Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Scars Kalpana OKW BOBAN SUNZU Kiweriweri uran Tsh oneni huyu Uto..... anatoa shutuma.Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao.
So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa wanamaliza nguvu za wachezaji na tunajikuta inabidi kuwa boost sometimes. Wasipokuwa boosted. Unaona team inakuwa mdebwedo sana.
View attachment 3164200
YAS MKUU, MIXX BY YAS. HAKUNA NAMNA.
Hilo lililopiga picha na dubela mbona ni demu wa Utopolo toka utopolo ianzishe account insta?? Hahahaaaa watapagawa mwaka huu
Siku mkipevuka na kuacha ujinga, mtakua mmesaidia sana soka la bongoMademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao.
So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa wanamaliza nguvu za wachezaji na tunajikuta inabidi kuwa boost sometimes. Wasipokuwa boosted. Unaona team inakuwa mdebwedo sana.
View attachment 3164200
FactTANZANIA YANGU.
UMASIKINI.
UJINGA.
MARADHI.
ILA UJINGA NA UPUMBAVU UKIZIDI NDIO KASHESHE.
Kabisa kama tutaacha haya mambo na kujidungaSiku mkipevuka na kuacha ujinga, mtakua mmesaidia sana soka la bongo
Kwa hiyo hao wachezaji hawajui madhara ya kutumikisha miili yao kwa wanawake kupindukia?Basi YAS imesajili mataahira.Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao.
So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa wanamaliza nguvu za wachezaji na tunajikuta inabidi kuwa boost sometimes. Wasipokuwa boosted. Unaona team inakuwa mdebwedo sana.
View attachment 3164200
Wanasubiria container la bidhaa za Christmas...lazima waweke mzigo wa maana due wameanza kudhalilikaTatizo tumechelewa kuagiza sindano toka china mpaka zimekata😂😂😂😂😂
Hahaaa; Kwahiyo Tobo la Diara chanzo ni demu?