Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Kwann umehusisha Ukristo?.
Kwanza, Hebu tueleze hao vijana wawili ni wakristo wa dhehebu gan?.
Wamewakilisha kikund gan cha Ukristo?.
Pili, Nazism ya Adolph Hitler haikuwa itikad ya dini, ila ni white superity na kukomesha wahamiaji .
Neo-Nazi ina maana ni Ideology ile ile ya Nazi sema imezaliwa upya.
(Neo ni new, so that's means Dini haipo hapo).
Wauaji wanaweza kuwa wa dini yoyote. Na wakachagua sehem yoyote yenye jumuiko la halaiki kufanya mauaji yao. Iwe sokoni, kanisan , beach au msikitini.
Hawa kwakuwa wameua watu msikitini sio kwamba wao ni kikund cha Kikristo. Ila ni vijana wawili wenye msimamo na malengo ya Nazism.
(kupinga uvamizi na kutaka wazungu wapewe vipaumbele).
Ni kama hizi Vurugu za South Africa. Za kutaka wageni waondoke.
Ni the same na hao vijana walichofanya.
Hii sio ugaidi.
AmiiinAllah Awasamehe na Awarehemu Ndugu zetu waliouawa katika tukio hilo. Allah Awakubalie kuwa katika Mashahidi, Allahumma Aamiin.
Muda sio mrefu waislam nao wataanza kukinywea kikombe mana wanaona sifa kuuwa wakristo wasio na hatia soon wakristo watagoma kugeuza shavu lingine na kikiwaka tunajua wakina nani lazima wapoteze.Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark mwenye miaka 17 na Caleb Vazquez mwenye miaka 18 wakifariki kutokana na majeraha ya kujipiga risasi wenyewe.
Polisi pia walieleza kuwa nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.
Na mama wa mmoja wa washukiwa anaripotiwa kupokea ujumbe ambao mwanawe aliacha kabla ya tukio hilo, huku maudhui yake yakibaki kufichwa na mamlaka mpaka sasa.
Lakini pamoja na tukio hili kuwa:
shambulio dhidi ya nyumba ya ibada, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia chuki ya kidini, na washambuliaji kujitoa mhanga wenyewe, bado dunia haikulikimbilia kulitaja kama “ugaidi.”
Hakukuwa na vyombo vya habari vikubwa vikifanya matangazo ya siku nzima juu ya “ugaidi wa Kikristo.”
Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…
Dunia nzima ingetikisika kwa neno:
“Islamic Terrorism.”
Masjid ungegeuzwa ushahidi wa “itikadi hatari.” Qur’an ingeshutumiwa.
Ndevu, Hijab na Takbir vingetazamwa kwa hofu. Na Waislamu duniani kote wangetakiwa kujitetea kwa kosa ambalo hawakulifanya.
Hapa ndipo unapouona wazi unafiki wa mfumo wa habari wa dunia ya leo:
damu ya Waislamu haipimwi kwa mizani Sawa, na ugaidi hupewa jina kulingana na dini ya anayefanya, si ukubwa wa uhalifu wenyewe.
Ikiwa Muislamu akifanya uhalifu:
dini yake ndiyo hutuhumiwa.
Lakini asiye Muislamu akifanya mauaji:
huambiwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, au “mtu aliyepotea njia.”
Huu ndio uso wa viwango viwili vya dunia ya leo. Na ndio maana Waislamu wengi wanaona kwamba neno “ugaidi” limekuwa silaha ya kisiasa inayotumiwa dhidi ya Uislamu na Waislamu zaidi kuliko kuwa maelezo ya uhalifu wenyewe.
Hivyo vitendo vya umwagaji damu ndio ugaidi basi hakuna magaidi katika wamagharibi na nguruwe wa kiyahudi. Ila kama kuwa muislamu mwenye mapenzi na dini yake ndio ugaidi basi tunakubali kuwa sisi ni magaidi.Tutashinda!!
Nini hasa mantiki ya andiko hili?Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark mwenye miaka 17 na Caleb Vazquez mwenye miaka 18 wakifariki kutokana na majeraha ya kujipiga risasi wenyewe.
Polisi pia walieleza kuwa nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.
Na mama wa mmoja wa washukiwa anaripotiwa kupokea ujumbe ambao mwanawe aliacha kabla ya tukio hilo, huku maudhui yake yakibaki kufichwa na mamlaka mpaka sasa.
Lakini pamoja na tukio hili kuwa:
shambulio dhidi ya nyumba ya ibada, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia chuki ya kidini, na washambuliaji kujitoa mhanga wenyewe, bado dunia haikulikimbilia kulitaja kama “ugaidi.”
Hakukuwa na vyombo vya habari vikubwa vikifanya matangazo ya siku nzima juu ya “ugaidi wa Kikristo.”
Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…
Dunia nzima ingetikisika kwa neno:
“Islamic Terrorism.”
Masjid ungegeuzwa ushahidi wa “itikadi hatari.” Qur’an ingeshutumiwa.
Ndevu, Hijab na Takbir vingetazamwa kwa hofu. Na Waislamu duniani kote wangetakiwa kujitetea kwa kosa ambalo hawakulifanya.
Hapa ndipo unapouona wazi unafiki wa mfumo wa habari wa dunia ya leo:
damu ya Waislamu haipimwi kwa mizani Sawa, na ugaidi hupewa jina kulingana na dini ya anayefanya, si ukubwa wa uhalifu wenyewe.
Ikiwa Muislamu akifanya uhalifu:
dini yake ndiyo hutuhumiwa.
Lakini asiye Muislamu akifanya mauaji:
huambiwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, au “mtu aliyepotea njia.”
Huu ndio uso wa viwango viwili vya dunia ya leo. Na ndio maana Waislamu wengi wanaona kwamba neno “ugaidi” limekuwa silaha ya kisiasa inayotumiwa dhidi ya Uislamu na Waislamu zaidi kuliko kuwa maelezo ya uhalifu wenyewe.
Hivyo vitendo vya umwagaji damu ndio ugaidi basi hakuna magaidi katika wamagharibi na nguruwe wa kiyahudi. Ila kama kuwa muislamu mwenye mapenzi na dini yake ndio ugaidi basi tunakubali kuwa sisi ni magaidi.Tutashinda!!
Hao unaosema wako kwenye nchi yao unawatambua kwa dini yao au utaifa wao?wanajaribu kujilinda dhidi ya islamic invasion, wako kwenye nchi yao, wanaona kila siku nchi ikibadilika na hawaitambui tena, muslims kila mahali, misikiti kila kona, wanavamiwa na wanajaribu kujilinda halafu unataka kuita ugaidi? …
Hao unaosema wako kwenye nchi yao unawatambua kwa dini yao au utaifa wao?
Hao waliofanya mashambulizi wameyafanya kwa mlengo wa SS, ni Nazis sasa Christianity inaingiaje?Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark mwenye miaka 17 na Caleb Vazquez mwenye miaka 18 wakifariki kutokana na majeraha ya kujipiga risasi wenyewe.
Polisi pia walieleza kuwa nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.
Na mama wa mmoja wa washukiwa anaripotiwa kupokea ujumbe ambao mwanawe aliacha kabla ya tukio hilo, huku maudhui yake yakibaki kufichwa na mamlaka mpaka sasa.
Lakini pamoja na tukio hili kuwa:
shambulio dhidi ya nyumba ya ibada, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia chuki ya kidini, na washambuliaji kujitoa mhanga wenyewe, bado dunia haikulikimbilia kulitaja kama “ugaidi.”
Hakukuwa na vyombo vya habari vikubwa vikifanya matangazo ya siku nzima juu ya “ugaidi wa Kikristo.”
Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…
Dunia nzima ingetikisika kwa neno:
“Islamic Terrorism.”
Masjid ungegeuzwa ushahidi wa “itikadi hatari.” Qur’an ingeshutumiwa.
Ndevu, Hijab na Takbir vingetazamwa kwa hofu. Na Waislamu duniani kote wangetakiwa kujitetea kwa kosa ambalo hawakulifanya.
Hapa ndipo unapouona wazi unafiki wa mfumo wa habari wa dunia ya leo:
damu ya Waislamu haipimwi kwa mizani Sawa, na ugaidi hupewa jina kulingana na dini ya anayefanya, si ukubwa wa uhalifu wenyewe.
Ikiwa Muislamu akifanya uhalifu:
dini yake ndiyo hutuhumiwa.
Lakini asiye Muislamu akifanya mauaji:
huambiwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, au “mtu aliyepotea njia.”
Huu ndio uso wa viwango viwili vya dunia ya leo. Na ndio maana Waislamu wengi wanaona kwamba neno “ugaidi” limekuwa silaha ya kisiasa inayotumiwa dhidi ya Uislamu na Waislamu zaidi kuliko kuwa maelezo ya uhalifu wenyewe.
Hivyo vitendo vya umwagaji damu ndio ugaidi basi hakuna magaidi katika wamagharibi na nguruwe wa kiyahudi. Ila kama kuwa muislamu mwenye mapenzi na dini yake ndio ugaidi basi tunakubali kuwa sisi ni magaidi.Tutashinda!!
Ni nini maana ya ugaidi?Hao waliofanya mashambulizi wameyafanya kwa mlengo wa SS, ni Nazis sasa Christianity inaingiaje?
Hao wameua huku wakirejea vifungu vya Biblia na mafundisho ya mitume? Wameua wakitamka Praise the Lord?
Unadhani Juma akiamua kumchoma moto mwizi tutamuita gaidi?
Au unadhani Jackson akiamuua mwizi tutamuita gaidi?
Ila Iran akijilinda na America invasion inakua nongwa si ndiyo?wanajaribu kujilinda dhidi ya islamic invasion, wako kwenye nchi yao, wanaona kila siku nchi ikibadilika na hawaitambui tena, muslims kila mahali, misikiti kila kona, wanavamiwa na wanajaribu kujilinda halafu unataka kuita ugaidi? …