Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni muongoMwaka 2009 tulienda na rafiki yangu Bunju kununua Viwanja,tukaanza kujenga mdogomdogo lakini rafiki yangu (RIP)alijenga fasta ikabaki kupaua tu(kumbuka wote tulikuwa mabachela). Siku moja anatoka site akapata ajali Tegeta(aligongana na Lori),alifariki palepale. Huyu rafiki yangu tulikuwa tumepanga nyumba moja Sinza(yeye Chumba chake,mimi changu lakini sebule,jiko nk tunashea. Tangu tunanunua Viwanja mpaka anafariki hakuna aliyewahi kumpeleka site ndugu,rafiki wala jamaa. Hivyo nyumba niliiokota kwa style hiyo,niliipaua,nikaifanyia finishing na sasa nakula Kodi. Lakini kwa kuwa tulikuwa tumeshibana sana hivyo huwa najitajidi kuwatumia Pesa Wazazi wake Moshi kila mwezi,na wamekuwa kama Wazazi wangu na wananiita mwanao.
SWALI KWA NINI SIKUIPA TAARIFA FAMILIA HIYO?huyu Marehemu rafiki yangu ndie aliyekuwa amesoma kwao,Kaka na Dada zake wote ni wale waleviwalevi waliojichokea tu,hivyo kama ningetoa taarifa naamini wangeshauri nyumba iuzwe tu wapate Pesa ya kunywea pombe. Tangu niikamilishe mwaka 2011 mpaka leo nakula Kodi tu,Hati nilishaipata kwa jina langu na maisha yanasonga.
Nyanyua kilago chako na uende zako.Usimwambie mtu yeyote uliyashuhudia hapo.ndiyo
Kwa nini awe muongo?Wewe ni muongo
Namjua huyoKwa nini awe muongo?
Hana hata baadhi yaliyo ya kweli?Namjua huyo
Kuna baadhi ya wanaume wapumbavu wanaweza jenga nyumba nunua mashamba na kutowashirika wake wazao wakiofia kugawana ikitokea mazozo wengine tunao wafanya biashara ya mazao wanaweka mipunga ya mamilioni kwenye magodauni kwa siri hata miaka 3 wengi wao wakifa mali zina potea bule,kama kuliko kuficha mali zako bora mwanake kama umuamini bora upige chini kuliko kufa hela zikapotelea kwe simu mamilioni kisha mke wangu akijua namba ya siri atanibia upumbavu huoKuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
[emoji12][emoji12][emoji12]Wewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Vya bure vinaweza kukutokea puani. Kwa vile hujui ni nini klilichomfanya mtu aliyeijenga asihamie, nakushauri uachane nayo kwa vile sababu ilyomzuia mjenzi kuhamia inaweza kukufanya na wewe usiimiliki hata kama utajitwalia kimabavu kama Putin alivyojaribu kujitwalia UkraineKuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Kuna baadhi ya wanaume wanaficha mali zao kuhofia mizozo ya wake zao hasa kugawana wakifa ghafura mali hizo zinapoteaHizi nyumba zione hivi! Hakuna kitu kinachotengenezwa kwa hela ndefu mpaka kukamilika kama nyumba! Ubora na mwonekano wa nyumba na mahali ilipo ndo thamani ya hela iliyotumika kuijenga.
Kwasababu hiyo nyumba haiwezi kukaa tupu! Kama sio watu wanaishi, basi ziko roho zinaishi mule! Mashetani nayo yanataka kuishi kwenye nyumba nzuri! Roho iliyokuwa nyuma ya upatikanaji wa hela na ujenzi wa hiyo nyumba ndo zinaishi mule! Jichanganye uingie uone mziki wake!
Tangu lini jini akajenga nyumba[emoji2957][emoji2957][emoji2957]Nyumba ya majini hiyo[emoji23][emoji23]nenda kaolewe na jinih
Hayo majumba kwanini hayakaliwi na watu mkuuNaona ka waongelea majumba ya mbweni dar es salaam
Sasa madalali hawamjua hata anayefanya usafi [emoji846]Segerea ipo nyumba kama iyo tena yenyewe ni ghorofa moja ina fensi na kila kitu ila ndio ivyo amna anayeishi ni kusafi muda wote..madalari na uroho wao wote wamesanda kwenye iyo nyumba amna anayeishobokea..
Read between the lines mkuuHaya nijibu na swali langu niyeye yuleyule au...??