Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

Lazima ije ilete shida, yaan mtu kutokua appear kwenye site yake kwa kipind hicho tu cha mwaka mmoja mate yamekutoka,
 
hembu itwae hata kwa wiki moja tu, ili tujiridhishe kama yupo au hayupo...

wka ndani friji, meza1 na kitanda tu
 
Jitwalie upangishe ule ela Bwashehe
 
Kila nikisoma comment zako namkumbuka "The bold" mshauri basi arudi jf tumemiss sana habari zake nzuri zilizofanyiwa utafiti makini na uandishi bora kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…