Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

LEMA AWAPIGA MASWALI MAZITO WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CHADEMA SAKATA LA RUSHWA
Godbless Lema, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini atoa ujumbe mzito kwenda kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kuhusu sakata la rushwa katika uchaguzi wa chama hicho taifa utakaofanyika Januari 21, 2025.

"Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili , ikiwa utapewa pesa, usafiri, pombe na chakula wkt huu lakini ukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa, Kijiji na Vitongoji, je hizo pesa sasa zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa kazi isiyo hata na mshahara ? CHADEMA sio duka wala Bar . Wajumbe sikilizeni , hiki CHAMA kina damu za rafiki zenu , maumivu makubwa na mateso kwa watu wengi, msilaani maisha yenu kwa starehe na rushwa. Sasa basi wakileta pesa kula , kunywa halafu waadhibu ktk boksi la kura. Nyie sio Blue Band wakubebwa kama Maboksi. Upinzani ni tabia njema na sio rangi za nguo. Msiue matumaini ya Taifa kwa kushindwa kutofautisha tabia zetu na @ccm_tanzania" - Godbless Lema, Aliyekuwa Mwenyekiti wa @ChademaTz wa Kanda ya Kaskazini.
 
Ndio huyo huyo, kamkimbia MAKONDA Arusha anahangaika tu
 
Kuna hoja gani ya kujibu zaidi ya huo uchawa.
Mbowe mtamkamua hadi senti ya mwisho nyie machawa wake
Mbowe ni kama ziwa Victoria ambalo maji yake hata mkiyanywa dunia nzima hayaishi. ๐Ÿคฃ Ukitaka na wewe kamua tu ruksa
 
Demo zege tena? Unataka atukane kama Lissu?

Kwamba udomo zage ni tusi? Looh!

Tuwekee tusi moja la Lissu kumtukana yeyote hapa tafadhali. Au taabu yako ni udini Ostaadhi?

Watu kama nyie ni uchuro hadi kule Gaza.

Bure kabisa!

MK254 hebu ona hii mitu.
 
Kwamba udomo zage ni tusi? Looh!

Tuwekee tusi moja la Lissu kumtukana yeyote hapa tafadhali. Au taabu yako ni udini Ostaadhi?

Watu kama nyie ni uchuro hadi kule Gaza.

Bure kabisa!
Mbowe na lissu wote cristian, I am Muslim and I am proud as muslim
 
Hamlali Timu Mbowe
Huyu siyo timu mbowe.....Hawa ni wale ambao walimuita mbowe dikteta, mbowe anaimiliki chadema, oooh chadema ni saccos ya mbowe, sasa kaja mtu kuyapindua Haya matokeo yake ndiyo makelele Haya......ila CCM ifike mahala mjichunguze akili zenu
 
Kila mtu ni proud na dini yake wakiwamo wapagani kina yericko!

Tusi moja la Lissu tafadhali.
Huyu siyo timu mbowe.....Hawa ni wale ambao walimuita mbowe dikteta, mbowe anaimiliki chadema, oooh chadema ni saccos ya mbowe, sasa kaja mtu kuyapindua Haya matokeo yake ndiyo makelele Haya......ila CCM ifike mahala mjichunguze akili zenu
Ccm hakuna anaemuogopa, lissu huyu aliekimbilia ubegelji anaogopwa?
 
Ife kwa lissu? Kapigwa kuna mtu katokq barabarani? Huoni duniani watu wanaopendwq?
Mpaka watu watoke barabarani !!!!..

watu wana visasi moyoni ambako hakuna policcm...ni vitendo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ