Uchaguzi 2020 Hapa ndipo anapokosea Dkt. John P. Magufuli. Kwasasa yeye ni 'mgombea zaidi' kuliko Rais

Uchaguzi 2020 Hapa ndipo anapokosea Dkt. John P. Magufuli. Kwasasa yeye ni 'mgombea zaidi' kuliko Rais

Hujui kitu! Nchi haiwezi kukosa Rais hata sekunde moja!

We jamaa nikiazi, nimekwambia nchi inaweza kukosa rais hata sekunde moja?. Nimekwambia wakati wakampeni shughuri zote za raisi zinarasimishwa kwa katibu mkuu mkuu, na raisi anakua ceremony leader mpaka baada ya uchaguzi. Sasa kama huelewi jambo dogo kama hili utaelewa kweli?. Rais kipindi hiki harusiwi kutoa ahadi yeyote ile kama raisi bali atatoa ahadi kama mgombea huu nikwamujibu sheria za tume yataifa ya uchaguzi.

Hivi unafaham kwa nn CDF mabeo anampigia salute Jokate Mwengelo, lkn kwenye kikao maalum Ikulu Rais hawezi mwita Jokate wazungumzie mstakabali wanchi bali anakuwepo CDF?.

Kama katiba ingekua inafaatwa Magufuli kwa ahadi ile yajana angeenguliwa kwenye uchaguzi.
 
Na hii kauli ndo itafanya tuungwe mkono na jumuiya ya kimataifa pale tutakapoamua kumng'oa madarakani kwa nguvu
Kosa la kiufundi hili nyakati hizi za Kampeini za uchaguzi...! Watanzania hawatishwi!!!

Watanzania wana imani thabiti, wana nia thabiti, wana nguvu thabiti, na wana umoja thabiti katika kujiletea maendeleo kwa kujitegemea zaidi!

Wewe hujiulizi...Corona tu inayosumbua vichwa vya mnaowaita wabobezi wa Kitabibu lakini hapa Corona 'iliambiwa' ama iondoke ama ikae kwa adabu...!! Mpaka sasa Corona "anatafutwa kwa tochi" nchini...haijulikani katorokea wapi...na kama bado yupo basi kashika adabu na abau imemshika!!!!

Achaneni na mawazo ya kitegemezi...!!
 
Atapigwa na butwaa kubwa pale anapotakiwa kufanya Handover ya ofisi ya urais kwa Mhe.Tundu Lissu.....
Anatakiwa kujianda kisakoloji ,jpm angekua anajua ukubwa wa tatizo la sera zake kwenye uchumi asingejiamini anaweza kukosa kura hata yamke wake watu wanakufa kwanjaa kwamagonjwa yanayotibika kwasabu ya umasikini yeye anaona sawa tu kwasabu yeye anatembea na viroba vya pesa
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
We jamaa nikiazi, nimekwambia nchi inaweza kukosa raisi hata sekunde moja?. Nimekwambia wakati wakampeni shughuri zote za raisi zinarasimishwa kwa katibu mkuu mkuu, na raisi anakua ceremony leader mpaka baada ya uchaguzi. Sasa kama huelewi jambo dogo kama hili utaelewa kweli?. Raisi kipindi hiki harusiwi kutoa ahadi yeyote ile kama raisi bali atatoa ahadi kama mgombea huu nikwamujibu sheria za tume yataifa ya uchaguzi.

Hivi unafaham kwa nn CDF mabeo anampigia salute Jokate Mwengelo, lkn kwenye kikao maalum Ikulu raisi hawezi mwita Jokate wazungumzie mstakabali wanchi bali anakuwepo CDF?.

Kama katiba ingekua inafaatwa Magufuli kwa ahadi ile yajana angeenguliwa kwenye uchaguzi.
Acha kukariri bali fikiria kabla ya kuandika ngonjera zako hapa. Sasa kama unasema shughuli za Rais zinasimamishwa hapo kuna Rais? Narudia tena kwa Mujibu wa Katiba yetu hakuna hata sekunde moja ambapo Rais anakuwa hayupo katika nchi. Shughuli zake zinaendelea kama kawaida. Katibu Mkuu Kiongozi hawezi kufanyakazi kama Rais hata siku moja. Kuhusu CDF mambo ya kijeshi achana nayo huyajui kabisa hangaika na siasa uchwara tu.
 
Mkuu, opinion polls zinaonesha CCM (Magu) itashinda kwa kishindo uchaguzi huu.. Makadirio yakiwa ni ushindi wa zaidi ya 90%.

Acha kujifariji mkuu ukikaa hapo Lumumba- Dar ndivyo unavyoona mambo yalivyo ila uhalisia Jiwe litakalishwa na Tundu safari hii......
 
Jana katoa amri zahanati ijengwe Singida na ataenda kuzindua mwezi wa 11 sasa kama nayeye nimgombea unatoaje ahadi kuwa kianze kujengwa katikati ya kampeni hio sirushwa?.
Rushwa ipi wakati pesa za ujenzi wa zahanati zimepelekwa huko kabla ya kuanza rasmi kwa kampeni!
 
Kama unafikiri mtafanana maisha na Makonda basi pole!

Mlisema Makonda akitoka kwenye hiyo mafasi mtamfanya vibaya, haya huyo hapo sasa anadunda tu.

Na baada ya Magu kuapishwa atateuliwa cheo kikubwa sana.
Kutoka kuwa mkuu wa wasiojulikana kuwa waziri.
 
Opinion polls zimefanywa na nani?
Hapa Russia tuna the Levada Center,wao wana reputation nzuri kuhusu researches & polls.
USA kuna Gallup,YouGov na wengine wanaotambulika.
Hao waliofanya opinion polls ya 90% ni nani?
The Rivers of Joy!
 
Kosa la kiufundi hili nyakati hizi za Kampeini za uchaguzi...! Watanzania hawatishwi!!!

Watanzania wana imani thabiti, wana nia thabiti, wana nguvu thabiti, na wana umoja thabiti katika kujiletea maendeleo kwa kujitegemea zaidi!

Wewe hujiulizi...Corona tu inayosumbua vichwa vya mnaowaita wabobezi wa Kitabibu lakini hapa Corona 'iliambiwa' ama iondoke ama ikae kwa adabu...!! Mpaka sasa Corona "anatafutwa kwa tochi" nchini...haijulikani katorokea wapi...na kama bado yupo basi kashika adabu na abau imemshika!!!!

Achaneni na mawazo ya kitegemezi...!!
Hata sijaelewa umeandika nini.hivi BWM yupo wapi au corona inachagua?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
It's true. Anaongea kwa kuhutubia badala ya kukampeni.

Hotuba zake zimejaa madaraka zaidi na majivuno kwa mbali .... si yule wa mwaka 2015, mnyeyekevu mpaka anapiga push up jukwaani!!
 
Opinion polls zimefanywa na nani?
Hapa Russia tuna the Levada Center,wao wana reputation nzuri kuhusu researches & polls.
USA kuna Gallup,YouGov na wengine wanaotambulika.
Hao waliofanya opinion polls ya 90% ni nani?
Hahaha Hapa ni TANZANIA sio lazima Wa USA na WARUSSIA wasemee wao ya kwaooo THIS IS BLACK NATION Tnakwenda na Yetu
 
Back
Top Bottom