Si ndio unasema ajitokeze na kujitetea mwenyewe hutaki watu wamtetee na kumuelezea badala yake.Mimi sitaki watu wasijadili kuhusu Mungu.
Kujadili ni uhuru wako wa kikatiba.
Mimi napingana na hizo imani kumhusu huyo Mungu anayejadiliwa.
Muulize yeye.Kama yapi ambayo hayaelewi ila sio uchawi?
Ndio aje yeye mwenyewe kama ana huo uwezo.Si ndio unasema ajitokeze na kujitetea mwenyewe hutaki watu wamtetee na kumuelezea badala yake.
Huwezi kunipangia namna ya kujadili.Sasa kama ni hivyo basi usiseme hautaki watu wamtetee Mungu na kutaka Mungu ajitete mwenyewe, unaingia kwenye majadiliano ya watu kuhusu Mungu halafu unataka hao watu wasijadili wao kuhusu Mungu unataka ajitokeze Mungu mwenyewe hiyo ni akili ya wapi?
Yani wewe unakuta watu wanajadili tuhuma ya Rais Samia iliyoandikwa kwenye kutabu kuwa alikoswa kubakwa halafu unawaambia hao watu waache kujadili na kutaka ajitokeze Samia mwenyewe.
Mitume na Watakatifu ndio walipata majaribu makubwaHabari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Kuna Mungu.
Wapumbavu husema moyoni mwao Kuna Mungu.
Maana wamepumbazwa kuamini vitu bila uthibitisho.
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Anakupa majaribu ili apime nini au ili agundue nini?Mitume na Watakatifu ndio walipata majaribu makubwa
Mungu humpa mtu jaribu kulingana na ukubwa wa Imani yake...Kasome Biblia/Quran yako tena....
Huyo Mungu, Kwa nini aliumba binadamu wapumbavu wenye uwezo wa kusema yeye hayupo?Stop twisting em words...
Zaburi 53
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
Huyo Mungu anayetukana watu wake mwenyewe pia na yeye ni Mpumbavu sana.
Mambo gani hayo uliyopitiaHabari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Huyo Mungu kwa nini aumbe watu wasioweza kutumia akili zao vizuri?Inawezekana hujui tafsiri ya neno "pumbavu" ndio maana waliita ni tusi, kwa mujibu wa kamusi ya Kiswahili sanifu.
pumbavu:
-sioweza kutumia akili vizuri, sioelewa jambo, hiki ni kivumishi cha sifa.
Mwanadamu umeumbwa na akili lakini hutaki kuitumia vizuri, wala kutaka kuelewa mambo.
Huna dhambi? hicho kipimo cha kuonyesha kuwa huna dhambi ni kipi? mtakatifu mashaka ameyatoa wapi?Habari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio kwamba simuamini Mungu kwa asilimia mia, Bali nina mashaka na uwepo wake (Nipo DILEMMA).
Ni hayo tu
Baraka ni nini?Sijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.
Sin is an imaginary disease invented by religion to sell you an imaginary cure.Dhambi kubwa uliyonayo ni hiyo ya kuamini huna dhambi
Ndugu yangu ni dhambi kubwa kumsema Mwenyezi Mungu kwa mambo ya uongo. Tafadhali omba msamaha kwa Mwenyezi Mungu na ufute hili bandiko lako linalomkashifu Mwenyezi Mungu.Sijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.
Pumzi tunayovuta kila siku iitwapo leo ni baraka na utajiri wa Afya kwenye maisha yetu.Sijawahi kupata baraka ya aina yoyote kutoka kwa Mungu.