Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

Bw mdogo potezea tu..kama lipo jambo gumu maishani ni lile la kumdhibiti mtu mzima..kama wako atarejea kama si wako basi...
 
Soma kaka utafeli msuli wa chuo sio lelemama wewe unawaza K ambayo mmili yupo nayo huko moshi ama kweli wewe dhaifu sana
 
kiukweli nampenda sana
Shida ipo hapo kwenye neno SANA, ikiwa umeliweka katika vitendo ndo umeharibu kabisa. Bora ungeishia kupenda na kuuachaa asilimia kubwa ya moyo kufanya kazi yake kuu ya KUSUKUMA DAMU.

Hautakiwi kupenda SANA, penda kwa KIASI na akizingua piga chini. Hili ninalokueleza hauwezi kulitambua mpaka yakukute makubwa zaidi.

Asipopiga simu au kujibu meseji mchunie hivohivo mpaka mtakapopigana chini asipojirekebisha
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom