Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo sio kaka mkuu uyo ni sexless mpenda vya dezoHamia kaka akija unamuelekeza ukweli unasepa zako huenda ukapewa hata chumba
Ubinafsi, ubinafsi wa baadhi ya wanaume, hawataki wanawake wafurahie Mali..Muwe mnawapa ndugu taarifa au mke au mme taarifa kwamba nina nyumba sehemu, wanaume wengi wanaogopa kugawana mirathi na mke unakuta anajenga ghorofa au nyumba ya kifahari kimya kimya, liktokea tatizo ghafla ukafariki watu baki warithi nyumba yako, watoto wanateseka.
Ukipigwa usituite 🤣🤣🤣Wewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Sasa kama unajiamini ingia utajua mi nani! Sikutishi ila nakwambia tu ukivuka geti we mwambaMasters gani hiyo ya miaka 10? Na hukuacha hata ndugu/rafiki mmoja huku wa kuja hata kupaangalia?
Mkuu umenikuu vibayaUyo sio kaka mkuu uyo ni sexless mpenda vya dezo
Tufurahi tutoe stress, hatuwezi kuwa serious muda wote darling.Ukipigwa usituite 🤣🤣🤣
Mi niko ndani nakuona tu ukiangalia angalia na kumeza mate.Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipiga kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Bibi yangu anaheshimika SumbawangaSasa kama unajiamini ingia utajua mi nani! Sikutishi ila nakwambia tu ukivuka geti we mwamba
Nitaanza kuishi kama panzi kwa miaka kadhaa huku nikipima upepoMi niko ndani nakuona tu ukiangalia angalia na kumeza mate.
Subutu uingie ndio utajua ahera ikoje, hutatoka.
Ni ujinga, mwanamke unapomuachia mali lazima atatengeneza maisha ya watoto, hakuna mwanamke anataka mtoto wake aliyemzaa ateseke, unless mwanamke awe mpumbavu.Ubinafsi, ubinafsi wa baadhi ya wanaume, hawataki wanawake wafurahie Mali..
Achague moja; ama aende Ardhi ikachukuliwe na wengine(haswa maafisa ardhi) ama asiende ardhi ili aweze kuimiliki iwapo mwenyewe hatokuja.Dunia ni ya Mungu, na kilicho ndani yake pia ni cha Mungu. Mwanadamu yeye ni wa kupita tu, ikitokea amepita na hakuna alierithishwa mali yake, watarithi wanadamu wenzake. Hakuna eneo litakaa milele kwa kudhaniwa kua hili eneo ni la mtu flani ambae hatumjui na hatufahamu kaenda wapi wala anaishi wapi na kwamba hatuwezi kulichukua.
Huyo haipo, dunia hii tunaishi kitambo kidogo na tutaiacha waishi wengine.
Okota hiyo nyumba iendeleze. Na unaweza enda ardhi kutoa taarifa kua huna makazi na haoo jirani kuna nyumba haina mtu mwaka wa 10 sasa. Nao watakupa mwongozo nn cha kufanya.
Hawa ndiyo wengi. Wanahonga viben tenunless mwanamke awe mpumbavu.
Umesema vema maafisa ardhi wana njaa sana hawa. Wakipewa taarifa wataichukua wao .Achague moja; ama aende Ardhi ikachukuliwe na wengine(haswa maafisa ardhi) ama asiende ardhi ili aweze kuimiliki iwapo mwenyewe hatokuja.
How mkuu? Mwenyewe haonekani, mwaka wa 10 huu?Yatakayo kukuta usisahau kuleta mrejesho 🙏🏻