Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Huu ni upumbavu wa hali ya juu😂😂😂na hii hoja huwa wanaitumia wakishaulizwa maswali magumu. Wana uhakika gani mungu aliyeabudiwa na ibrahim ndo allah? Maana allah ni ovyo kabisa
Utapasuka, punguza kuvimba.
 
Hawa jamaa wanafix nying just imagine mudi ndio member wa kwanza kwenye dini yao ,kumbuka kuwa ibrahimu alikuwepo kabla ya mudi
KaMudi kaongo kaongo sana ...janja janja sana ..... We imagine tu kalipigwa mabanzi ili kaelewe Quran..... ndio maana wanatandikwa sana mboko madrasa kuliko shuleni....
 
QURAN 3: 65-74

65.
Enyi Watu wa Kitabu!(Wakristo na Wayahudi) Mbona mnabishana juu ya Ibrahim, na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii?

66. Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui.

67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.

68. Watu wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale walio mfuata yeye na Nabii huyu na walio amini. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wa Waumini.

69. Kipo kikundi katika Watu wa Kitabu (Wakristo na Wayahudi) wanao penda kukupotezeni; lakini hawapotezi ila nafsi zao, nao wenyewe hawatambui.

70. Enyi Watu wa Kitabu! (Wakristo na Wayahudi) Mbona mnazikataa Aya za Mwenyezi Mungu ilhali nyinyi mnashuhudia?

71. Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha uwongo, na kweli mnaificha na hali mnajua? 71

72. Na kikundi katika Watu wa Kitabu walisema: Yaaminini yale waliyo teremshiwa Waislamu mwanzo wa mchana, na yakataeni mwisho wake; huenda wakarejea. 72

73. Wala msimuamini ila anaye fuata dini yenu. Sema: Hakika uwongofu ni uwongofu wa Mwenyezi Mungu, kuwa apewe mtu mfano wa mlio pewa nyinyi au wakuhojini mbele ya Mola wenu Mlezi. Sema: Hakika fadhila zimo mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mjuzi.73

74. Yeye humchagua kumpa rehema zake amtakaye; na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kubwa.
 
Yaaani waislam wanatabia kama za Yanga au ACT wazalendo...wao kila kitu ni kulalamika na wamejaaa Nongwa sana..
Usifananishe Yanga vitu vya kijinga.....eti wanamsubiri Imam Mehdi ambaye hata yeye hajijui kama ni yeye aje kukomboa uMMA wa waislanu ulimwenguni..Hawa jamaa chenga sana
 
QURAN 3: 83-86

83.
Je, wanataka dini isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu, na hali kila kilichomo mbinguni na katika ardhi kimesilimu kwa kumtii Yeye kikipenda kisipende, na kwake Yeye watarejeshwa?

84. Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haka na Yakubu na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Issa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.

85. Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

86. Mwenyezi Mungu atawaongoaje watu walio kufuru baada ya kuamini kwao, na wakashuhudia ya kuwa Mtume huyu (Muhammad) ni wa haki, na zikawafikia hoja zilizo wazi? Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhalimu.


 
Utaabudu Mungu bila ya kuwa na dini(utaratibu)!?..utaabudu vipi!?.. QUR'AN Inasema toka nabii Adam ujumbe ni ule ule na wote ni waislam, uislam maana yake ni kujisalimisha kwa mwenyezi Mungu pekee
Ila muislamu wa Kwanza Mudi.... Nyie jamaa chenga sana
 
Inaelekea kichwa chako ni kigumu kupokea na kuchakata kitu kipya,nimekuuliza unasema Mungu hakuleta dini Bali manabii wa mwanzo walimuabudu Mungu tu bila dini,kwako dini ni nini!?..utafanyaje Ibada bila huyo Mungu kukupa utaratibu wa kufanya hiyo Ibada!?..hapakua na makatazo na maelekezo!?..Kama yalikuwepo hiyo siyo dini!?..nimekwambia Quran inasema ujumbe kwa manbii wote ulikua ule ule,Mungu mmoja,usiabudu mwingine Bali yeye Kama ilivyo kwenye QUR'AN,we umeng'ang'ana Karne ya Saba, waislam/uislam unahesabu yesu,Musa,Ibrahim nk walikua waislam,hawakuwa wayahudi Wala wakiristo
Hiviiii huyu ni mwaka wa ngapi wa kiislamu si 1445??!....
 
Nadhani ni rahisi kuelewa wala hakuna mchanganyiko, ila sio lazima uamini ndio maana dini zote wanaamini Mungu mmoja ni ile hali ya kuabudu ndio wanatofautiana hata ndani ya dini moja kitabu kimoja lakini wanahitilafiana wala sio kitu kibaya. sasa narudi kwanini waislamu wanasema hivi.

Waislamu wanaamini vitabu vyote vinne kuwa ni vitabu vya Mungu na vilishuka kwa mitume tofauti, kwanini wanasema alikuwa muislamu, Ni kuwa wanaamini dini ni moja na ilikuwa process au kiswahili mchakato lakini kuna watu waliishia njiani tu kama vile mayahudi wao wanaamini kuwa mtume wa mwisho ni Moses tu hakuna mtume baada ya Moses ndio wakaishia hapo, Yesu alipokuja na injili hakukubaliwa na wayahudi na mpaka leo hawamkubali wanasema alikuwa mtoto wa mjini tu lakini hakuwa mtume ndio maana wamekataa kabisa ukristo ila wako waliokubali dini na wengi wakaenda na ukristo, kuna waarabu wengi tu Christians. Akaja Mohammed na Quraan kwa imani ya waislamu ndio alikuwa mtume wa mwisho na quraan kitabu cha mwisho kukamilisha dini iliyoanza enzi za mitume wote wa nyuma, ni kama ni maboresho ya yote yaliyopita. Hapo wakristo wakataa uislamu na wengine wakaibeba dini ya kiislamu kufikia leo. Ndio maana waislamu wanaamini mitume wote na vitabu vyote vinne kuwa ni vitabu vitakatifu na mitume wote. Wayahudi wao wa mwisho ni Moses, Wakristo wao Yesu na waislamu Mohammed na Yesu, Moses na wengine wote ni mitume ya Mungu. Hii ndio inawafanya kusema Ibrahim alikuwa muislamu kwa kuwa hitimisho lilikuja kwa Mohammed.
 
Ukristo ni dini ya watu waliopotea yaani wanaabudu ibada ambayo haipo kabisaaaaaa
Walizusha uongo na wakauamini kuwa ni ukweli, yaaan ningeweza ningetumia neno ila litaleta shida 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Na mayahud ni watu wanajua kila kitu kuhusu Mungu na wana uelewa mkubwa sana juu ya Mungu na mitume wake wote ila waliamua tu kukataa kwa ukaidi hao Mungu amewakasarikia na wanaishi katika hasira za Mungu!!!

Hata katika quran Mungu kawaonesha wakristo njia sahihi kwa upole sana coz hawaelew lolote wanalolifuata na mayahud kawachana kwa hasira sana coz wanajua kila kitu
Na vifungu huweki.... Nyie subirini tu kupewa manamake mbinguni..... Mfanye ngono mbele ya allah wenu..kama Mandingo....
 
Kina FaizaFoxy (wapotoshaji) wako wengi hapa duniani, Abraham ni baba wa Wayahudi hana Uislam wowote ndani yake, kwa kifupi, bila Abraham (Ibrahim) hakuna Wayahudi hapa duniani. Uislam ni dini iliyoletwa na Mohammed kimkakati mnamo karne ya 7, Kimkakati kivipi? Mohammed hakupewa unabii na Mungu bali yeye mwenyewe ndiye aliyejipa huo unabii na alikuwa anaua watu makusudi akilazimisha wamuite nabii. Walimu wengi wa dini ya Kiislam ni watu waliofeli shule, mtu hajuwi chochote kuhusu dini yake ila ataropoka tu na kupotosha watu wasiojitambua akili ndipo unakuja kukutana na mtu mpuuzi kama Ali Kiba au FaizaFoxy kwa kujiaminisha upuuzi eti kila mwanadamu kazaliwa akiwa Muislam, sijuwi wanatoa wapi ujinga huu? Clearly, hii inaonyesha kuwa hawajuwi lolote kuhusu dini yao bali wanafuata upepo tu.
Hivi huyu ajuza naye atapewa wanaume 72 wa kimpasha kiporo!!??
 
Vitabu vya uongo hivyo.

Kitabu kimoja tu ndiyo chenye sifa ambazo vitabu vingine vyote uvijuavyo havina sifa hizo.
Utapewa wanaume wangapi wa kukupiga mashine.... Kama watavyopewa wa kiume mabikra 72..... Dini yenu janja janja sana...
 
SIKU MKIKEMEA MAJINI/MAPEPO/MIZIMU KWA JINA LA MUHAMMAD (S.A.W) NA YAKAKIMBIA AU YAKAMTOKA MTU ALIYEPAGAWA KAMA MIMI NINAVYOYAKEMEA KWA JINA LA YESU KRISTO (YESHUA)NA KUYAAMURU YAMTOKE MTU NA KUKIMBIA NDIO NITAAMINI KWAMBA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
 
SIKU MKIKEMEA MAJINI/MAPEPO/MIZIMU KWA JINA LA MUHAMMAD (S.A.W) NA YAKAKIMBIA AU YAKAMTOKA MTU ALIYEPAGAWA KAMA MIMI NINAVYOYAKEMEA KWA JINA LA YESU KRISTO (YESHUA)NA KUYAAMURU YAMTOKE MTU NA KUKIMBIA NDIO NITAAMINI KWAMBA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
Uwelewa wako wewe kama mimi tu, ni mdogo sana juu ya haya mambo.
Nabii suleiyman ni nabii wa nani?
 
Uwelewa wako wewe kama mimi tu, ni mdogo sana juu ya haya mambo.
Nabii suleiyman ni nabii wa nani?
Usilazimishe tufanane sheheee. Mi si size yako wewe endelea na umbumbumbu wako ipo siku utaelewa.
 
Hii dunia yote tangu umeanza uislam kama unavyodai wewe hajawahi kutokea waislam wenye akili?
Kwahiyo ulitaka waarab wamkubali tu kirahisi ni nabii? Yesu alikubalika na watu wote?
Yesu na Mohammed wote ni characters ambao jamii haikuwakubali na mpaka leo hii Wayahudi hawaamini Yesu kuwa mtoto wa Mungu na Mohammed wanamuona ni kama gaidi na ndiyo maana wanamuita kichaa au mtu aliyepatwa na majini.
 
Back
Top Bottom