PESA NI FIMBO
Ukiwa huna pesa unadharaulika na kila kitu. Iwe watu, wadudu, njaa pamoja na nyege zitakuona kama fala fulani hivi.
Ukiwa huna pesa, njaa zinakufata hapohapo ulipo zinakuchezea mpaka sharubu sababu zinajua huna cha kuzifanya. Ila kama AKAUNTI ZINASOMA, HATA ZENYEWE ZITAONA (In Diamond's voice) zitakaa mbali sababu utazihukumu kikatili, utazisulubu na mapaja ya kuku, mapizza, mapilau n.k
nyege pia zitaenda Futi efu nne sababu zinajua utazipa hukumu ya kiyakuza, kama ni mnyama utakuwa unamchinjia nyuma ya shingo