Hapa ndio ninapokuwa na walakini na uwepo wa Mungu

If God is good all the time, Where was he during slavery and colonialism in Africa?
 
Mungu yupo ila sio namna dini zinavyomhubiri. Mtu utamgundua Mungu kwa namna yako mwenyewe, ni kweli hakuna watu wawili wenye concept inayofanana kwa 100% kuhusu Mungu. Kumbe uelewa wa Mungu ni very personal. Kuna watu wachache sana wamefanikiwa kumwelewa angalau vizuri zaidi kuliko wengine. Wengi wetu tunaabudu mifumo iliyokwishajengwa na dini mbalimbali kwa miaka mingi.
 
Sun is Sun Pitia na hapa
Thread 'Njia za kuishinda hofu ya kupitia kipindi kigumu sana kifedha' Njia za kuishinda hofu ya kupitia kipindi kigumu sana kifedha
 
Wacha weee, anayea na kubaka kumbe wapo sawa na anayesaidia yatima na wasiojiweza?
 
mshana kama mshana
 
Ee mwenye enzi, Mungu wa miungu naomba utusamehe wanadamu wote.
Tupe kheri katika kila punzi iingiayo na itokayo kwenye mapafu yetu.
 
Mungu yupo na anaishi mkuu niamini
 
Mungu sio mtu fulani aliyekaa sehemu akisubiri kutatua matatizo ya mtu.
Chanzo cha matatizo na furaha ya mtu, hutokana na mtu mwenyewe.
 
Mungu hujidhihirisha na kuwasaidia wasio amini ili waamini (wapate kuijua KWELI). Wewe kama umeishamini endelea tu kuamini. Ukiacha kuamini utastahili adhabu kwa vile KWELI umeishaijua.
 
Muulize yeye.

Sasa mimi nitajuaje ambacho mtu haelewi bila kusema yeye mwenyewe?
Wewe ndio umesema haelewi hayo ambayo anaita uchawi ndio maana nikakuuliza wewe ni kama yapi hayo ambayo hayaelewi tu ila sio uchawi?toa mfano.
 
Haya uliyosema wewe pia yana uthibitisho au pia tuyaamini tu?
 
Ndio aje yeye mwenyewe kama ana huo uwezo.

Hizi mnazopiga hapa ni blah blah tu. Kujitahidi kumuelezea.
Sasa ndio huwa unajiingiza kwenye hizi blah blah ili iweje ikiwa hutaki blah blah? Unataka Mungu mwenyewe ajitokeze kama yupo hautaki blah blah sasa unajiingiza kwenye blah blah za nini?
 
Jambo ambalo haliwezekani.
Kwamba kama huna kosa inaweza kufungwa jela miaka thelathini,hilo haliwezekani.
Jambo ambalo linawezekana.
Kwamba kama unefsnya kosa inaweza kufungwa jela miaka thelathini,jilo linawezekana.
Je,Mungu hatenfi haki kama mahakama zako za Dunia?
 
Huwezi kunipangia namna ya kujadili.

Wewe unataka mimi nijadili jinsi wewe unavyo fikiri, Badala ya jinsi mimi mwenyewe ninavyo fikiri.

Na hii ni akili ya wapi?
Sasa unavyokuja hapa kwenye majadiliano na kusema Mungu mwenyewe ajitojeze na sio sisi kupiga blah blah unataka sie tufanyaje tuache kujadili maana ni blah blah na tukakuitie Mungu? Au unaongea tu bila kufikiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…