Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?


Acha kuumiza kichwa wewe
 
mapenzi sio pesa lkn
Acha kujidanganya bro, hakuna penzi kwenye shida za hivyo, we unanafuu humjali mwenzio yeye abaki anateseka kisa penzi hamna kitu kama hicho. Na vile kakutana na wanaume wa Kichaga wanajua kuhonga na kupetipeti watoto wazurii, kazi unayo na ubahiri wako mdogo wangu.
 
Huyo Dada ndo tayar hivyo hata mimi ilishanitokea hivyo hivyo tatizo ni malimbukeni kwa majitu waliyokutana NAyo tu ghafla nakutuona sisi tunaiwapenda na kuwathamin hatufai cha muhimu ni kunyamaza tu kama bado anaupendo atakutafuta kama hana hatokutofuta na Ww usipoteze muda chukua chombo kingine hawa wanawake wa chuo ni hewa hasa ukiwa nao mbali huyu wangu ckumoja nilimvulia uvivu nikamwambia aseme moja kama yuko in or out akaanza kujing'atang'ata ila mwsho akasema anampenz mwingine basi na Mimi toka hapo nikampotezea sa hivi ni salamu tu hata moyo hauumi tena kwanza wasichana warembo wako wengi sanaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…