Ndio hapo hata mimi wananiacha njia panda... Kusema Ibrahim ni muislamu wakati Mudi kaja na Uislamu baaaaadaee sanaaaa.... Lakini shehe anasema Quran imeandika Ibrahim ni muislamu 😂
Uislamu imeanzishwa kiujanjaujanja na una mapungufu mengi na umejichanganya sana.
Huwa wanasema Yesu kristo ni Issa ila sasa msome Yesu kwenye Biblia na Quran utajua hapa waislamu walijichanganya
QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN
1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????
2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????
JIBU NI SHETANI.
Hawa ndiyo wafuasi wa Jibril (majini)
Al Jinn
72:8 Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo
72:9 Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
Wamehaidiwa wanawake 72 Akhera ni kufanya ngono muda wote
Al Jinn
72:8 Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo
72:9 Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!
Ona hapa uongo
Mwenyezi Mungu Subhanahu Wa Ta'ala kwenye Quran kupitia Sura al-Kahf (18: 83-86), inaeleza kwamba Jua huchwea katika chemchemu ya matope meusi mazito(dark Muddy spring):
“83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.”
Wanasema Allah ni mmoja tu. Hapa Allah alikuwa na nani?
Kuran 15 : 26 " Na
tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 "
We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.