JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Unaweza ukawa unaabudu vinyago huko uliko afu ukasema huna dhambi.Habari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Mungu anawapenda watu wake wasimema nae mda wote na ukishinda hapo ulipo utafurahi sana. Soma kisa cha Ayubu. Na uzuri mambo yote yameandikwa ili kujua Mungu anatuwazia nini. Soma Hana, Soma Ibrahim na Sarah,