Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Uislam haujaanza kwa Muhammad s.a.w umeanza kwa Adam na mitume wote walikuja kueneza imani moja ya Allah pamoja na ujumbe maalum wa kuacha mabaya waliyokua wakiyafanya na kuhimizwa kufanya mambo mema, na ndiyo maana siyo Abraham pekee hata yesu ni muislam pure, ila nyie ndo hamtaki sijui ni wa wapi 😁😁😁😁😁
😁😁😁😁😁
Shida Quran imeandikwa kiarabu halafu hamjui kiarabu. Ndiyo maana huchanganya kati ya Yesu na Issa.
  • Yesu alizalizaliwa kwenye zizi la ng'ombe lakini Issa alizaliwa chini ya mtende jangwani
  • Yesu alisurubiwa kwenye msalaba, akafa, akazikwa na akafufuka lakini Issa hakusurubiwa, hakufa na hakufufuka.
Leta ushahidi uone unavyoaibika.
Mimi naleta ushahidi wa Biblia na wewe leta wa Quran.
Uislamu umeanza baada ya Yesu ndiyo ukaja. Unasemaje Adamu ni muislamu wakati Muhamad ndiyo muislamu wa kwanza?
Acha kunidanganya ndugu
 
Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu.
Kwanza hajui anachoongea, Hekalu alilojenga suleiman lilivunjwa na kuchomwa moto na Wababeli wakati Israel walipotekwa na kupelekwa utumwani babeli.

Baada ya kurudi kutoka utumwani ndo likajengwa upya na Ezra na Nehemia.

Hilo ndo likadumu hadi Yesu alipokuja, na ndilo yesu alisema litavunjwa na halitasalia jiwe juu ya jiwe.

Walilojenga Ezra na Nehemia nalo lilivunjwa na warumi kama Yesu alivotabiri mwaka 70A.D(miaka 70 baada ya Yesu kuondoka duniani)

Sasa hilo hekalu la Suleiman analozungumzia napata wakati mgumu sana kumwelewa.
 
😁😁😁😁😁
Shida Quran imeandikwa kiarabu halafu hamjui kiarabu. Ndiyo maana huchanganya kati ya Yesu na Issa.
  • Yesu alizalizaliwa kwenye zizi la ng'ombe lakini Issa alizaliwa chini ya mtende jangwani
  • Yesu alisurubiwa kwenye msalaba, akafa, akazikwa na akafufuka lakini Issa hakusurubiwa, hakufa na hakufufuka.
Leta ushahidi uone unavyoaibika.
Mimi naleta ushahidi wa Biblia na wewe leta wa Quran.
Uislamu umeanza baada ya Yesu ndiyo ukaja. Unasemaje Adamu ni muislamu wakati Muhamad ndiyo muislamu wa kwanza?
Acha kunidanganya ndugu
Babu J kuwa na akili kidogo hata za kujadili hili 😁
Umetoa difference ya Yesu na Issa tena kwa kutumia biblia na quran kwa usemi wako, sasa kwanini ukatae kwa Adam na Muhammad kwa porojo la mdomo tu, fungua tena hiyo biblia yako unipe vifungu vya hao watu.
Maana sie ktk quran vifungu vya kila mjumbe wa Mungu vipo
 
Mie quran inaonesha wazi kuwa woooteee hao walileta ujumbe mmoja unaofanana, walikuwa waislam,
Nioneshe ww andiko lolote linalowanad Ibrahim na Adam na wenzao kuwa walikua wakristo bas 😁😁😁😁😁😁
 
Bisha andiko hilo hapo. Kati ya wewe na Quran nani muongo? Nilitegemea utakuja na hoja kutoka kwenye Quran kumbe maneno matupu.
Muislamu wa kwanza ni Muhamad. Niongopee kwa maneno matupu

Sema muislam wa kwanza alikuwa nani na ubishe hoja hii

Muhammad aliambiwa na Allah asema: -
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"

Quran 6: 14 Suratul Al- An'am (Wanyama)
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (Ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu)
 
Mbona hayo ni maneno ya Ibrahim a.s. 😁😁😁😁😁😁😁😁
Na hiyo inaitwa neno la tauhid ambalo linampa Ibrahim nafas ya kuitwa baba wa Iman
 
Submission maana yake ni mnyenyekevu, hata wakristo wako submissive to GOD... Eti kwa sababu ni Submissive uwezi kusema Wakristo ni Waislamu... Kuwa mnyenyekevu kwa MUNGU hakumaanishi wewe ni muislamu... Dini ya waislamu imezikita Dini nyingine za uyahudi na Ukristo, alafu wao wanakuja na maandiko yao kusema eti Ibrahim alikuwa Muislam... Sasa Uislamu si umekuja miaka mingi sana Ibrahim alikwisha kufariki, hata yesu hakuwepo
Kiongozi labda nikusaidie kwa kifupi kuwa;
Kwa mujibu wa maandiko ya Quran hata Adam alikuwa ni Muislam, na wengine walio kuja nyuma yake wote walio kiri pamoja na kutii mafundisho ya Mungu wote walikuwa ni Waislam.
Kinachotutofautisha ni watu wengine kufikiri wanatii Mungu kumbe wanatii kiumbe cha Mungu na wengine kuamini miungu isiyo kuwa Mungu nk
Kwa maana hiyo, Kwa mitume wote akiwepo Suleiman, Ibrahim nk walikuwa ni Waislam na Kila mtume aliyekuja duniani aliletwa kwa kusudi maalum na wote walikuja kutoa mafundisho ya Mungu na kutatua changamoto zilizokuwepo kipindi hicho. Mfano: Yesu aliletwa katika kipindi ambacho Dunia ilikuwa inapita kwenye Changamoto kubwa ya kuamini Uchawi pamoja kuwepo kwa magonjwa mengi yasiyokuwa na Tiba. Ili kudhihirisha ukuu wake, Mungu akaamua kumtuma (mtume) Yesu aje kutatua hizo changamoto cha ajabu badala ya watu kumuamini aliyemtuma, wakamwamini Yesu kuwa ndiye Mungu
Mwisho: Kama mitume waliotangulia, Muhamad alikuja kukamilisha mafundisho ya Mungu aliyokusudia kumfikishia Binadam
 
Ibrahim hakuwa myahudi Wala mkiristo, sababu uyahudi ni ubunifu wa Wana wa Israel baadae Sana baada ya Ibrahim na ukiristo ni kazi ya Paulo,Ibrahim Imani yake ilikua ni juu ya Mungu mmoja,asiyezaa Wala kuzaliwa na Wala kufanana na chochote,Mungu muumba wa kila kitu,ambayo ni Imani ya kiislam
Hujui kitu kuhusu ukristo kaa kimya.

Unaongea porojo tuu.

Ukristo umejaa vitu vingi sana ambavyo huvijui, wakristo wenyew kila siku tunasoma biblia na kila siku tunapata vitu vipya, biblia sio kitabu tuu ni collection vitabu, very comprehensive, imejaa tasfiri nyingi na utabiri mwingi wa kutisha.

Kwaio kausha mwanang huyo Ibrahimu mwenyew unayemwongelea alikuwa anamwabudu Yesu.

Huwez kuelewa kwaio kausha.
 
Bisha andiko hilo hapo. Kati ya wewe na Quran nani muongo? Nilitegemea utakuja na hoja kutoka kwenye Quran kumbe maneno matupu.
Muislamu wa kwanza ni Muhamad. Niongopee kwa maneno matupu

Sema muislam wa kwanza alikuwa nani na ubishe hoja hii

Muhammad aliambiwa na Allah asema: -
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)
"Na pia nimeamrishwa niwe wa kwanza wa (viumbe) wanaojisalimisha (kwa mwenyezi Mungu)"

Quran 6: 14 Suratul Al- An'am (Wanyama)
Sema "je nifanye mola (wangu) asiyekuwa Mwenyezi Mungu, (Ambaye ndiye) muumba wa mbingu na ardhi" naye hulisha wala halishwi" sema hakika mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza katika wenye kusilimu na (nikaambiwa). usiwe miongoni mwa wanaomshirikisha (Mwenyezi Mungu)
Sura 16:120

Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.

Sura 16:123

Kisha tukakufunulia ya kwamba ufuate mila ya Ibrahim, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.
 
Mie quran inaonesha wazi kuwa woooteee hao walileta ujumbe mmoja unaofanana, walikuwa waislam,
Nioneshe ww andiko lolote linalowanad Ibrahim na Adam na wenzao kuwa walikua wakristo bas 😁😁😁😁😁😁
Bado haujajibu swali, unadakia swali lingine.
Quran imeandikwa kwa kiarabu halafu waislamu wengi hawajui Quran.
Hata kutafuta toleo la lugha ya Kiswahili hawawezi.
Waislamu wengi sana ni weupe sana vichwa.
Ona hapa amejibu maneno matupu kama anaimba taraabu.
Leta andiko linalothibitisha Yesu ni issa?
1. Kati ya Biblia na Quran ipi ilianza?
Kama kati ya kitabu kimojawapo kilianza basi hicho cha pili kimenukuu kwa mwenzake.
2. Issa alibatizwa?
Yesu alibatizwa. Nidanganye kwa maneno tupu

Mathayo 3:16
16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
 
Sura 16:120

Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.

Sura 16:123

Kisha tukakufunulia ya kwamba ufuate mila ya Ibrahim, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.
Sawa. Hivi akhera kutakuwa na mabikira 72 ambao Allah atawapa wanaume wa kiislamu wafanye nao ngono?
 
Hujui kitu kuhusu ukristo kaa kimya.

Unaongea porojo tuu.

Ukristo umejaa vitu vingi sana ambavyo huvijui, wakristo wenyew kila siku tunasoma biblia na kila siku tunapata vitu vipya, biblia sio kitabu tuu ni collection vitabu, very comprehensive, imejaa tasfiri nyingi na utabiri mwingi wa kutisha.

Kwaio kausha mwanang huyo Ibrahimu mwenyew unayemwongelea alikuwa anamwabudu Yesu.

Huwez kuelewa kwaio kausha.
Ukristo ni dini ya watu waliopotea yaani wanaabudu ibada ambayo haipo kabisaaaaaa
Walizusha uongo na wakauamini kuwa ni ukweli, yaaan ningeweza ningetumia neno ila litaleta shida 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na mayahud ni watu wanajua kila kitu kuhusu Mungu na wana uelewa mkubwa sana juu ya Mungu na mitume wake wote ila waliamua tu kukataa kwa ukaidi hao Mungu amewakasarikia na wanaishi katika hasira za Mungu!!!

Hata katika quran Mungu kawaonesha wakristo njia sahihi kwa upole sana coz hawaelew lolote wanalolifuata na mayahud kawachana kwa hasira sana coz wanajua kila kitu
 
Wanasema Islam maana yake "submission to God". So kwasababu Ibrahimu alimuabudu Mungu, alikuwa Muislamu.

Hata mwenyewe sielewi kabisa. Kuhusu hekalu la Sulemani, eneo lilichukuliwa baada ya vita vikali Kati ya Waislamu na Crusaders kuigombania Yerusalemu , wakashinda wakajenga msikiti pale. Kusema ni mali yao mi sioni shida ila shida inakuja maneno kama hekalu ilikuwa msikiti.
Crusaders waliua watu Jerusalem kiasi kwamba damu ilikua inamwagika na mautumbo tumbo yanafika usawa wa Ugoko ama Magoti.

Salahudin alivyokuja hilo eneo akawa piga Crusaders yeye ndie alifungua makanisa yafanye kazi.

Kama nyuzi nyingi zinavyodanganya humu Waisilamu Hawana msikiti mtakatifu aqsa as a jengo, Hilo ni Eneo Takatifu kwa waisilamu kama eneo na sio Jengo na waisilamu wanaswali chini nje.

images (31).jpeg

Take your time google mwenyewe Muslim pray Al Aqsa nenda kwenye Images uone.

Kwenye Story yetu Salahudin baada ya kufungua makanisa kuna Familia za kiisilamu zikapewa Jukumu la kulinda hayo makanisa, mfano Familia ya Nusaybah toka Enzi za Mtume inalinda kanisa la Sepulchre ambalo ndio kanisa takatifu kushinda yote aka Mecca ya Wakristo.

Toka Enzi hizo hadi leo Hii Hio Familia ya Nusaybah bado inalilinda hilo kanisa, wanafungua Asubuhi na wanafunga jioni kwa zaidi ya miaka 1400 sasa. Isome hapa historia yao

Ukatoliki na version nyengine za Ukristo Nyie ni descendant wa Crusaders, mnalishwa matango pori mengi na west, kwanini msijifunze situation ya Middle East toka Kwa Wakristo wenzenu wa huo Ukanda? Ambao wameishi toka Enzi za Yesu? Orthodox Christians? Soma Situation ya hayo Mahekalu toka kwao, For Thousands of years hizo Dini 3 Zina Exist hapo kwa Amani, ambao siku zote wa naleta Bloodshed ni west, kuanzia enzi hizo za Crusaders hadi leo.

Kama Kweli upo serious na unataka kuujua Ukweli tafuta source za Orthodox christians, kwa nini hawasherehekei Christmass kama West, kwanini wanapinga Israel etc. Israel yupo radhi asupport Nchi za kiisilamu kama Azerbaijan kupiga Nchi za Orthodox kama Armenia, ukitafuta huo ukweli utakua umeshajua Majibu mengi ya Huu mgogoro.
 
Ukristo ni dini ya watu waliopotea yaani wanaabudu ibada ambayo haipo kabisaaaaaa
Walizusha uongo na wakauamini kuwa ni ukweli, yaaan ningeweza ningetumia neno ila litaleta shida 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na mayahud ni watu wanajua kila kitu kuhusu Mungu na wana uelewa mkubwa sana juu ya Mungu na mitume wake wote ila waliamua tu kukataa kwa ukaidi hao Mungu amewakasarikia na wanaishi katika hasira za Mungu!!!

Hata katika quran Mungu kawaonesha wakristo njia sahihi kwa upole sana coz hawaelew lolote wanalolifuata na mayahud kawachana kwa hasira sana coz wanajua kila kitu
Hapa ndiyo utajua nani alipotea. Huu uchafu huoni? Mpaka aibu

Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Ukristo ni dini ya watu waliopotea yaani wanaabudu ibada ambayo haipo kabisaaaaaa
Walizusha uongo na wakauamini kuwa ni ukweli, yaaan ningeweza ningetumia neno ila litaleta shida 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na mayahud ni watu wanajua kila kitu kuhusu Mungu na wana uelewa mkubwa sana juu ya Mungu na mitume wake wote ila waliamua tu kukataa kwa ukaidi hao Mungu amewakasarikia na wanaishi katika hasira za Mungu!!!

Hata katika quran Mungu kawaonesha wakristo njia sahihi kwa upole sana coz hawaelew lolote wanalolifuata na mayahud kawachana kwa hasira sana coz wanajua kila kitu
Mzee mimi sitaki kubishana kuhusu Mambo ya mungu maana naona ndo unakoelekea.

Wewe amini unachooamini, ila usije kuongelea ukristo kama vile unaujua, huujui? Kitabu chenu hicho cha Qur'aan ninekisoma ni kidogo kuzidi hata Agano Jipya hakina jipya lolote.

Alaf wayahudi sio kwamba wanajua kila kitu, kuna mambo mengi tuu hawajui, myahudi hana tofauti na mm, labda umdanganye mkristo aliyezubaa.
 
Hujui kitu kuhusu ukristo kaa kimya.

Unaongea porojo tuu.

Ukristo umejaa vitu vingi sana ambavyo huvijui, wakristo wenyew kila siku tunasoma biblia na kila siku tunapata vitu vipya, biblia sio kitabu tuu ni collection vitabu, very comprehensive, imejaa tasfiri nyingi na utabiri mwingi wa kutisha.

Kwaio kausha mwanang huyo Ibrahimu mwenyew unayemwongelea alikuwa anamwabudu Yesu.

Huwez kuelewa kwaio kausha.
Ukristo ni dini ya watu waliopotea yaani wanaabudu ibada ambayo haipo kabisaaaaaa
Walizusha uongo na wakauamini kuwa ni ukweli, yaaan ningeweza ningetumia neno ila litaleta shida 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na mayahud ni watu wanajua kila kitu kuhusu Mungu na wana uelewa mkubwa sana juu ya Mungu na mitume wake wote ila waliamua tu kukataa kwa ukaidi hao Mungu amewakasarikia na wanaishi katika hasira za Mungu!!!

Hata katika quran Mungu kawaonesha wakristo njia sahihi kwa upole sana coz hawaelew lolote wanalolifuata na mayahud kawachana kwa hasira sana coz wanajua
Bado haujajibu swali, unadakia swali lingine.
Quran imeandikwa kwa kiarabu halafu waislamu wengi hawajui Quran.
Hata kutafuta toleo la lugha ya Kiswahili hawawezi.
Waislamu wengi sana ni weupe sana vichwa.
Ona hapa amejibu maneno matupu kama anaimba taraabu.
Leta andiko linalothibitisha Yesu ni issa?
1. Kati ya Biblia na Quran ipi ilianza?
Kama kati ya kitabu kimojawapo kilianza basi hicho cha pili kimenukuu kwa mwenzake.
2. Issa alibatizwa?
Yesu alibatizwa. Nidanganye kwa maneno tupu

Mathayo 3:16
16 Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara akapanda kutoka majini; na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, akija juu yake;
Babu J
Kumbuka kuwa hata biblia yako haijaandikwa kwa kiswahili, biblia ya kwanza imeandikwa kigiriki tena ikiwa imechezewa na kuandikwa uongo mtupu
Fix ya kwanza ni uwepo wa agano la kale na jipya na hapo mmegwanyika.

Kitabu cha kwanza kati ya biblia na quran 😂😂😂😂😂😂😂
Allah aliteremsha vitabu vikuu hivi
Zaburi ya Daud
Torati ya Musa
Injili ya Yesu
Quran kwa Muhammad kwa mfuatano huo.
Vitabu vyote vi3 kabla ya Quran vilitiwa chumvi kwa watu kibadili sheria za Allah kwa maslah ya nafsi zao lakini iliposhuka Quran Allah ameahidi kuilinda na kuitunza dhidi ya mikono michafu ya kuchafua kitabu chake.
Moja ya ajabu ya Quran ni hiyo.... hata ufanyeje huwez kutunga Quran yako coz itaonekana nia ya ajabu kweli kweli
Lakini pia huwez kuichezea kwa kubadilisha chochote coz utagundulika tu (hayo yote mawili makafir walijaribu na wakashndwa)

Pia Allah amesisitiza kuwa lolote lile ambalo liko katika vitabu vilivyotangulia likiwiana na Quran basi ni la kweli na likienda kinyume na Quran basi ni la uongo!!!!!
 
Hujui kitu kuhusu ukristo kaa kimya.

Unaongea porojo tuu.

Ukristo umejaa vitu vingi sana ambavyo huvijui, wakristo wenyew kila siku tunasoma biblia na kila siku tunapata vitu vipya, biblia sio kitabu tuu ni collection vitabu, very comprehensive, imejaa tasfiri nyingi na utabiri mwingi wa kutisha.

Kwaio kausha mwanang huyo Ibrahimu mwenyew unayemwongelea alikuwa anamwabudu Yesu.

Huwez kuelewa kwaio kausha.
ATI Ibrahim akimwabudu yesu..hahahahaaaa
 
Mbona hayo ni maneno ya Ibrahim a.s. 😁😁😁😁😁😁😁😁
Na hiyo inaitwa neno la tauhid ambalo linampa Ibrahim nafas ya kuitwa baba wa Iman
Huyo ni Muhamad anasilimishwa na Allah kuwa muislamu wa kwanza.
Muhamad alikuwa ndiyo muislamu wa kwanza kuupokea uislamu.
Unataka kunidanganya nini tena kuhusu hao wengine?
Uislamu ulianza karne 7 kwa Muhamad. Huwa mnalazimisha mambo.
Bisha na hili
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Mzee mimi sitaki kubishana kuhusu Mambo ya mungu maana naona ndo unakoelekea.

Wewe amini unachooamini, ila usije kuongelea ukristo kama vile unaujua, huujui? Kitabu chenu hicho cha Qur'aan ninekisoma ni kidogo kuzidi hata Agano Jipya hakina jipya lolote.

Alaf wayahudi sio kwamba wanajua kila kitu, kuna mambo mengi tuu hawajui, myahudi hana tofauti na mm, labda umdanganye mkristo aliyezubaa.
Kumbe na we hujui kitu kama myahudi 😁😁😁😁😁😁
Sina ubishi na ww kwanza unaonekana mweupe peeeeeeeeeeee
Kwa mujibu wa quran unayosema ndogo, wakristo ni watu waliopotea kwa uongo full stop. Aya kalale mkristo uliyezubaa
 
Back
Top Bottom