Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
- Thread starter
- #321
sawaaaaMambo mengine hata siyakuomba ushauri nikujiongeza tuu mwenyew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaaaaMambo mengine hata siyakuomba ushauri nikujiongeza tuu mwenyew
hahaaaaKweli inzi kafia kwenye kidonda tena
asant mkuujibu unalo mwenyew mkuu
gillah ganiiiPole sana
Msalimie Gillah
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
sawa mkuuAcha kuumiza kichwa wewe
cccc
sawa mkuuEndelea kusubiri
Dogo acha masihara , basi kwa vile hukujiongeza kumtumia pesa kisa hakuombi ndo keshapata wanaojua kuhudumia na ishakula kwako brodaa kiukweli yeye hajapata mkopo wala bum na mimi nmepata lakini hana mazoea ya kuniomba pesa
mapenzi sio pesa lknDogo acha masihara , basi kwa vile hukujiongeza kumtumia pesa kisa hakuombi ndo keshapata wanaojua kuhudumia na ishakula kwako bro
Acha kujidanganya bro, hakuna penzi kwenye shida za hivyo, we unanafuu humjali mwenzio yeye abaki anateseka kisa penzi hamna kitu kama hicho. Na vile kakutana na wanaume wa Kichaga wanajua kuhonga na kupetipeti watoto wazurii, kazi unayo na ubahiri wako mdogo wangu.mapenzi sio pesa lkn
Nmeipenda ID yako aisee nmeduwaa 2 apa naitafakariMambo mengine hata siyakuomba ushauri nikujiongeza tuu mwenyew
Huyo Dada ndo tayar hivyo hata mimi ilishanitokea hivyo hivyo tatizo ni malimbukeni kwa majitu waliyokutana NAyo tu ghafla nakutuona sisi tunaiwapenda na kuwathamin hatufai cha muhimu ni kunyamaza tu kama bado anaupendo atakutafuta kama hana hatokutofuta na Ww usipoteze muda chukua chombo kingine hawa wanawake wa chuo ni hewa hasa ukiwa nao mbali huyu wangu ckumoja nilimvulia uvivu nikamwambia aseme moja kama yuko in or out akaanza kujing'atang'ata ila mwsho akasema anampenz mwingine basi na Mimi toka hapo nikampotezea sa hivi ni salamu tu hata moyo hauumi tena kwanza wasichana warembo wako wengi sanaaaaaaaMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Morogoro(SUA) nina mpenzi wangu ambaye naye yupo chuo kikuu Moshi (Mweka), lakini tangu aende chuo nimekua simuelewi kabisa.
Nikipiga simu anasema amechoka wakati zamani alikuwa anapiga hadi saa 7, sms nikituma hajibu nisipoanza hata anitafuti lakini nampenda sana.
Naombeni ushauri nifanye nini ili penzi letu lisivunjike?
Mwanzo ni ngumu ila utazoea tunimefikiria hayo maamuzi ya kumuacha lakini nashindwa najua nitaumia sana