UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Kipi kinawapa haki wao kuona kwamba hakupaswa kuenea dini au watu wa dini nyengine tofauti na wao?dini yao …

Ila Iran akijilinda na America invasion inakua nongwa si ndiyo?
Hii nchi sio ya baba yako au mumeo mchepuko weweni wapi na lini imekuwa ni nongwa kwa irani kujilinda? wanapaswa kujilinda, haki ya kujilinda dhidi ya uvamizi ni ya yoyote, hata tanzagiza tuna haki ya kijilinda dhidi ya uvamizi wa barbaria islamist somalis ..
Waambie waume zako hao wamagharibi waache kuvamia nchihovyo hovyoni wapi na lini imekuwa ni nongwa kwa irani kujilinda? wanapaswa kujilinda, haki ya kujilinda dhidi ya uvamizi ni ya yoyote, hata tanzagiza tuna haki ya kijilinda dhidi ya uvamizi wa barbaria islamist somalis ..
The more you learn the more you realize how little you know.Hao wavamizi unao kwenye imagination yako?Unajua maana ya uvamizi?Baba yako angetumia condom angetuepusha na hii adha ya kubishana na wewe zumbukuku.ni wapi na lini imekuwa ni nongwa kwa irani kujilinda? wanapaswa kujilinda, haki ya kujilinda dhidi ya uvamizi ni ya yoyote, hata tanzagiza tuna haki ya kijilinda dhidi ya uvamizi wa barbaria islamist somalis ..
Hii nchi sio ya baba yako au mumeo mchepuko wewe
Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark mwenye miaka 17 na Caleb Vazquez mwenye miaka 18 wakifariki kutokana na majeraha ya kujipiga risasi wenyewe.
Polisi pia walieleza kuwa nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.
Na mama wa mmoja wa washukiwa anaripotiwa kupokea ujumbe ambao mwanawe aliacha kabla ya tukio hilo, huku maudhui yake yakibaki kufichwa na mamlaka mpaka sasa.
Lakini pamoja na tukio hili kuwa:
shambulio dhidi ya nyumba ya ibada, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia chuki ya kidini, na washambuliaji kujitoa mhanga wenyewe, bado dunia haikulikimbilia kulitaja kama “ugaidi.”
Hakukuwa na vyombo vya habari vikubwa vikifanya matangazo ya siku nzima juu ya “ugaidi wa Kikristo.”
Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…
Dunia nzima ingetikisika kwa neno:
“Islamic Terrorism.”
Masjid ungegeuzwa ushahidi wa “itikadi hatari.” Qur’an ingeshutumiwa.
Ndevu, Hijab na Takbir vingetazamwa kwa hofu. Na Waislamu duniani kote wangetakiwa kujitetea kwa kosa ambalo hawakulifanya.
Hapa ndipo unapouona wazi unafiki wa mfumo wa habari wa dunia ya leo:
damu ya Waislamu haipimwi kwa mizani Sawa, na ugaidi hupewa jina kulingana na dini ya anayefanya, si ukubwa wa uhalifu wenyewe.
Ikiwa Muislamu akifanya uhalifu:
dini yake ndiyo hutuhumiwa.
Lakini asiye Muislamu akifanya mauaji:
huambiwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, au “mtu aliyepotea njia.”
Huu ndio uso wa viwango viwili vya dunia ya leo. Na ndio maana Waislamu wengi wanaona kwamba neno “ugaidi” limekuwa silaha ya kisiasa inayotumiwa dhidi ya Uislamu na Waislamu zaidi kuliko kuwa maelezo ya uhalifu wenyewe.
Hivyo vitendo vya umwagaji damu ndio ugaidi basi hakuna magaidi katika wamagharibi na nguruwe wa kiyahudi. Ila kama kuwa muislamu mwenye mapenzi na dini yake ndio ugaidi basi tunakubali kuwa sisi ni magaidi.Tutashinda!!
Muache uongo na kusingizia ukiristo nyinyi Waislamu. Wapi umesikia hao vijana wakipiga makelele ya kumtaja Kristo au Yahweh wakati wanaua hao watu kwa risasi!?Kwann umehusisha Ukristo?.
Kwanza, Hebu tueleze hao vijana wawili ni wakristo wa dhehebu gan?.
Wamewakilisha kikund gan cha Ukristo?.
Pili, Nazism ya Adolph Hitler haikuwa itikad ya dini, ila ni white superity na kukomesha wahamiaji .
Neo-Nazi ina maana ni Ideology ile ile ya Nazi sema imezaliwa upya.
(Neo ni new, so that's means Dini haipo hapo).
Wauaji wanaweza kuwa wa dini yoyote. Na wakachagua sehem yoyote yenye jumuiko la halaiki kufanya mauaji yao. Iwe sokoni, kanisan , beach au msikitini.
Hawa kwakuwa wameua watu msikitini sio kwamba wao ni kikund cha Kikristo. Ila ni vijana wawili wenye msimamo na malengo ya Nazism.
(kupinga uvamizi na kutaka wazungu wapewe vipaumbele).
Ni kama hizi Vurugu za South Africa. Za kutaka wageni waondoke.
Ni the same na hao vijana walichofanya.
Hii sio ugaidi.
Kama hujui si unayamazishe tu hilo kalio unaloliita mdomo!?Muache uongo na kusingizia ukiristo nyinyi Waislamu. Wapi umesikia hao vijana wakipiga makelele ya kumtaja Kristo au Yahweh wakati wanaua hao watu kwa risasi!?
Mbili huyo Adolf Hitler mnayemtaja kwanza nikwambie. Nyinyi Waislamu mlikuwa Washirika wake wakuu wa Mauaji ya Wayahudi. Ona hii picture
View attachment 3591811
Kwani wanakosea? Hata ukiristo una historia ya ugaidi pia. Serikali ndizo zinaongoza kwa ugaidi.Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark mwenye miaka 17 na Caleb Vazquez mwenye miaka 18 wakifariki kutokana na majeraha ya kujipiga risasi wenyewe.
Polisi pia walieleza kuwa nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.
Na mama wa mmoja wa washukiwa anaripotiwa kupokea ujumbe ambao mwanawe aliacha kabla ya tukio hilo, huku maudhui yake yakibaki kufichwa na mamlaka mpaka sasa.
Lakini pamoja na tukio hili kuwa:
shambulio dhidi ya nyumba ya ibada, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia chuki ya kidini, na washambuliaji kujitoa mhanga wenyewe, bado dunia haikulikimbilia kulitaja kama “ugaidi.”
Hakukuwa na vyombo vya habari vikubwa vikifanya matangazo ya siku nzima juu ya “ugaidi wa Kikristo.”
Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…
Dunia nzima ingetikisika kwa neno:
“Islamic Terrorism.”
Masjid ungegeuzwa ushahidi wa “itikadi hatari.” Qur’an ingeshutumiwa.
Ndevu, Hijab na Takbir vingetazamwa kwa hofu. Na Waislamu duniani kote wangetakiwa kujitetea kwa kosa ambalo hawakulifanya.
Hapa ndipo unapouona wazi unafiki wa mfumo wa habari wa dunia ya leo:
damu ya Waislamu haipimwi kwa mizani Sawa, na ugaidi hupewa jina kulingana na dini ya anayefanya, si ukubwa wa uhalifu wenyewe.
Ikiwa Muislamu akifanya uhalifu:
dini yake ndiyo hutuhumiwa.
Lakini asiye Muislamu akifanya mauaji:
huambiwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, au “mtu aliyepotea njia.”
Huu ndio uso wa viwango viwili vya dunia ya leo. Na ndio maana Waislamu wengi wanaona kwamba neno “ugaidi” limekuwa silaha ya kisiasa inayotumiwa dhidi ya Uislamu na Waislamu zaidi kuliko kuwa maelezo ya uhalifu wenyewe.
Hivyo vitendo vya umwagaji damu ndio ugaidi basi hakuna magaidi katika wamagharibi na nguruwe wa kiyahudi. Ila kama kuwa muislamu mwenye mapenzi na dini yake ndio ugaidi basi tunakubali kuwa sisi ni magaidi.Tutashinda!!
Kwani hakuna Wamarekani asili ambao ni waislam?dini yao …
Hivi mnawajua Neo Nazi ni kina nani?kwa mlengo wa SS, ni Nazis
Kuna magaidi na washambuliaji, hao walikuwa washambuliaji tu wa raia. Magaidi wengi ni waislam.Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark mwenye miaka 17 na Caleb Vazquez mwenye miaka 18 wakifariki kutokana na majeraha ya kujipiga risasi wenyewe.
Polisi pia walieleza kuwa nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.
Na mama wa mmoja wa washukiwa anaripotiwa kupokea ujumbe ambao mwanawe aliacha kabla ya tukio hilo, huku maudhui yake yakibaki kufichwa na mamlaka mpaka sasa.
Lakini pamoja na tukio hili kuwa:
shambulio dhidi ya nyumba ya ibada, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia chuki ya kidini, na washambuliaji kujitoa mhanga wenyewe, bado dunia haikulikimbilia kulitaja kama “ugaidi.”
Hakukuwa na vyombo vya habari vikubwa vikifanya matangazo ya siku nzima juu ya “ugaidi wa Kikristo.”
Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…
Dunia nzima ingetikisika kwa neno:
“Islamic Terrorism.”
Masjid ungegeuzwa ushahidi wa “itikadi hatari.” Qur’an ingeshutumiwa.
Ndevu, Hijab na Takbir vingetazamwa kwa hofu. Na Waislamu duniani kote wangetakiwa kujitetea kwa kosa ambalo hawakulifanya.
Hapa ndipo unapouona wazi unafiki wa mfumo wa habari wa dunia ya leo:
damu ya Waislamu haipimwi kwa mizani Sawa, na ugaidi hupewa jina kulingana na dini ya anayefanya, si ukubwa wa uhalifu wenyewe.
Ikiwa Muislamu akifanya uhalifu:
dini yake ndiyo hutuhumiwa.
Lakini asiye Muislamu akifanya mauaji:
huambiwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, au “mtu aliyepotea njia.”
Huu ndio uso wa viwango viwili vya dunia ya leo. Na ndio maana Waislamu wengi wanaona kwamba neno “ugaidi” limekuwa silaha ya kisiasa inayotumiwa dhidi ya Uislamu na Waislamu zaidi kuliko kuwa maelezo ya uhalifu wenyewe.
Hivyo vitendo vya umwagaji damu ndio ugaidi basi hakuna magaidi katika wamagharibi na nguruwe wa kiyahudi. Ila kama kuwa muislamu mwenye mapenzi na dini yake ndio ugaidi basi tunakubali kuwa sisi ni magaidi.Tutashinda!!
Wewe tunawajua nyinyi waabudu wa shetan allah kwa matusi, hatushangai; ila vichwani mwenu kumejaa kuran mliyokariri ndiyo maana hata hamjui kuchanganua mambo. Wapi umesoma mimi nikikataa kuwa hao vijana siyo magaidi!? Ninachopinga ni kusema ati wamefanya ugaidi huo wakichochewa na imani ya kikiristo. Ndiyo maana nikauliza "Je umesikia wakipiga kelele kuwa wanaua kwa jina la Yesu? Wale wa shetani allah wao huimba allahu akibar!Kama hujui si unayamazishe tu hilo kalio unaloliita mdomo!?
-Ugaidi maana yake ni kusambaza hofu kwa vitendo kwa dhamira ya dini,siasa ama mlengwa binafsi.
Haijalishi dini hao wakristo ni magaidi maana wametenda maovu kwa dhamira ya mlengwa binafsi. Ndio maana hata Mandela aliitwa gaidi kisa tu alianza harakati za kisiasa dhidi ya Makaburu.
Adolf Hitler kuhusiana na waislam kisiasa haina maana kuwa hao waislam nao walikua magaidi.
Hakuna muislam aliyehusika na kuwaua wayahudi isipokua Hitler mwenyewe alihusika. Sisi sio MATAKO YAKO USITUONGELEE UPUUZI HAPA.
Waislam hao hao mwaka 1947 waliwapokea wayahudi Ashkenazi waliofukuzwa Ulaya wakiwa uchi hawana nguo.
NI MAGAIDI WA KIKRISTO!Kwann umehusisha Ukristo?.
Kwanza, Hebu tueleze hao vijana wawili ni wakristo wa dhehebu gan?.
Wamewakilisha kikund gan cha Ukristo?.
Pili, Nazism ya Adolph Hitler haikuwa itikad ya dini, ila ni white superity na kukomesha wahamiaji .
Neo-Nazi ina maana ni Ideology ile ile ya Nazi sema imezaliwa upya.
(Neo ni new, so that's means Dini haipo hapo).
Wauaji wanaweza kuwa wa dini yoyote. Na wakachagua sehem yoyote yenye jumuiko la halaiki kufanya mauaji yao. Iwe sokoni, kanisan , beach au msikitini.
Hawa kwakuwa wameua watu msikitini sio kwamba wao ni kikund cha Kikristo. Ila ni vijana wawili wenye msimamo na malengo ya Nazism.
(kupinga uvamizi na kutaka wazungu wapewe vipaumbele).
Ni kama hizi Vurugu za South Africa. Za kutaka wageni waondoke.
Ni the same na hao vijana walichofanya.
Hii sio ugaidi.
... hata 'masihi' Trump ana picha alizopiga na 'mashehe'!Muache uongo na kusingizia ukiristo nyinyi Waislamu. Wapi umesikia hao vijana wakipiga makelele ya kumtaja Kristo au Yahweh wakati wanaua hao watu kwa risasi!?
Mbili huyo Adolf Hitler mnayemtaja kwanza nikwambie. Nyinyi Waislamu mlikuwa Washirika wake wakuu wa Mauaji ya Wayahudi. Ona hii picture
View attachment 3591811
Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…
Kwani itikadi za Nazi ni Ukristo??nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.
Wakristo ni magaidi tuKwani itikadi za Nazi ni Ukristo??
Hizo itikadi za Nazi zimeandikwa wapi kwenye Biblia?
Hizo itikadi ni kama xenophobia inayofanywa na wazawa wa South Africa dhidi ya wahamiaji wageni, haihusiani na dini yoyote
Mkiambiwa ukweli mnaleta porojo zingine. Unakataa kuwa ulisema hao hawahusiki kuwa magaidi kulingana na statement yako.Wewe tunawajua nyinyi waabudu wa shetan allah kwa matusi, hatushangai; ila vichwani mwenu kumejaa kuran mliyokariri ndiyo maana hata hamjui kuchanganua mambo. Wapi umesoma mimi nikikataa kuwa hao vijana siyo magaidi!? Ninachopinga ni kusema ati wamefanya ugaidi huo wakichochewa na imani ya kikiristo. Ndiyo maana nikauliza "Je umesikia wakipiga kelele kuwa wanaua kwa jina la Yesu? Wale wa shetani allah wao huimba allahu akibar!
Halafu inaonyesha hata kusoma Kiingereza haujui ndiyo maana unakataa ushirika wa Waislamu na Hitler kuwaua wayahudi. Maelezo kwenye picture yameweka bayana ushetani wenu.