Hapa Kuna Siri gani kuhusu ukiwa na hela unapoteza shauku ya Kupata kitu mfano swala la kuoa Mtu ukipata hela unalisahau kama huwa lipo.?

Aise!
 
Umenena vyema sana.
 
Upo sahihi mfano mimi kipindi sina pesa nilikuwa napenda sana kuvaa nguo mpya karibia kila wiki.. ila kwa sasa nimepoteza hamasa kabisa ya kupenda kuvaa nguo mpya na uwezo wa kununua ninao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…