Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Hiki ndicho kinachowaponza Wapalestina! Waliaminishwa Uongo wa Quran!
 
Shetani ni Baba wa uongo wote. Aligeuza tu Baadhi ya vifungu vya Bibilia Ili atengeneze uasi na kuanzishe kundi lake (Uislam). Alafu mnadanganywa Eti Mungu Ni mmoja
Mungu Sio mmoja miungu iko mingi
Ila kuna Mungu wa Miungu na Bwana wa Mabwana
Hata mimi pia ni Bwana.
Lakini pia (UISLAM) ni neno la kiarabu, unalifahamu kiswahili chake mkuu?
 
Hiyo ni juu yako mkuu, kuamini miungu ni wangapi!!!!!
Kuhusu utume wa Muhammad aliewa na Mungu aliye umba vyote viliyoko mbinguni na duniani. Sasa sijui wewe unayemuamini ni yupi kwa mujibu wa imani yako.
Thibitisha kwamba alipewa utume na Mungu muumba.
 
Hata mimi pia ni Bwana.
Lakini pia (UISLAM) ni neno la kiarabu, unalifahamu kiswahili chake mkuu?
Wewe ni bwana wa mkeo,sio bwana wa mabwana usichanganye.hata Allah ni mungu,ila Muumba mbingu na nchi haitwi allah.

Islam maana yake ni kujifanya mateka kwa Allah.
 
Hiki ndicho kinachowaponza Wapalestina! Waliaminishwa Uongo wa Quran!
Na ndicho hiki hiki walichoaminishwa wasiokua waislamu yakua Yesu alichukua dhabi zao, na kua Yesu mwenyewe anaenda Motoni ili aliye tenda dhambi ale bata uzima wa milele. (Wagalatia. 3:13)
AMKENI NINYI.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Uislamu haukuletwa na mtume muhammad ulikamilishwa na mtume muhammad
Uislamu maana yake ni kuabudu mungu mmoja na mitume yake
Kwahiyo uislamu ulikuwepo kabla ya muhammad, na hata enzi hizo yesu na mitume yote iliabudu mungu mmoja tu bila ya kumshiriskisha, ukiangalia hata yesu alisali kwa kutawadha na kusujudu, mungu hajawahi kubadilika
 
Copy and paste

Copy and paste, hawa jamaa wame copy biblia wakachanganya na uchawi, wakaita Quran.
 
Na ndicho hiki hiki walichoaminishwa wasiokua waislamu yakua Yesu alichukua dhabi zao, na kua Yesu mwenyewe anaenda Motoni ili aliye tenda dhambi ale bata uzima wa milele. (Wagalatia. 3:13)
AMKENI NINYI.
Mbona sisi tunatumia akili kuliko nyie ambao mtume asiye na lolote,aliwaamulu kumtaja kila wakati wa sala😅😅.

Mbaya zaidi akiwa amesema haitakiwi mtu au kiumbe chochote kutajwa anapotamkwa allah,ila shahada yenyewe tu inamtaja mtume na mungu wenu😂😂😂

Yule bata kitu alichofanikiaa ni kuwafanya wajinga bila nyinyi kujua.mnamuabudu ila hamuwezi shtuka,ndio sababu naweza tukana allah nitakavgoweza ila nikimtukana kipenzi chako unanichinja hapa😁
 
Uislamu haukuletwa na mtume muhammad ulikamilishwa na mtume muhammad
Uislamu maana yake ni kuabudu mungu mmoja na mitume yake
Kwahiyo uislamu ulikuwepo kabla ya muhammad, na hata enzi hizo yesu na mitume yote iliabudu mungu mmoja tu bila ya kumshiriskisha, ukiangalia hata yesu alisali kwa kutawadha na kusujudu, mungu hajawahi kubadilika
Usimtaje taje Yesu kuhalalisha huo utapeli wa mtume.
 
sasa kama unamuheshimu mbona unamfananisha na muigizaji muitaliano ,na kumuweka ukutani kanisani na kumuita mungu? Hata huyo yesu anakushangaa
 
Ushasema namfananisha,wewe nikifananisha na john cena namdharau john cena??

MUNGU ni Yesu,ile sanamu kanisani au sebuleni kwangu haina tofauti na maiti ya Muhammad au Allah,haina madhara yoyote.
 
Kama unaamini kama yule muigizaji ndio yesu na ndio mungu wako wewe ni wakuonewa huruma, .maana mwenzetu mungu wako anaishi italy, pole tafuta elimu uujue ukweli kiburi kwwnye kitu ambacho hata mwenyewe unaona kabisa ni uhayawani hakikusaidii kitu kwenye imani
 
Yah Mungu ni mmoja,na hajawahi kuwa na mtume kama Muhammad😁😁
Hayo unayobisha hayatokusaidia kitu, maana wewe unaamini kuna mungu baba, mwana na roho mtakatifu tayari ushamuweka kwenye utatu tayari umefeli
 
Hizo vitu ni kubwa sana kwako,hata Allah zinamchanganya akamwambja Muhammad kua wakristo wana miungu wa3 yaani Issah,mariam,Allah😆😆,so take a chill.
 
1714672911951.png

Mungu anamlilia mungu kwamba kamtosa , hivi hata akili ya kuzaliwa tu ya kawaida mungu anamliliaje mungu ?
 
Thibitisha kwamba alipewa utume na Mungu muumba.
Utume wa Muhammad hauthibitishwi na mtu bani unathibitishwa na Mungu, kupitia malaika Gabriel/Jibril.
QUR-AN 3:158
158. Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Hapana mungu ila Yeye anaye huisha na anaye fisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka.
 
Kama unaamini kama yule muigizaji ndio yesu na ndio mungu wako wewe ni wakuonewa huruma, .maana mwenzetu mungu wako anaishi italy, pole tafuta elimu uujue ukweli kiburi kwwnye kitu ambacho hata mwenyewe unaona kabisa ni uhayawani hakikusaidii kitu kwenye imani
Hayo ni madai yako na waislam wenzako wasomi,hakuna mkristo anayesema deacon ni Mungu.
 
Back
Top Bottom