Bora elfu 2 kuliko elfu 30! Wewe hupigi ganji kwenye harakati zako?Kama watanzqnia wanaipenda rushwa kiasi hiki mpaka kuwa washabiki na watetezi wa rushwa basi Kuna umuhimu wa kuendesha mjadala wa kuifuta taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, pia inayodili na maadili ya utumishi wa umma.
Basi hao wakifukuzwa kazi mkuu roho yako kwatuuuuuu, alafu wanaopiga billions of money mnakuja kuwaimbia pambio humu.Hapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea,
Hapa kama sio Airport basi ni njia panda ya segereaNyerere road hii kwenda Gongo la Mboto😆😆
Hahahaha mkuu unasimamishwa ukatoe mkono wa pongezi au shukrani? Mbona ni daladala pekee?Mkuu,
Mimi naona ni posho ambayo madereva kwa upendo mkubwa wameamua kumpa kaka na dada trafiki
Ila kwa kua limefika humu..wata shuhurikiwa ikiwemo kuhamishwa vituo vya kazi..
JAMHURI YA MUUNGANO... KAZI IENDELEE..
😊😊 Mkuu kwa siku hawakosi 30k mpaka 100kHahahaha mkuu unasimamishwa ukatoe mkono wa pongezi au shukrani? Mbona ni daladala pekee?
Au Hawa ndio wanao ona kazi nzuri inayofanywa na wahusika? Hivyo vibegi vikikaguliwa unaweza Pata majibu kama wale trafik wa iringa walivyokamatwa na takukuru au wa nchi jirani
Huu mkono wa shukran una walakini
Tukitaka haki anzeni na hao mapapa..Hivyo midagaa iendelee kufanya itakavyo?
Naona umeanza kuelewa huo mkono wa shukran maana yake nini?😊😊 Mkuu kwa siku hawakosi 30k mpaka 100k
Unakazi nzito ya kufundisha kizazi chako namna bora ya kuishi na wewe kuwa mfano wa wanao.Tukitaka haki anzeni na hao mapapa..
Vidagaa vinakusanya hela ndogo ambazo hata zikihesabiwa mwaka hazifiki robo ya wanazochukua hao mapapa.
Sitetei wafanya hiyo ila tutume na clip za hao mapapa wanavyokwapua hela zetu huko sio kuwaonea hawa tu.
Wao wakale wapi acheni unokoHapa ni wapi, hawa wanajulikana, Kamanda Mulilo, IGP Wambura hapana naona mtaharakidha kuto press Release kama mfanyavyo kwenye matukio mengine. Zaid kongole kwa camera man wa kujitegemea.
View attachment 3202252
Wrong is wrong even if everyone is doing it,Japo sipend rushwa ila hii sio njia sahihi sana kuwaadhibisha wahusika..
Kuna maisha baada ya hichi kitu ulicho post.
Tunahangaika na vidagaa tunawaacha mapapa serikalini waokwapua mabilioni ya hela kwenye miradi .
Tena hela ambazo zimekusanywa tayari.. Si bora huyu ni hela ambayo hata haijaingia serikalini..