Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Tatizo la Waislam wengi hawana uelewa wa dini yao, wao ni watu wa kukariri tu vitu. Hapa Bongo tuna msanii mmoja mjinga aitwae Ali Kibamia, kuna siku aliwahi kuropoka kuwa binadamu wote wamezaliwa kuwa Waislam, nilimshangaa sana na kuhoji alisomea wapi. Uislam ni dini ya kimkakati iliyoletwa na shetani / majini, Mohammed mwenyewe hakuwa Muislam, alikuja kuwa Muislam baadaye sana.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kuna jambo moja la msingi sana.
Lugha ya msingi wa Uislamu ni kiarabu tu.
Ili uikariri qurani ni lazima uijue lugha ya Kiarabu tu.
Sasa makabila kama ya Wamakonde na Wa hedzabe wanasikia tu kiarabu kinazungumzwa na Mashehe wao, lakini hawajui huyo Shehe kasema nini.
Wanakaririshwa kusoma Qurani kwa Kiarabu na wanaweza kutamka lakini hawajui kabisa kinachozungumzwa.
Kwahiyo ni kwamba hadi hii leo Waislamu wengi wasio Waarabu hawajui hata sentensi moja ya Qurani.
Wala kuyajua mafundisho yake yote.
Hata hiyo, "Allah akbar" hawajui maana yake.
Na wameshinikizwa wawe Waislamu tu, bila kujua Uislamu unasemaje.
Biblia imefasiliwa kwa lugha zote hadi Kinyakyusa, ili watu waielewe.
Kuna watu wanenda misikitini kuswali miaka na miaka na hawajui kinachosemwa huko misikitini.
Wachache wanajua neno moja tu la kuitikia "Amin, Amen, lenye maana ya "Ndio"
Hili jambo limefanywa kimkakati sana, ili kuwapata maadui wa Mungu.
Yesu alikuja duniani na akawaambia kweli ya Mungu kuwa yeye ndio njia, kweli na uzima. Bila yeye hakuna kiumbe kitafika kwa Mungu Mwenyezi.

Na akawaonesha kwa matendo kwa kupaa mbinguni kwenda kuwaandalia makao waliomsikiliza na kuyafuata maneno yake.
Na hakuna mtume yeyote aliye thubutu kusimama hadharani na kusema " mimi sina dhambi" na watu wakabaki kimya.

Sasa mimi nikiwa na akili timamu, nitamwaminije mtu mwenye dhambi nyingi tu na yaani Muhammadi, aliye tenda maovu ya kutenda kinyume na amri kumi za Mungu alizompatia musa?

Muhamadi kavunja amri zote kumi za Mungu wa Ibrahimu alizompa nabii wake Musa.

Kama naongopa hao wanao mwamini waniambiale, ni amri gani ya Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ambayo Muhammadi hakuivunja.
Nitawathibitshia kwa maandoko yao, ya Qurani na Hadithi zao za kuwazuga watu wa Mungu.
Nasubiri majibu.
 
Mkuu hivi ww siulisha leta mada ya kuwaponda waisilam yakuwa wanatumia muda mwingi kuuongelea ukrisito badala ya mafundisho yao?

Sasa ww mbona haujadili mafundisho ya dini yako badala yake umekaa kuwashwa washwa na Uislam kila dakika?
Maana haiwezi pita siku bila kuleta mada za kuujadili uislam.
Muelimishe kuhusu dini, pengine akawa muumini mzuri!
 
Tatizo la Waislam wengi hawana uelewa wa dini yao, wao ni watu wa kukariri tu vitu. Hapa Bongo tuna msanii mmoja mjinga aitwae Ali Kibamia, kuna siku aliwahi kuropoka kuwa binadamu wote wamezaliwa kuwa Waislam, nilimshangaa sana na kuhoji alisomea wapi. Uislam ni dini ya kimkakati iliyoletwa na shetani / majini, Mohammed mwenyewe hakuwa Muislam, alikuja kuwa Muislam baadaye sana.
wewe kafiri unaelewa nn? kujisafisha tu baada ya kutoka haja kubwa hujui
 
Kwani wakisema hivo inaharibu kitu gani katika safari yetu kwenda Mbingu yetu.Hujui kwamba kila dini ina mbingu yao.Acha uchokozi.Ipambe Mbingu yako.....Yohana 10:10
 
Ishu ni kuwa Waarabu walijisikia vibaya sana walipo ona mitume wote ni Waisraeli.

Ukiisoma Qurani yote wahusika wote ni Wayahudi isipokuwa Muhammadi wakati imeandikwa Uarabuni Maka.

Muhamadi alipobashiriwa kuwa mtume na Padri Mwisraeli Mkatoriki Waraqa Bin Naufal, Waarabu walifurahi sana kupata mtume wa Kabila lao Mwarabu.
Wayahudi na Wakristo walipo enda Maka kuhakikisha kuwa Muhamadi ni mtume wa Mungu wao waliona kuwa hana sifa za kuwa Mtume.

Waarabu walimkubali tu Muhammadi bila ya kumhoji ili kumpima kama ni Mtume kamili au la, kwakuwa walichofurahi wao ni Kumpata mtume wa Kabila lao.
Hadi hii leo Uarabuni ukidiriki kumhoji Muhammadi adhabu yake ni Kifo tu.

Kiujumla Uislamu uligeuka kuwa Utamaduni wa mwarabu na ni marufuku kuukana wala kuhoji.

Ndio unaona kwenye Qurani Wayahudi na Wakristo wanatajwa kuwa ni maadui pekee wa Uislamu.
Ndio maana Magaidi wakigundua wewe ni Mkristo au Myahudi ni wa Kichinjwa tu.

Wa imani nyingine kama Wahindu na Wabudha, Freemasonry, Momonis nk, wao hawana madhara kwa uislamu na wanaheshimiwa katika Uislamu.

Hivyo Uislamu kuwa kama Utamaduni, basi Mwislamu yeyote analazimika kuutetea kwa hali na mali, kwa ukweli na uwongo, kwa zawadi au kwa kutoa roho ya mtu.
Kuuhama uislamu adhabu yake ni Kifo tu.
Ndio maana unawaona hivyo, wanalazimika kuwa hivyo.
Well said, the fact is uislamu umetengenezwa na Roman catholic kwa madhumuni ya kujenga jeshi kubwa ili kuivamia na kuiteka yerusalemu iwe under their control, walitaka yerusalemu iwe makao makuu ya Catholicism.

RC walifeli pakubwa baada ya waarabu kuwakatalia kuisalimisha Yerusalemu mikononi mwao baada ya kuiteka, waarabu walikuwa na military capabilities kubwa sana wakiongozwa na ideology moja i.e Uislamu (chuki dhidi ya wayahudi na wakristo) hawakuogopeshwa na Vatican.
 
Vitabu vingi vya imani kama Freemasonry wana Biblia yao ya Free Masonic Bible.
Dini ya Shetani nayo ina Satanic Bible, nakadharika.
Vyote vinawahusisha wahusika wa kwenye Biblia hasa Ibrahimu, Musa na Yesu.
Wanafanya hivyo ili kuwazuga waumini wao waone kuwa vitabu hivyo ni vya Mungu yuleyule wa kwenye Biblia halisi wa Agano Jipya na la Kale.
Bila kuwahusisha hao wahusika vitaonekana wazi kuwa ni vitabu feki.
Ndio maana, kwa mfano hao wahusika watatu wanasema ni wa imani zao na hapo huwatoi kabisa.
Vitabu vyote hivyo vimeshindwa kujitegemea na ili kuonekana ni vya Mungu kila imani inasema hao wahusika ni wa dini yao.
Utawasikia Yesu ndiye mwanzilishi wa Freemasonry au Satanic.
Uki wauliza je mnabatizwa kama alivyo agiza Yesu ? Hawana majibu.
Ukiwauliza mnashika Sabato kama Musa ? Hawana Majibu.
Ukiwauliza hao wahusika watatu walisilimu kwa kuiimba Shahada ? hawana majibu.
Uki wauliza Ibrahimu aliwahi kulisujudia na kulibusu Jiwe Jeusi la Maka? hawana majibu.
Cha msingi wanahitaji kuelimishwa taratibu ili waijue Kweli ya Mungu ili iwape ufahamu.
Kuna vitabu vingine vinajinadi kuwa vina Torati, Zaburi na Injiri ndani yake.
Ukiwauliza hebu tuonesheni Amri Kumi za Musa, hawana majibu.
Basi mtuoneshe Sura moja ya Zaburi, hawana majibu.
Basi mtuoneshe hiyo Injiri ya Yesu japo sura moja tu, hawana majibu.
Hapo haihitajiki elimu yoyote kuujua ukweli.
Uislamu umetengenezwa kwa lengo moja tuu, kuwa against Ukristo(Christianity) na Uyahudi(Judaism) ndo maana wamechukua characters from the bible na kupika story tofauti na zilizoandikwa kweny biblia.

Wahindi wana dini yao (hinduism) tena ya zamani sana before even Christianity ambayo imesheheni characters, events na story nyingi sana ambazo hazina uhusiano wowote na ukristo, wajapan wana dini yao (Shintoism) ambayo nayo imejaa characters, events an story ambazo hazina uhusiano ukristo.
Sasa tukija kweny uislamu utacheka, ni kama copy and paste from the bible, quran imejaa characters from the bible, imejaa na events from the bible wamebadili kidogo ili ziendane na madhumuni yao, huhitaji kuwa great thinker kugundua kwamba hii sio dini bali ni "movement" yenye malengo flani.

Wangekuwa na akili wangetengeneza dini yao kama wahindi/wajapan/wachina walivofanya, dini iliyojaa characters, events na story tofauti kabisa na ukristo sema hio copy and paste aisee walichemsha.
 
Mkuu mbona Uislam ni fix.Infact mimi nawashangaa sana Waislamu,because it is so clear.Yaani Shetani amewapumbaza na kuwapofusha kiasi kwamba hata uwape ukweli ulio wazi kiasi gani,hawazinduki.Look here,the Bible says kila amkanaye mwana hana Baba,so ni wazi hawana Mungu.

1 Yohana 2:23
23 Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.

Na Katika Yohana 14:6 neno la Mungu linasema,
Yohana 14:6
6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

So ni wazi kwamba Muislam asipogeuka,akatubu na kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake,jibu liko wazi,ni straight kwenye jehanamu ya moto,it is as plain as that.
Njia ni nini?
Njia ya Yesu ni ipi?
 
Uislamu umetengenezwa kwa lengo moja tuu, kuwa against Ukristo(Christianity) na Uyahudi(Judaism) ndo maana wamechukua characters from the bible na kupika story tofauti na zilizoandikwa kweny biblia.

Wahindi wana dini yao (hinduism) tena ya zamani sana before even Christianity ambayo imesheheni characters, events na story nyingi sana ambazo hazina uhusiano wowote na ukristo, wajapan wana dini yao (Shintoism) ambayo nayo imejaa characters, events an story ambazo hazina uhusiano ukristo.
Sasa tukija kweny uislamu utacheka, ni kama copy and paste from the bible, quran imejaa characters from the bible, imejaa na events from the bible wamebadili kidogo ili ziendane na madhumuni yao, huhitaji kuwa great thinker kugundua kwamba hii sio dini bali ni "movement" yenye malengo flani.

Wangekuwa na akili wangetengeneza dini yao kama wahindi/wajapan/wachina walivofanya, dini iliyojaa characters, events na story tofauti kabisa na ukristo sema hio copy and paste aisee walichemsha.
Wakiwa na dini yao itakua ni kosa, uislamu ni dini ya Mungu.
 
Tatizo la Waislam wengi hawana uelewa wa dini yao, wao ni watu wa kukariri tu vitu. Hapa Bongo tuna msanii mmoja mjinga aitwae Ali Kibamia, kuna siku aliwahi kuropoka kuwa binadamu wote wamezaliwa kuwa Waislam, nilimshangaa sana na kuhoji alisomea wapi. Uislam ni dini ya kimkakati iliyoletwa na shetani / majini, Mohammed mwenyewe hakuwa Muislam, alikuja kuwa Muislam baadaye sana.
Muhammad alikua nani kabla ya kua Muislamu?
 
Ishu ni kuwa Waarabu walijisikia vibaya sana walipo ona mitume wote ni Waisraeli.

Ukiisoma Qurani yote wahusika wote ni Wayahudi isipokuwa Muhammadi wakati imeandikwa Uarabuni Maka.

Muhamadi alipobashiriwa kuwa mtume na Padri Mwisraeli Mkatoriki Waraqa Bin Naufal, Waarabu walifurahi sana kupata mtume wa Kabila lao Mwarabu.
Wayahudi na Wakristo walipo enda Maka kuhakikisha kuwa Muhamadi ni mtume wa Mungu wao waliona kuwa hana sifa za kuwa Mtume.

Waarabu walimkubali tu Muhammadi bila ya kumhoji ili kumpima kama ni Mtume kamili au la, kwakuwa walichofurahi wao ni Kumpata mtume wa Kabila lao.
Hadi hii leo Uarabuni ukidiriki kumhoji Muhammadi adhabu yake ni Kifo tu.

Kiujumla Uislamu uligeuka kuwa Utamaduni wa mwarabu na ni marufuku kuukana wala kuhoji.

Ndio unaona kwenye Qurani Wayahudi na Wakristo wanatajwa kuwa ni maadui pekee wa Uislamu.
Ndio maana Magaidi wakigundua wewe ni Mkristo au Myahudi ni wa Kichinjwa tu.

Wa imani nyingine kama Wahindu na Wabudha, Freemasonry, Momonis nk, wao hawana madhara kwa uislamu na wanaheshimiwa katika Uislamu.

Hivyo Uislamu kuwa kama Utamaduni, basi Mwislamu yeyote analazimika kuutetea kwa hali na mali, kwa ukweli na uwongo, kwa zawadi au kwa kutoa roho ya mtu.
Kuuhama uislamu adhabu yake ni Kifo tu.
Ndio maana unawaona hivyo, wanalazimika kuwa hivyo.
Lete tofauti ya UARABU na UYAHUDI.
 
Vitabu vingi vya imani kama Freemasonry wana Biblia yao ya Free Masonic Bible.
Dini ya Shetani nayo ina Satanic Bible, nakadharika.
Vyote vinawahusisha wahusika wa kwenye Biblia hasa Ibrahimu, Musa na Yesu.
Wanafanya hivyo ili kuwazuga waumini wao waone kuwa vitabu hivyo ni vya Mungu yuleyule wa kwenye Biblia halisi wa Agano Jipya na la Kale.
Bila kuwahusisha hao wahusika vitaonekana wazi kuwa ni vitabu feki.
Ndio maana, kwa mfano hao wahusika watatu wanasema ni wa imani zao na hapo huwatoi kabisa.
Vitabu vyote hivyo vimeshindwa kujitegemea na ili kuonekana ni vya Mungu kila imani inasema hao wahusika ni wa dini yao.
Utawasikia Yesu ndiye mwanzilishi wa Freemasonry au Satanic.
Uki wauliza je mnabatizwa kama alivyo agiza Yesu ? Hawana majibu.
Ukiwauliza mnashika Sabato kama Musa ? Hawana Majibu.
Ukiwauliza hao wahusika watatu walisilimu kwa kuiimba Shahada ? hawana majibu.
Uki wauliza Ibrahimu aliwahi kulisujudia na kulibusu Jiwe Jeusi la Maka? hawana majibu.
Cha msingi wanahitaji kuelimishwa taratibu ili waijue Kweli ya Mungu ili iwape ufahamu.
Kuna vitabu vingine vinajinadi kuwa vina Torati, Zaburi na Injiri ndani yake.
Ukiwauliza hebu tuonesheni Amri Kumi za Musa, hawana majibu.
Basi mtuoneshe Sura moja ya Zaburi, hawana majibu.
Basi mtuoneshe hiyo Injiri ya Yesu japo sura moja tu, hawana majibu.
Hapo haihitajiki elimu yoyote kuujua ukweli.
Wewe uliza swali lako la msingi upatiwe majibu sio kulalamika, ukilalamika hutapata jibu, uliza swali linalo kutatiza kisha anayejua jawabu atakupatia. KARIBU MKUU.
 
Wakiwa na dini yao itakua ni kosa, uislamu ni dini ya Mungu.
Huyo mungu alikaa kimya hadi Muhammad azaliwe sio??

Maana hamna historic record yoyote ya Uislamu before Muhammad, Islam started with Muhammad, and that is a fact.
 
  • Thanks
Reactions: 511
wewe kafiri unaelewa nn? kujisafisha tu baada ya kutoka haja kubwa hujui
Na hiki ndicho kitu muislam anaweza simama akajigamba nacho mbele za watu,kwamba amefundishwa namna bora ya kuosha mcundu😁😁😁.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Wewe uliza swali lako la msingi upatiwe majibu sio kulalamika, ukilalamika hutapata jibu, uliza swali linalo kutatiza kisha anayejua jawabu atakupatia. KARIBU MKUU.
Ibrahimu aliibusu kaaba na kuizunguka mara 7???kama sivyo Muhammad alitoa huu utaratibu wapi??
 
  • Thanks
Reactions: 511

Kuhusu ubatizo kwa wa islamu, HAWABATIZI kwa 7bu, Yesu alisema "Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na ......."
Ukijifunza kwa yesu maana yake huwezi kubatiza maana YESU mwenyewe HAJABATIZA. (Yohana 4:2)
Yesu alisema tujifunze kwake na sio kwa Yohana, hivyo yeyote anaye batiza wenzake maana yake hajifunzi kwa Yesu.
Ndio maana hakuna Sheikh anaeweza kumbatiza mtu maana ubatizo sio mafundisho ya Yesu wala sio amri ya Mungu.
 
Back
Top Bottom