Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
😁😁😁😁😁Uislam haujaanza kwa Muhammad s.a.w umeanza kwa Adam na mitume wote walikuja kueneza imani moja ya Allah pamoja na ujumbe maalum wa kuacha mabaya waliyokua wakiyafanya na kuhimizwa kufanya mambo mema, na ndiyo maana siyo Abraham pekee hata yesu ni muislam pure, ila nyie ndo hamtaki sijui ni wa wapi 😁😁😁😁😁
Shida Quran imeandikwa kiarabu halafu hamjui kiarabu. Ndiyo maana huchanganya kati ya Yesu na Issa.
- Yesu alizalizaliwa kwenye zizi la ng'ombe lakini Issa alizaliwa chini ya mtende jangwani
- Yesu alisurubiwa kwenye msalaba, akafa, akazikwa na akafufuka lakini Issa hakusurubiwa, hakufa na hakufufuka.
Mimi naleta ushahidi wa Biblia na wewe leta wa Quran.
Uislamu umeanza baada ya Yesu ndiyo ukaja. Unasemaje Adamu ni muislamu wakati Muhamad ndiyo muislamu wa kwanza?
Acha kunidanganya ndugu