Hapa ndipo unajua wamagharibi wakisema ugaidi wanamaanisha ni Uislamu

Ila Iran akijilinda na America invasion inakua nongwa si ndiyo?

ni wapi na lini imekuwa ni nongwa kwa irani kujilinda? wanapaswa kujilinda, haki ya kujilinda dhidi ya uvamizi ni ya yoyote, hata tanzagiza tuna haki ya kijilinda dhidi ya uvamizi wa barbaria islamist somalis ..
 
Wanawatendea unyama jamii ya waislamu matokeo yake Wakristo wanaishi kwa hofu!!!!!..

hofu walioitafuta wenyewe kwa matendo yao ya kikakitili rohoo mbaya chuki dhidi ya waislamu,,

mungu kawapa pigo tu ofu ya kulipiziwa!!

ndio inawatesa Wakristo wengi Duniani.

Kama mnakumbuka Trump wkt wa kampeni za Uchaguzi wake wa kwanza!!
kuna kijana wa Kizungu alisema tu. Mungu ni mkubwa kwa kutumia maneno ya Kiarabu😜😜

Doooo Trump kaonekana kachanganyikiwa kabisa kiakili yani kaonekana anataka kusimama kukaaa kukimbia. Ndani ya sekunde chache 6tu!!!!
Kapatwa na mshtuko mkubwa wa Moyo,

sababu Wazungu Wakristo wanawauwa sn jamii za Waislam ndiomana kwasasa nikama wanawaogopa waislamu✍️
 
ni wapi na lini imekuwa ni nongwa kwa irani kujilinda? wanapaswa kujilinda, haki ya kujilinda dhidi ya uvamizi ni ya yoyote, hata tanzagiza tuna haki ya kijilinda dhidi ya uvamizi wa barbaria islamist somalis ..
The more you learn the more you realize how little you know.Hao wavamizi unao kwenye imagination yako?Unajua maana ya uvamizi?Baba yako angetumia condom angetuepusha na hii adha ya kubishana na wewe zumbukuku.
 
Muache uongo na kusingizia ukiristo nyinyi Waislamu. Wapi umesikia hao vijana wakipiga makelele ya kumtaja Kristo au Yahweh wakati wanaua hao watu kwa risasi!?
Mbili huyo Adolf Hitler mnayemtaja kwanza nikwambie. Nyinyi Waislamu mlikuwa Washirika wake wakuu wa Mauaji ya Wayahudi. Ona hii picture
 
Kama hujui si unayamazishe tu hilo kalio unaloliita mdomo!?
-Ugaidi maana yake ni kusambaza hofu kwa vitendo kwa dhamira ya dini,siasa ama mlengwa binafsi.
Haijalishi dini hao wakristo ni magaidi maana wametenda maovu kwa dhamira ya mlengwa binafsi. Ndio maana hata Mandela aliitwa gaidi kisa tu alianza harakati za kisiasa dhidi ya Makaburu.
Adolf Hitler kuhusiana na waislam kisiasa haina maana kuwa hao waislam nao walikua magaidi.
Hakuna muislam aliyehusika na kuwaua wayahudi isipokua Hitler mwenyewe alihusika. Sisi sio MATAKO YAKO USITUONGELEE UPUUZI HAPA.
Waislam hao hao mwaka 1947 waliwapokea wayahudi Ashkenazi waliofukuzwa Ulaya wakiwa uchi hawana nguo.
 
Kwani wanakosea? Hata ukiristo una historia ya ugaidi pia. Serikali ndizo zinaongoza kwa ugaidi.
 
Kuna magaidi na washambuliaji, hao walikuwa washambuliaji tu wa raia. Magaidi wengi ni waislam.
 
Wewe tunawajua nyinyi waabudu wa shetan allah kwa matusi, hatushangai; ila vichwani mwenu kumejaa kuran mliyokariri ndiyo maana hata hamjui kuchanganua mambo. Wapi umesoma mimi nikikataa kuwa hao vijana siyo magaidi!? Ninachopinga ni kusema ati wamefanya ugaidi huo wakichochewa na imani ya kikiristo. Ndiyo maana nikauliza "Je umesikia wakipiga kelele kuwa wanaua kwa jina la Yesu? Wale wa shetani allah wao huimba allahu akibar!
Halafu inaonyesha hata kusoma Kiingereza haujui ndiyo maana unakataa ushirika wa Waislamu na Hitler kuwaua wayahudi. Maelezo kwenye picture yameweka bayana ushetani wenu.
 
Wameita "hate crime "
Pale landon Kuna mabuda wa kiisrael walipigwa visu na mwislmu na hawakufa ni ugaidi!
 
NI MAGAIDI WA KIKRISTO!
MANAZI NA NEO-NAZI NI WAKRISTO!
 
... hata 'masihi' Trump ana picha alizopiga na 'mashehe'!
 
Hakukuwa na mijadala mikubwa ya kuhoji mafundisho ya Ukristo.
Hakukuwa na madai ya kufungwa makanisa wala kufuatiliwa kwa Wakristo wote duniani. Lakini lau tukio kama hili lingefanywa na Muislamu…
nje ya gari lao kulikutwa kontena la gesi lenye alama ya SS (Schutzstaffel), ishara inayohusishwa na itikadi za Neo-Nazi na misimamo ya kibaguzi yenye historia ya umwagaji damu.
Kwani itikadi za Nazi ni Ukristo??
Hizo itikadi za Nazi zimeandikwa wapi kwenye Biblia?

Hizo itikadi ni kama xenophobia inayofanywa na wazawa wa South Africa dhidi ya wahamiaji wageni, haihusiani na dini yoyote
 
Kwani itikadi za Nazi ni Ukristo??
Hizo itikadi za Nazi zimeandikwa wapi kwenye Biblia?

Hizo itikadi ni kama xenophobia inayofanywa na wazawa wa South Africa dhidi ya wahamiaji wageni, haihusiani na dini yoyote
Wakristo ni magaidi tu
 
Mkiambiwa ukweli mnaleta porojo zingine. Unakataa kuwa ulisema hao hawahusiki kuwa magaidi kulingana na statement yako.
-Shetani ni Yesu ambaye aliruhusu Pope Francis abariki ndoa za mashoga.
-Everybody know Hitler killed jews himself no one outside Germany was involved. The same muslims you are yapping here calling them terrorists are the one welcomed Ashkenazi jews from Europe in 1947.
Nikikuita Hanithi unasema nakutukana.

Hao unaowadai wanatamka Allahu Akbar ni kwa matakwa yao na kwa maslahi yao binafsi ambayo hayahusiani na uislam. Maana uislam unapinga ugaidi.
Pia Allah maana yake ni Mungu,hata biblia za kiarabu wanatumia neno Allah kwasababu ni arabic word describing God.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…