Hapa ndipo unajua wamagharibi wakisema ugaidi wanamaanisha ni Uislamu

Unaweza kufanya point yako bila kuingia kwenye cheap provocation na sweeping generalizations ambazo zinaonyesha more emotion than analysis.

Always intellectually serious people hutenganisha religion, politics, history, na sociology. Ukiona kundi fulani la watu lina-react violently kwa criticism, hiyo haimaanishi automatically kwamba every believer wa dini hiyo ni violent, wala kwamba core doctrine yote ni uniquely evil. That’s lazy reasoning.

Comparison yako ina selective memory. Historia ya Ukristo pia imejaa violence kwa jina la dini kutoka Crusades, Spanish Inquisition, mpaka attacks dhidi ya abortion clinics Marekani au persecution ya “blasphemy” zamani Ulaya. Difference kubwa leo ni kwamba most Christian-majority societies went through centuries of secularization, Enlightenment thinking, na separation of church and state. Hiyo social evolution ilipunguza religious violence katika public sphere.

Kuhusu radical Islamist violence, hiyo ni real problem. Hakuna intellectual honesty bila kukubali hilo. Groups and individuals wamefanya murders, terror attacks, fatwas, intimidation over cartoons, novels, au criticism ya Islam. Examples ulizotoa kuhusu Charlie Hebdo shooting na Salman Rushdie ni valid references katika discussion ya extremism na freedom of expression.

Lakini ukianza kusema “Waislamu” as a monolith, unateleza kutoka analysis kwenda propaganda. Kuna zaidi ya billion Muslims duniani; wengi wao hawaendi kukata watu vichwa. Indonesian Muslim, Senegalese Muslim, Bosnian Muslim, na Taliban supporter si kitu kimoja intellectually. Mature thinking requires distinctions.

Na kuhusu atheists “kuingia baridi” partly ni kweli kwamba baadhi ya critics wanaogopa backlash kutoka extremists. Lakini pia criticism ya Christianity Magharibi imekuwa normalized for centuries, wakati criticism ya Islam imekuwa entangled with geopolitics, racism debates, immigration tensions, na post-9/11 polarization. Reality is more complex than internet-edgelord narratives.

Your observation kuhusu existence ya violent reactions si entirely wrong. Your conclusion ndiyo weak part. Correlation is not a substitute for rigorous thought. Serious critique needs evidence, nuance, and consistency si outrage dressed up as wisdom.
Ukweli mpana zaidi hata ya maandiko yenyewe na tafsiri zake ukienda deep zaidi katika chanzo ni kwamba hata muanzilishi mwenyewe wa dini ya Uislamu ni Warlord kwa hiyo haipaswi kuwa hata jambo la ajabu baadhi ya Wafuasi wake wengi kutaka kuishi aina ya maisha yake karne hii. Kwa upande mwingine Waanzilishi wa Ukristo na Ubudha walikuwa Pacifists wanaopinga aina zozote za violence kwa hiyo inapaswa kuwa jambo la kushangaza sana tukiona baadhi ya wanaojiita wafuasi wao wakiwa violent au magaidi.
 
“UNPOPULAR TRUTH”: Ukristo umeleta madhara mengi zaidi kuliko mema kwa jina la Yesu… wakati Uislamu ulijenga civilizations.

Ukristo haukuishia tu “kusambaza injili.” Kwa jina la Yesu, ulileta karne nyingi za umwagaji damu, conquest na control.

Hii ndiyo ugly list yake:

Crusades (1095–1291): Ma-Pope waliita holy wars zilizochinja mamia ya maelfu ya Waislamu, Wayahudi, na hata Wakristo wenzao wenyewe, yote kwa madai ya “kuikomboa” Holy Land.

Spanish Inquisition (1478–1834): Torture racks, watu kuchomwa moto hadharani, na forced confessions. Maelfu waliuawa kwa “heresy” huku RC Church ikichukua mali zao.

European Witch Hunts (15th–18th century): Zaidi ya watu 50,000 wanawake na wanaume waliteswa na kuchomwa wakiwa hai Ulaya na Marekani kwa sababu “Biblia ilisema hivyo.”

Colonialism & Slave Trade: Mataifa ya Kikristo yaliivamia Afrika, Americas, na Asia wakiwa na msalaba mkononi mmoja na upanga mkononi mwingine. Utumwa ulihalalishwa kwa Bible verses. Mamilioni walikufa au kufungwa minyororo.

Forced Conversions & Cultural Erasure: Indigenous people wa Americas na Australia walinyang’anywa ardhi zao, lugha zao zikapigwa marufuku, na watoto wao kupelekwa kwa lazima kwenye missionary schools.

Religious Wars Ulaya: Thirty Years’ War pekee iliua hadi watu milioni 8, karibu 20% ya population kwa sababu Catholics na Protestants hawakuacha kuuana “kwa ajili ya Yesu.”

Wakati wa utawala wa Leopold II of Belgium juu ya Congo Free State (takriban 1885–1908), historians wanaestimate kwamba mamilioni ya Wakongo walikufa kutokana na forced labor, njaa, magonjwa, executions, na brutal punishments zilizokuwa tied na rubber extraction pamoja na colonial exploitation based on racial and religious supremacy
Atrocities za Congo zinabaki kuwa moja ya colonial systems za kikatili na deadly zaidi katika modern history.

US kwa Christian Evangelism imeharibu civillizations za Libya, Iraq, Afghanistan na sasa wanataka kuipeleka Iran, back to Stone Age as per US pedosdent

Hiyo si ancient history tu. Hiyo ndiyo track record ya Ukristo kwa zaidi ya miaka 1,000.

Wakati Ulaya ilikuwa inazama kwenye Dark Ages, Uislamu ulikuwa unaangaza dunia kupitia Islamic Golden Age (8th–14th century):

Ulileta algebra, algorithms, na modern optics (asante Al-Khwarizmi the father of algorithm na Ibn al-Haytham).
Ibn al-Haytham alifanya experiments kuhusu mwanga na vision kwenye Book of Optics. Alieleza jinsi jicho linavyoona kupitia reflected light badala ya macho “kutoa mwanga,” kitu kilichosaidia foundation ya modern optics na scientific method.

Ulijenga universities na hospitals za kwanza duniani zenye free healthcare.
University of al-Qarawiyyin huko Fez, Morocco (859 CE) mara nyingi hutajwa kama moja ya universities za kwanza duniani zinazofanya kazi mpaka leo.
House of Wisdom Baghdad ilikuwa center kubwa ya translation ambapo kazi za Aristotle, Plato, Indian mathematics na Persian science zilitafsiriwa kwenda Arabic badala ya kupotea.
* Hospitals za Kiislamu kama Bimaristan za Baghdad na Damascus zilikuwa na wards tofauti, pharmacies, na treatment bila kujali uwezo wa kulipa tofauti na sehemu nyingi za medieval Europe ambapo healthcare ilikuwa limited sana.
Ibn Sina au Avicenna aliandika The Canon of Medicine, iliyokuwa standard medical textbook Ulaya kwa karne nyingi hadi Renaissance.

Ulilinda na kutafsiri knowledge ya Greek, Roman na Indian wakati Church ilikuwa inachoma vitabu na kufukuza wana sayansi kina Galileo Galilei, Isaac Newton, Charles Darwin, Michael Sevatus, Andreas Vaselius etc

Ulifanya Zakat (mandatory charity) kuwa pillar muhimu, ukisaidia kuinua mamilioni kutoka kwenye umaskini kwa karne nyingi. Katika baadhi ya Islamic empires, wealth redistribution kupitia zakat na waqf (charitable endowments) zilifadhili schools, hospitals, roads, fountains na nyumba za maskini kwa karne nyingi. Hii mpaka leo kwa nchi zenye Sharia bado wanatumia. Hata leo hii kila muislam aliyefunga analipa zakat fitr siku ya Idd ili kuwapa maskini nao washerehekee Idd vizuei bila unyonge

Ulijenga breathtaking architecture, Taj Mahal na majengo mengi Damascus, Baghdad, Cairo; medicine pamoja na astronomy iliyosaidia kuanzisha Renaissance.

Uliongoza empires mbalimbali kama Andalus Spain, Ottoman, na Mughal ambapo Wayahudi, Wakristo, na Waislamu mara nyingi waliishi kwa relative peace chini ya dhimmi protections kitu ambacho kilikuwa rare sana kwenye medieval Christian Europe.

Katika historia yote, Ukristo umeleta madhara mengi kuliko mema: conquest, fear, na division. Uislamu umeleta knowledge, charity, na progress.

The numbers don’t lie. History doesn’t lie

You are no longer being intellectually fair because emotions zimekushika.
Tumetoka kwenye
Legitimate comparison = kulinganisha kwa kusaidia kuelewa hoja.
Whataboutism = kutumia comparison kukwepa kujibu hoja ya msingi.

Kwa heri!
I am not here to babysit your emotions. If facts offend you more than ignorance embarrasses you, that’s your personal crisis to manage, not mine
 
Attachments

  • IMG_7164.jpeg
    IMG_7164.jpeg
    158.3 KB · Views: 19
Jina la mtu halina mahusiano yoyote na dini, kumbuka magaidi wate ambao wanatakuliwa wa makundi ya kiislam huwa hawahusishwi moja kwa moja kwa kupitia majina yao au mavazi yao ya kushabihiana na uislam, bali hutambulika kupitia makundi ya kiitikadi kali za uislam kukiri kuwa watu hao ni wa kwao.
 
Hivi mkuu ugaidi ni nini?

Ni namna ya kutumia nguvu kwa Kuua watu wengine ili kuhimiza lengo lako la mabadiliko ya kisiasa au kisera, nje ya sheria na katiba ya serikali ambayo iko madarakani kihalali.

Ni namna unavyotisha watu kwa njia ya vurugu na mauaji. Ili tu kuhimiza au kusisitiza ujumbe wako.
 
Hivi mkuu ugaidi ni nini?
Ukiamua tu kumuua Spika wa bunge au wale top leaders ila ukawa hauna upande wa kisiasa au kiaedeology..basi ni mauaji ya kawaida.

Ila Ukimuua Spika na ukiwa chama cha upinzan basi ni ugaidi na uhaini.

Utofauti ni nia /dhamira inayofanya utende jambo. Kama nia ni ili yeye aondoke ili mwingine awepo kwenye kiti chake. Pasipo uhalali wa kuchaguliwa. Basi ni ugaidi.
 
Ni kama hizi Vurugu za South Africa. Za kutaka wageni waondoke.
Ni the same na hao vijana walichofanya.
Hii sio ugaidi.
Sasa kwa definition yako ya ugaidi je huoni mauaji ya wageni South au kuua watu msikiti nayo pia ni ugaidi?
 
“UNPOPULAR TRUTH”: Ukristo umeleta madhara mengi zaidi kuliko mema kwa jina la Yesu… wakati Uislamu ulijenga civilizations.

Ukristo haukuishia tu “kusambaza injili.” Kwa jina la Yesu, ulileta karne nyingi za umwagaji damu, conquest na control.

Hii ndiyo ugly list yake:

Crusades (1095–1291): Ma-Pope waliita holy wars zilizochinja mamia ya maelfu ya Waislamu, Wayahudi, na hata Wakristo wenzao wenyewe, yote kwa madai ya “kuikomboa” Holy Land.

Spanish Inquisition (1478–1834): Torture racks, watu kuchomwa moto hadharani, na forced confessions. Maelfu waliuawa kwa “heresy” huku RC Church ikichukua mali zao.

European Witch Hunts (15th–18th century): Zaidi ya watu 50,000 wanawake na wanaume waliteswa na kuchomwa wakiwa hai Ulaya na Marekani kwa sababu “Biblia ilisema hivyo.”

Colonialism & Slave Trade: Mataifa ya Kikristo yaliivamia Afrika, Americas, na Asia wakiwa na msalaba mkononi mmoja na upanga mkononi mwingine. Utumwa ulihalalishwa kwa Bible verses. Mamilioni walikufa au kufungwa minyororo.

Forced Conversions & Cultural Erasure: Indigenous people wa Americas na Australia walinyang’anywa ardhi zao, lugha zao zikapigwa marufuku, na watoto wao kupelekwa kwa lazima kwenye missionary schools.

Religious Wars Ulaya: Thirty Years’ War pekee iliua hadi watu milioni 8, karibu 20% ya population kwa sababu Catholics na Protestants hawakuacha kuuana “kwa ajili ya Yesu.”

Wakati wa utawala wa Leopold II of Belgium juu ya Congo Free State (takriban 1885–1908), historians wanaestimate kwamba mamilioni ya Wakongo walikufa kutokana na forced labor, njaa, magonjwa, executions, na brutal punishments zilizokuwa tied na rubber extraction pamoja na colonial exploitation based on racial and religious supremacy
Atrocities za Congo zinabaki kuwa moja ya colonial systems za kikatili na deadly zaidi katika modern history.

US kwa Christian Evangelism imeharibu civillizations za Libya, Iraq, Afghanistan na sasa wanataka kuipeleka Iran, back to Stone Age as per US pedosdent

Hiyo si ancient history tu. Hiyo ndiyo track record ya Ukristo kwa zaidi ya miaka 1,000.

Wakati Ulaya ilikuwa inazama kwenye Dark Ages, Uislamu ulikuwa unaangaza dunia kupitia Islamic Golden Age (8th–14th century):

Ulileta algebra, algorithms, na modern optics (asante Al-Khwarizmi the father of algorithm na Ibn al-Haytham).
Ibn al-Haytham alifanya experiments kuhusu mwanga na vision kwenye Book of Optics. Alieleza jinsi jicho linavyoona kupitia reflected light badala ya macho “kutoa mwanga,” kitu kilichosaidia foundation ya modern optics na scientific method.

Ulijenga universities na hospitals za kwanza duniani zenye free healthcare.
University of al-Qarawiyyin huko Fez, Morocco (859 CE) mara nyingi hutajwa kama moja ya universities za kwanza duniani zinazofanya kazi mpaka leo.
House of Wisdom Baghdad ilikuwa center kubwa ya translation ambapo kazi za Aristotle, Plato, Indian mathematics na Persian science zilitafsiriwa kwenda Arabic badala ya kupotea.
* Hospitals za Kiislamu kama Bimaristan za Baghdad na Damascus zilikuwa na wards tofauti, pharmacies, na treatment bila kujali uwezo wa kulipa tofauti na sehemu nyingi za medieval Europe ambapo healthcare ilikuwa limited sana.
Ibn Sina au Avicenna aliandika The Canon of Medicine, iliyokuwa standard medical textbook Ulaya kwa karne nyingi hadi Renaissance.

Ulilinda na kutafsiri knowledge ya Greek, Roman na Indian wakati Church ilikuwa inachoma vitabu na kufukuza wana sayansi kina Galileo Galilei, Isaac Newton, Charles Darwin, Michael Sevatus, Andreas Vaselius etc

Ulifanya Zakat (mandatory charity) kuwa pillar muhimu, ukisaidia kuinua mamilioni kutoka kwenye umaskini kwa karne nyingi. Katika baadhi ya Islamic empires, wealth redistribution kupitia zakat na waqf (charitable endowments) zilifadhili schools, hospitals, roads, fountains na nyumba za maskini kwa karne nyingi. Hii mpaka leo kwa nchi zenye Sharia bado wanatumia. Hata leo hii kila muislam aliyefunga analipa zakat fitr siku ya Idd ili kuwapa maskini nao washerehekee Idd vizuei bila unyonge

Ulijenga breathtaking architecture, Taj Mahal na majengo mengi Damascus, Baghdad, Cairo; medicine pamoja na astronomy iliyosaidia kuanzisha Renaissance.

Uliongoza empires mbalimbali kama Andalus Spain, Ottoman, na Mughal ambapo Wayahudi, Wakristo, na Waislamu mara nyingi waliishi kwa relative peace chini ya dhimmi protections kitu ambacho kilikuwa rare sana kwenye medieval Christian Europe.

Katika historia yote, Ukristo umeleta madhara mengi kuliko mema: conquest, fear, na division. Uislamu umeleta knowledge, charity, na progress.

The numbers don’t lie. History doesn’t lie

You are no longer being intellectually fair because emotions zimekushika.
Tumetoka kwenye
Legitimate comparison = kulinganisha kwa kusaidia kuelewa hoja.
Whataboutism = kutumia comparison kukwepa kujibu hoja ya msingi.

Kwa heri!
I am not here to babysit your emotions. If facts offend you more than ignorance embarrasses you, that’s your personal crisis to manage, not mine
Islamic Golden Age ilikuwa kipindi kizuri sana kwa Uislamu kabla extremists wakina Abu Hamid Al-Ghazali na wenzake hawajaanza harakati zao za kuzimisha Sayansi, reasoning na secularism kwenye ulimwengu wa Kiislamu. Leo ni haramu kujenga kanisa Saudi Arabia, kupata kibali kujenga makanisa katika nchi nyingine za Gulf ni kama kutafuta kibali cha kuingiza kitimoto.

Pia vita vya Uislamu vimeua sana watu katika historia ya dunia.

Yazid genocide- Zaidi ya Wayazid elfu tano.

Bangladesh genocide(1971)- Mauaji ya Wahindu milioni 3 yalifanywa na majeshi ya Kiislamu.

Armenian Genocide (1915–1916)-Watu milioni 1.2

Greek genocide iliyofanywa na Ottoman (1914-1923)- Wakristo Wagiriki milioni 1 waliangamia

Assyrian genocide(1914-1920) chini ya Ottoman- Wakristo wa Assyrians 750,000 waliangamia.

Massacre of Chios (1822)- Wakristo laki 1.5

Fez Massacres(1033)- Wayahudi zaidia ya 6,000 waliangamizwa na majeshi ya Kiislamu.

Bakhtiyar Khilji (c. 1200)- Uharibifu mkubwa wa historia na makumbusho ya Ubudha India.

Mahmud of Ghazni (11th Century)- Alikuwa barbaric muuaji anayefanya plundering India na massacre ya zaidi ya watu 70,000

Assyrian Christian Massacre (1310)- mji mzima wa Wakristo uliangamizwa na kusababisha kufa kwa kanisa nchi za Iraq

Darfur genocide (2003-2008)- Watu nusu milioni wameangamia.
 
Hapo unachanganya baadhi ya facts, generalizations na framing ya kihistoria ambayo si accurate kitaaluma. Kwa lens ya historiography (critical historical method), unagundua kwamba unafanya selection bias, anachronism na over-simplification ya complex events.

Islamic Golden Age (8th–13th century) iliendelea hata baada ya al-Ghazali (d. 1111). Scholars kama Ibn Rushd (Averroes), Ibn al-Nafis (circulation of blood), Al-Tusi (astronomy) na Ibn Khaldun (al Muqaddimah na Book of Lessons - foundations of sociology, historiography and political economy in the Islamic world with focus on history, society and the rise and fall of civilization) waliendelea kutoa intellectual breakthroughs baada yake.
Madrasa system haikuua science ila ilibadilisha priority from pure Greek philosophy kwenda theology na applied sciences.

George Saliba (Columbia University historian of science) argues that decline of science was gradual and linked more with economic fragmentation, Mongol invasions and institutional changes,
si mtu mmoja.
“One philosopher cannot collapse a civilization’s scientific output.”

Ni kweli hakuna makanisa Saudi Arabia lakini context muhimu inakosekana.
Mbona hata huko kwenye makanisa mengi US na Europe mengi yanafungwa na yananunuliwa na waIslam kugeuza kuwa misikiti?

Saudi Arabia ina strict interpretation ya Sharia in public religious architecture.
Mgeni hawezi kupata kibali cha kujenga jengo lolote bila kuwa na ushirikiano na raia ambao 99.9% ni waislam sasa kanisa nani atalijenga na pia hakuna maeneo yaliyotengwa kwa ajili hiyo kwani hata misikiti yote ni mali ya serikali na maimam wote ni waajiriwa wa serikali.
UAE, Qatar, Bahrain zina makanisa na Hindu temples ambazo zipo officially allowed. Mf: St. Joseph’s Cathedral (Abu Dhabi) na Christian na Hindu Mandir/temple compounds zipo Dubai, Kuwait Bahrain na Oman na Hindu expatriate community ambao population yao ni kubwa zaidi kuliko hata waislam raia wanaenda freely
Abu Dhabi, UAE kuna msikiti unaitwa Masjid Maryam Umm Issa yaani Mary, Mother of Jesus unalijua hilo? Heshima ya jina hilo maana yake nini?
Je kuna masjid/msikiti au synagogue au hata kanisa la dhehebu lolote zaidi ya RC mfano Anglican, Lutheran au SDA hapo Vatican City?
Hata baadhi ya nchi Afrika huwezi kupata kibali cha kujenga makanisa kama ilivyo Tz makanisa ya bati yapo vichochoroni

Kwa maana hiyo, kukosekana kwa kanisa sio uniform Islamic policy bali state law variations na political theology, sio uIslam in general.

Kwenye Historical massacres list, problem ya attribution umeweka events nyingi, lakini kuna issue kubwa unaziframe zote kama Islamic violence wakati nyingi ni imperial wars (Ottoman, Mughal, Safavid) political empires, not purely religious jihad, ethnic conflicts, colonial-era violence na nationalist wars

Armenian Genocide (1915–1916) Ilifanywa na Young Turks (Ottoman nationalist regime) during WWI. Historians wengi huiita ethno-nationalist genocide, not purely religious Islamic campaign.

Bangladesh 1971 ni conflict kati ya Pakistan army na East Pakistan independence movement. Bangladesh ilijitoa kutoka Pakistan na kuanzisha taifa lake. Victims wengi ni Bengalis (Muslims and Hindus). Academically inaitwa political-military repression, not Islam vs Hinduism religious war.
Huwezi kuita vita ya Mau Mau Kenya au MajiMaji Tz au Civil wars Angola na genocide za Rwanda au hata vita DRC Congo ni ya kidini ingawa waathirika wengi ni wakiristo wenyewe kwa wenyewe

Darfur (2003–2008) ni ethnic, resource na political conflict. Victims wengi ni Muslim African groups vs Arab militias, sio religious wars.

Kwa hiyo hapo ni Aggregate attribution fallacy i.e kuchukua violence ya centuries na empires tofauti, then kuiweka kwenye label moja ya religion.

Maana ukienda kwa style hiyo hata Gaza genocide itabidi tuite mauaji ya kidini
baina ya US and Israel Jews/Christian against Palestian Muslim/Christians licha ya kuwa hawakutumia dini kama kigezo.
Mifano niliyokupa hapo awali nilikueleza na kauli za viongozi wanasiasa au wachochezi wa hizo vita kwa vifungu vya dini kama ulivyotolea mifano ya IS, Al Qaeda etc

The narrative you try to present reflects a selective moral history, not a balanced historiographical analysis. It conflates empires with religion, individuals with civilizational decline and political violence with theological doctrine.

Historia haifanyi kazi kwa kuorodhesha matukio tu bali inahitaji kuelewa context, causation na agency.
Bado unashindwa kutofautisha kulinganisha kwa kusaidia kuelewa hoja ila unafanya comparison kukwepa kujibu hoja ya msingi
 
Unafanya cherry picking za hapa na pale nyepesi sana, Mauaji ya Ottoman na Gaza ni ethnoreligious genocides kama ilivyo mauaji ya Wasudan Kusini katika civil war ya miaka 20 iliyopelekea mauaji ya watu milioni 2 iliyosababishwa na North Sudan kulazimisha kutaka kuweka utawala wa sharia Sudan.
 
Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark mwenye miaka 17 na Caleb Vazquez mwenye miaka 18 wakifariki kutokana na majeraha ya kujipiga risasi wenyewe.

Polisi pia walieleza kuwa nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.

Na mama wa mmoja wa washukiwa anaripotiwa kupokea ujumbe ambao mwanawe aliacha kabla ya tukio hilo, huku maudhui yake yakibaki kufichwa na mamlaka mpaka sasa.

Lakini pamoja na tukio hili kuwa:
shambulio dhidi ya nyumba ya ibada, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia chuki ya kidini, na washambuliaji kujitoa mhanga wenyewe, bado dunia haikulikimbilia kulitaja kama “ugaidi.”
Hakukuwa na vyombo vya habari vikubwa vikifanya matangazo ya siku nzima juu ya “ugaidi wa Kikristo.”

Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…

Dunia nzima ingetikisika kwa neno:
“Islamic Terrorism.”
Masjid ungegeuzwa ushahidi wa “itikadi hatari.” Qur’an ingeshutumiwa.
Ndevu, Hijab na Takbir vingetazamwa kwa hofu. Na Waislamu duniani kote wangetakiwa kujitetea kwa kosa ambalo hawakulifanya.

Hapa ndipo unapouona wazi unafiki wa mfumo wa habari wa dunia ya leo:
damu ya Waislamu haipimwi kwa mizani Sawa, na ugaidi hupewa jina kulingana na dini ya anayefanya, si ukubwa wa uhalifu wenyewe.

Ikiwa Muislamu akifanya uhalifu:
dini yake ndiyo hutuhumiwa.
Lakini asiye Muislamu akifanya mauaji:
huambiwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, au “mtu aliyepotea njia.”

Huu ndio uso wa viwango viwili vya dunia ya leo. Na ndio maana Waislamu wengi wanaona kwamba neno “ugaidi” limekuwa silaha ya kisiasa inayotumiwa dhidi ya Uislamu na Waislamu zaidi kuliko kuwa maelezo ya uhalifu wenyewe.

Hivyo vitendo vya umwagaji damu ndio ugaidi basi hakuna magaidi katika wamagharibi na nguruwe wa kiyahudi. Ila kama kuwa muislamu mwenye mapenzi na dini yake ndio ugaidi basi tunakubali kuwa sisi ni magaidi.Tutashinda!!
Nazism is a far-right ideology, it has nothing to do with any religion.
Labda swali simple, kwani hao madogo zaidi ya ushahidi inaonyesha ni ma-Nazi kuna sehemu waliotoa kauli zinazoashiria ni religious fanatics na wako kwenye makanisa au cults zipi?
 
Unafanya cherry picking za hapa na pale nyepesi sana, Mauaji ya Ottoman na Gaza ni ethnoreligious genocides kama ilivyo mauaji ya Wasudan Kusini katika civil war ya miaka 20 iliyopelekea mauaji ya watu milioni 2 iliyosababishwa na North Sudan kulazimisha kutaka kuweka utawala wa sharia Sudan.
Ha haa umeweka kila conflict kwenye blender ukatoa ‘genocide smoothie’ halafu unadhani hiyo ni analysis!. Kila vita yenye dini au ethnicity involved si automatically genocide. Hiyo ni TikTok degree ya geopolitics.

Ottoman massacres, Gaza, Sudan civil war zote zina historical contexts tofauti, actors tofauti, motives tofauti na legal classifications tofauti. Wewe umeona watu wamekufa na dini imetajwa = ‘same WhatsApp group’. Hiyo si argument, ni oversimplification ya kiwango cha Facebook uncle wa 2016.

Na hiyo line ya ‘North Sudan kulazimisha sharia’ unaizungumza kama mtu aliyesoma headline mbili akaamua yeye sasa ni UN investigator! Sudan civil war ilikuwa decades-long political, ethnic, economic na regional conflict yenye layers kibao kuliko hizo one-liners zako.
South Sudan walijitenga kutoka Sudan, mbona bado kuna mauaji kote North Sudan na South Sudan wanabaguana kikabila wakati wote ni dini moja?

Hii si cherry-picking, ni wewe kufanya copy-paste ya suffering za watu tofauti halafu kuziforce ziwe identical ili statement yako ionekane deep.
History si meme template ya ‘they’re literally the same’.”
 
Mtu anaebishana na makafir ya kikristo namuona hana akil hayo majamaa ni mataahira kuliko utaahira wenyewe, watatetea upumbavu wao kwa nguvu zote

Jiulize swali

Nchi ambazo zinajinasibu ni zenye aman na kusamehe hasa za ulaya na Amerika pamoja na hao magaidi kobaz kwa mwaka 2025 hadi sasa wakina nani wameua watu wengi kupitia vita hawatajibu kamwe

Halaf kutwa nzima kuwasema kobaz magaidi na wao wanaupendo, sio kwamba hawaoni bali ni jinsi walivyo wanapenda kuona waislamu wanakufa na wasiwepo kabsa duniani

Jiulize pia vita ya kwanza na ya pili ya dunia walikufa watu wangap? Je kobaz walihusika hawatajibu pia
 
Qur’an 3:186 (Surah Aal-Imran):
“Hakika mtatiwa majaribuni katika mali zenu na nafsi zenu, na hakika mtasikia maudhi mengi kutoka kwa wale waliopewa Kitabu kabla yenu na kutoka kwa wale wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu. Lakini mkisubiri na mkamcha Mwenyezi Mungu, basi hakika hayo ni katika mambo yanayohitaji azma.”

Qur’an 29:46: (Surah Al Ankabut)
“Wala msibishane na Watu wa Kitabu (kabla yenu) isipokuwa kwa namna iliyo bora zaidi… na semeni: ‘Tumeamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyoteremshwa kwenu, na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja.’
 
Watu watano wamefariki dunia katika shambulio dhidi ya msikiti mmoja huko San Diego nchini Marekani, baada ya washukiwa wawili kuvamia eneo hilo kabla ya kujitoa uhai kwa kujipiga risasi.
Waumini watatu Waislamu waliuawa ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu, huku washambuliaji hao wawili Cain Clark mwenye miaka 17 na Caleb Vazquez mwenye miaka 18 wakifariki kutokana na majeraha ya kujipiga risasi wenyewe.

Polisi pia walieleza kuwa nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.

Na mama wa mmoja wa washukiwa anaripotiwa kupokea ujumbe ambao mwanawe aliacha kabla ya tukio hilo, huku maudhui yake yakibaki kufichwa na mamlaka mpaka sasa.

Lakini pamoja na tukio hili kuwa:
shambulio dhidi ya nyumba ya ibada, mauaji ya watu wasiokuwa na hatia chuki ya kidini, na washambuliaji kujitoa mhanga wenyewe, bado dunia haikulikimbilia kulitaja kama “ugaidi.”
Hakukuwa na vyombo vya habari vikubwa vikifanya matangazo ya siku nzima juu ya “ugaidi wa Kikristo.”

Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…

Dunia nzima ingetikisika kwa neno:
“Islamic Terrorism.”
Masjid ungegeuzwa ushahidi wa “itikadi hatari.” Qur’an ingeshutumiwa.
Ndevu, Hijab na Takbir vingetazamwa kwa hofu. Na Waislamu duniani kote wangetakiwa kujitetea kwa kosa ambalo hawakulifanya.

Hapa ndipo unapouona wazi unafiki wa mfumo wa habari wa dunia ya leo:
damu ya Waislamu haipimwi kwa mizani Sawa, na ugaidi hupewa jina kulingana na dini ya anayefanya, si ukubwa wa uhalifu wenyewe.

Ikiwa Muislamu akifanya uhalifu:
dini yake ndiyo hutuhumiwa.
Lakini asiye Muislamu akifanya mauaji:
huambiwa alikuwa na matatizo ya kisaikolojia, msongo wa mawazo, au “mtu aliyepotea njia.”

Huu ndio uso wa viwango viwili vya dunia ya leo. Na ndio maana Waislamu wengi wanaona kwamba neno “ugaidi” limekuwa silaha ya kisiasa inayotumiwa dhidi ya Uislamu na Waislamu zaidi kuliko kuwa maelezo ya uhalifu wenyewe.

Hivyo vitendo vya umwagaji damu ndio ugaidi basi hakuna magaidi katika wamagharibi na nguruwe wa kiyahudi. Ila kama kuwa muislamu mwenye mapenzi na dini yake ndio ugaidi basi tunakubali kuwa sisi ni magaidi.Tutashinda!!
wamekufa watu watano tu mmepata justification ya ugaidi wewe ni mpumbavu sana
 
Nadhani ulimaanisha mke wangu na mama yangu, maana mimi ni mume. Kwani wewe mumeo na mama yako ni wapumbavu.
Una jinsia mbili? Toka lini wewe ukawa mwanaume? We si umeolewa kama miaka miwili iliyopita na una umezalishwa mtoto kabisa dada kidawa.
 
Aiseee.. Umejaribu kumuona daktari mkuu?? Nadhani una changamoto ya afya ya akili. Au kwenye ndoa yako unapitia unyanyasaji wa kijinsia?? Kama mumeo anakutesa mfikishe katika vyombo vya sheria.
 
Back
Top Bottom