Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Wanatii amri ya Mungu kama alivyosema Yesu "Msujudie Mungu wako na umuabudu yeye tu.
Pia wanafanya kile alichokifanya Yesu
(Mathayo, 26:36-39)
Haya kamuelekeze ndugu yako kule juu aliyekataa waislam hawasujudii kaaba.
 
Reactions: 511
Yohane 4:9
Hata bibilia yako huijui.
Yohana 4:9 inasema...
9 Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia, Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwangu, nami ni mwanamke Msamaria? (Maana Wayahudi hawachangamani na Wasamaria.)
Lete andiko wewe kafiri.
 
Wewe nguruwe kwani umeuliza nini dkk chache zilizopita😆😆,au umesahau swali??

Umetaka andiko kama Yesu alikuwa myahudi.
 
Reactions: 511
Haya kamuelekeze ndugu yako kule juu aliyekataa waislam hawasujudii kaaba.
Yuko sahihi, hawasujudii kaaba, bai wanamsujudia Mungu wakiwawameekekea liliko kaaba. Tatizo lako wewe ni kafiri ndio maana hutaki kuelewa.
 
Yuko sahihi, hawasujudii kaaba, bai wanamsujudia Mungu wakiwawameekekea liliko kaaba. Tatizo lako wewe ni kafiri ndio maana hutaki kuelewa.
😁😁😁hakika ukiwa muislam wewe ni mbuzi kwa hiyari yako.

Uislam ni dini ambayo unatakiwa ujitoe akili kwanza,mengine yafuate.
Kwahiyo baada ya maelekezo aliingia ndani humo akakaa🤣🤣
 
Wewe nguruwe kwani umeuliza nini dkk chache zilizopita😆😆,au umesahau swali??

Umetaka andiko kama Yesu alikuwa myahudi.
Uthibitisho wa Ibrahimu kuwa duni ya Judisim.
Kwa kuwa weweni kafiri ndio maana unaoidisha maneno.
Nimekwambia Uyahudi ni kabila na sio dini. Lete andiko hata ka huyi Yesu kua ni Judism.
 
Hakuna Yesu kwenye quran.
Huyo Yesu aliemuongelea hapo mbona yeye alibatizwa?
 
Ghafla hapa kusujudu kutapata maana nyingine.

muslims at their best😂😂😂😂
View attachment 2979262
Pata elimu kuhusu kaaba, katika uislamu hakuna anayeabudiwa isipokuwa mungu mmoja na tunaamini mafundisho ya mitume yote iliyotumwa na mungu kwa vitendo
Nimekuonyesha mwanzo yesu alikuwa akisali kwa kusujudu vipi nyie nini kinawafanya msimsujudie mungu ? Ina maana hamfuati mafundisho ya yesu ,mzungu anawapotosha ,imefikia wakati hadi anawaambia muoane jinsia moja kweli japo kuna dini?
 
Attachments

  • Screenshot_20240502-221900_Chrome.jpg
    445 KB · Views: 3
😁😁😁hakika ukiwa muislam wewe ni mbuzi kwa hiyari yako.

Uislam ni dini ambayo unatakiwa ujitoe akili kwanza,mengine yafuate.
Kwahiyo baada ya maelekezo aliingia ndani humo akakaa🤣🤣
Niwe kafiri jama wewe ili niende motoni?
Wakorintho wa 1. 15:18, inasema wazi
18 Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
 
Uthibitisho wa Ibrahimu kuwa duni ya Judisim.
Kwa kuwa weweni kafiri ndio maana unaoidisha maneno.
Nimekwambia Uyahudi ni kabila na sio dini. Lete andiko hata ka huyi Yesu kua ni Judism.
Ubishi wako hauna cha kufanya na hilo jambo.
Usihamie kwa ibrahim maana kiasili wayahudi wote yule ni baba yao kikabila na hata kiimani,wachana na Muhammad tapeli huyo kaja kukuharibu akili miaka 4600 baadae.

SIsi wakristo tuna akili hatuzolewi kama mifugo,tunajua Yesu hakuaa mkristo sisi tulio wake ndio wakristo,sasa wewe unaambiwa Muhammad ndio muislam wa kwanza halafu unasema na ibrahim alikuaa muislam!!!😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…