1. Watu waliodai kuzungumza nayo walishindwa kuthibitisha hilo. Wakademand watu waamini tu blindly, wakisema hiyo ndiyo faith.
2. Binadamu Wana tabia ya kuattribute kila kitu kizuri kwa Mungu. Ni mazoea tu.
3. Mungu anapewa sifa za kibinadamu sana ambayo yanaendana na dhana za kibinadamu zunazoprevail wakati husika. Mfano Lord of lords au king of kings, lords na kings ni obsolete concept mwaka 2024, ila enzi hizo walikuwa na nguvu isiyomithilika so watunzi wakatumia kuonesha ukuu wa mungu. Leo hii, who cares about a lord or a king? Unaona wazi yale ni maandishi ya watu tu.
3. Contradictions kwenye mitazamo iliyoandikwa na watunzi wa misahafu inakuonesha haikutoka chanzo kimoja kama wanavyodai.
4. Jamii zote zenye maendeleo ya kibinadamu kwa sasa zilikuwa na watu waliojidai wametokewa na kuongea mungu na wameoewa kazi ya kusambaza matakwa yake duniani. Mbona Mungu asingeitokea miafrika pia tukasambaze neno lake duniani?
5. The so called neno la Mungu limejaa mambo ya fantasy ambayo mwanadamu mwenye akili timamu unapaswa kuburudika nayo tu ukiwa mtoto, na kuelewa mara moja kwamba hizo ni hadithi ti za kutunga pale unapokuwa mtu mzima.
Mifano ni mingi:
Wanyama kuongea, binadamu kusimamisha jua lisizame watu wapigane, mtu kupasua bahari, jiwe kukimbia na nguo za Musa, n.k
Hizi ni fantasies, legends na fables tupu. Hata watoto wanaosoma literature can tell.