haja ya kujaribu hayp, mwaga tu lori la. Mchanga na moram hapo getini, utamjua mmiliki in 24 hours wakati upo sero za central.
 
Vya bure vinaweza kukutokea puani. Kwa vile hujui ni nini klilichomfanya mtu aliyeijenga asihamie, nakushauri uachane nayo kwa vile sababu ilyomzuia mjenzi kuhamia inaweza kukufanya na wewe usiimiliki hata kama utajitwalia kimabavu kama Putin alivyojaribu kujitwalia Ukraine
 
Kuna baadhi ya wanaume wanaficha mali zao kuhofia mizozo ya wake zao hasa kugawana wakifa ghafura mali hizo zinapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…