Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo Mungu kama yupo, Yupo wapi?Mungu yupo
Huyo Mungu kama hapendi kudhihakiwa, Kwa nini aliumba binadamu wenye uwezo wa kumdhihaki?Na hapendi kudhihakiwa.
Wachungaji mje mnisaidie Jamani mimi nashindwa kujibuHuyo Mungu kama yupo, Yupo wapi?
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini anataka kuaminiwa yupo akiwa mafichoni, Badala ya kujitokeza hadharani akajulikana yupo kwa uhakika kabisa?
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Huyo Mungu kama hapendi kudhihakiwa, Kwa nini aliumba binadamu wenye uwezo wa kumdhihaki?
Huyo Mungu kama hapendi kudhihakiwa, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote?
Kuna Mungu.Ukisema hakuna Mungu, unataka wapumbavu nao wasemeje?
Waliojibanza vibarazani wasio na makazi, wagonjwa mahospitali na wafungwa gerezani ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hayupo.Kasome kitabu cha Ayubu kina unabii mkubwa sana pale..lakini pia wakati una nafasi ya kuandika haya ukiwa na simu janja yenye network, bundle na chaji wakumbuke pia
Waliojibanza vibarazani wasio na makazi
Wagonjwa mahospitalini
Wafungwa magerezani
Nknk
Kuna uhusiano gani wa kuwepo Mungu na hayo unayoyasema? Kwamba uwepo wa Mungu unategemea na yeye kutoa msaada?Hakuna Mungu ni wazo lililotengenezwa na Wanadamu tu.
Kwenye ule mgogoro wa kule Palestina, walikufa wapalestina 46,000 ikiwemo watoto, wazee, wagane, wajane na watu wengine, msaada wake mliuona?
Vita ya Kongo hapo, zaidi ya miaka 40 watu wanauwawa, wamesaidiwa na nini?
Kinachoendelea hapo Sudan, kinafahamoka, kule Myanmar hasa kwenye Jimbo la Rohingya.
Tazama magonjwa na shida halafu matokeo yake ikawaje?
Huu mtazamo sijui wameutoa wapi ndio unaowasumbua.Huyo Mungu wapi alikwambia ukimuamini utaishi maisha ya raha mustarehe hapa duniani?
Kwahiyo kama aliyajua ndio anayatenda yeye? Hebu nieleweshe.Mungu anaadhibu watu wake ikiwa chanzo kikuu ni yeye.
Infact Mungu ni mjuzi wa Yote.
Hivyo alimuumba shetani huku akijua kwamba kuna watu watakwenda kuteseka.
Mateso haya yote duniani, Chanzo chake ni Mungu mjuzi wa yote ajuaye Mwisho kabla ya mwanzo maana haya yote alishayajua kabla.
Kwanini afanye hivyo kwa uhitaji gani ambao utamlazimu afanye hivyo? Hebu nieleweshe.Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe, Kama ana huo uwezo.
Hata wewe umepumbazwa mkuu, kitendo cha wewe kukubali kuwa atheist unalazimika kufuata mambo kwa kuwa tu ni atheist hivyo lazima uyakubali tu ili kuendanda na definition ya atheism.Kuna Mungu.
Wapumbavu husema moyoni mwao Kuna Mungu.
Maana wamepumbazwa kuamini vitu bila uthibitisho.
Nipe ushahidi wa Mungu kushindwa kuwasaidia?Waliojibanza vibarazani wasio na makazi, wagonjwa mahospitali na wafungwa gerezani ni uthibitisho tosha kwamba Mungu hayupo.
Mungu huyo angekuwepo, Angesha wasaidia watu hawa waondokane na mateso yao.
Lakini Holaaaa!! Mungu huyo anayedaiwa yupo, Kashindwa kuwasaidia wagonjwa mahospitali, wafungwa gerezani na homeless wasio na makazi kwa miaka mingi sana.
Mungu wa kwenye biblia ndiyo kaelezwa hivyo, Sasa wewe unataka nikueleweshe nini?Kwahiyo kama aliyajua ndio anayatenda yeye? Hebu nieleweshe.
Umewahi kufika huko mbinguni ukamuona au unauthibitisho upi kwamba yupo mbinguni?Yuko Mbinguni, Chanzo chake hakijulikani
Ushahidi gani unataka na mateso yao unayaona?Nipe ushahidi wa Mungu kushindwa kuwasaidia?
Atheist ni mtu asiyekuwa na imani ya aina yeyote ile.Hata wewe umepumbazwa mkuu, kitendo cha wewe kukubali kuwa atheist unalazimika kufuata mambo kwa kuwa tu ni atheist hivyo lazima uyakubali tu ili kuendanda na definition ya atheism.
Sasa kama huyo Mungu yupo na anataka kuaminiwa yupo, Kwa nini anajificha?Kwanini afanye hivyo kwa uhitaji gani ambao utamlazimu afanye hivyo? Hebu nieleweshe.
Tukisema hatuna dhambi twajidanganya wenyewe..Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Hata kama ni mipango ya shetani ila watendaji ni binaadamu wenyewe, shetani hamforce mtu kufanya kitu.Mungu wa kwenye biblia ndiyo kaelezwa hivyo, Sasa wewe unataka nikueleweshe nini?
Au Mungu ni mjuzi wa yote lakini hawezi kujua na kuizuia mipango ya Shetani ambaye inasemekana ndiyo chanzo cha kuteseka.
Sasa akijitokeza hadharani na kila mtu akajua uwepo wake bila utata je hapo itakuwa suala la kuamini tena? Hebu nieleweshe.Sasa kama huyo Mungu yupo na anataka kuaminiwa yupo, Kwa nini anajificha?
Kwa nini asijitokeze hadharani akajulikana yupo kwa uhakika kabisa pasipo utata na utofauti wa kiimani?
Habari za siku ya leo Wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo