Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
- Thread starter
- #81
Dada mtoto wako una umri gani kwasasa? Vp ile schizophrenia ulitibiwa? Pole sanaAiseee.. Umejaribu kumuona daktari mkuu?? Nadhani una changamoto ya afya ya akili. Au kwenye ndoa yako unapitia unyanyasaji wa kijinsia?? Kama mumeo anakutesa mfikishe katika vyombo vya sheria.