Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
- Thread starter
- #241
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakubaliToo much these cases
ok kakaa,hamna namnaBw mdogo potezea tu..kama lipo jambo gumu maishani ni lile la kumdhibiti mtu mzima..kama wako atarejea kama si wako basi...
Kipaumbele cha mwaka wa fedha 2017-2018unampa pesa za kutosha
Kipaumbele cha mwaka wa fedha 2017-2018
siwazi kSoma kaka utafeli msuli wa chuo sio lelemama wewe unawaza K ambayo mmili yupo nayo huko moshi ama kweli wewe dhaifu sana
Shida ipo hapo kwenye neno SANA, ikiwa umeliweka katika vitendo ndo umeharibu kabisa. Bora ungeishia kupenda na kuuachaa asilimia kubwa ya moyo kufanya kazi yake kuu ya KUSUKUMA DAMU.kiukweli nampenda sana
asante mkuuShida ipo hapo kwenye neno SANA, ikiwa umeliweka katika vitendo ndo umeharibu kabisa. Bora ungeishia kupenda na kuuachaa asilimia kubwa ya moyo kufanya kazi yake kuu ya KUSUKUMA DAMU.
Hautakiwi kupenda SANA, penda kwa KIASI na akizingua piga chini. Hili ninalokueleza hauwezi kulitambua mpaka yakukute makubwa zaidi.
Asipopiga simu au kujibu meseji mchunie hivohivo mpaka mtakapopigana chini asipojirekebisha
nimefikiria hayo maamuzi ya kumuacha lakini nashindwa najua nitaumia sana
umeishia hapo?Endelea kujifariji
tatizo moyounashindwaje kumuacha mtu alie mbali?