Haukupata tunda aina ya parachichi??Aisee
Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi.
Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna heavy na nyama choma,tukashushia na nyagi,mpaka sasa niko fully yani
😂 Msalimie mwaifwani hapomkuu nilikuwa chocho za chonicho hapo mda c mlefu,.
Kuna mnyakyusa mmoja anagrosari hapo mama John tako hapa mpaka kule, ukihitaji namba yake nakutumia pmSaivi niko soweto hapa kwa kwa rehema napiga vyombo
Hapo kwa chonicho kuna jamaa anauza chips nyama ndio huyo mwaifwaniKodi yake mbona kama haiji huyo jamaa?
kwahiyo Spika humjui au hujawahi kumuona.!Sijawahi kuona mkazi wa mbeya mwembamba Tena Hana mashavu dodo!