oscar classic
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 731
- 1,367
You are Positive. Kongole kwako.Watu mnalaumu tu
Wakati mwingine rizki tunapeana tu kama wabebaji wasingekuwepo ni wazi kuwa jamaa angevuka vizuri tu na mkewe angekunja gauni wavuke
Maji yenyewe ya magoti tu
Huwezi kukomaa jamaa wanakwambia bro tunakuvusha kwa elfu mbili tu we na mkeo
Wakati mwingine unagombewa ukiwa unakaribia tu kufika eneo hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbali wa kukaa mtu mmoja baada ya mwengine umeshausahau?? Na barakoa hujavaa.
Ulivyomkumbatia mbebaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mkeo ana msambwanda [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi tayari
2. Mnapeleka maambukizi kwa kutovaa barakoa na umbali kati ya ntu na ntu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji kujua kitu kimoja ambacho Tanzania tumefanikiwa, miundombinu ovyo, technology ovyo, hata kufanya kazi watu wavivu, maofisini ukienda unaangaliwa tu, watu wengi afya mgogoro vitambi kila kona badala ya mazoezi, ukiwa kibonge na matako makubwa unakua very popular huku ni afya mgogoro, yaani we are doing all the wrong things [emoji23]
Ila we jamaa mdebwedo sana aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani maji mafupi hayo unashindwa kukunja sarawili yako utembee mwenyewe kweli mwanaume mzima unapakatwa?!
Hivi unajiskiaje kubebwa na mwanaume mwenzio mgongoni kama mwali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa vyema kama we ndio ungembeba mkeo na sio kuachia wenzio wanamshika tu.
Muwage na wivu hata kidogo maji mafupi hayo.
Dar kumemuharibu huyo mkuu,huenda huko nyuma hakuwa hivyo
Kujiendekeza tu na kupenda raha. [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji1787],mkuu mdogo wake na shemeji wa kike yupo? Niunganishie mzee
Si umeona kijijini kwao kulivyo,ameishi Dar ameshayasahau mazingira ya kwao,eti hadi avushwe tena na mkewe abebewe,doh,aangalie asije kubebewa mazima,[emoji12][emoji12]
Kama mkishindwana na mkeo uniPM namba yake nimemwelewa sana na nywele zake za kisabato
Shida sio maji mkuu shida ni maji yana presue kali mno unakwenda na maji kisa umeogopa kutoa pesaHahahaaa. Tena.
Ila sio mleta uzi peke yake ujue wapo Me wengi siku hizi wanaogopa maji mbaya. Wapo radhi wabebwe namna hiyo ila si maji kuwagusa.
Halafu unasikia mtu anasema 500 kitu gani bora nibebwe tu. Lol.
kwa hiyo mayai sana! duhh! umeshindwa hata kumprotect huyo unaachia anakumbatia vijamaa vimekomaa misuli!! Kisa hutaki shida!! umefeli! tena bilo BarAKOa!!
Ukimbeba mtu unakuwa na "Grip" zaidi hata maji ya kutembea ni ngumu kukupeleka. Japo mnakuwa mnarisk sana!Kutoka dar mpaka kijijiniView attachment 1426076View attachment 1426077
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmekulia mjini hamuzijui vizuri mito ndio maana siwashangaiNilijua ataandika hapa namvusha mke wangu kutoka ng'ambo hii kwenda nyingine