Hapa utakuta ni kisa demu tu mshakaji anafanya maamuzi haya ya kufurahisha wengine

Atajuta siku ya hukumu ya mwisho atakapokutana na aliyemkimbia kumbe ndiye jaji siku hiyo
 
Hii haiwezi kuwa uongo, tayari Quran tukufu imeandika hayo

Muhimu tuzidishe ibada Wanaume ili tukaonje pepo njema huku tukipewa zawadi ya hao bikra 72

Ndani ya miaka 3 nitakuwa na Watoto 150 hivi πŸ€—
 
utafutaji una mambo mengi, usipotuliza akili chochote utakachoelekezwa lazima ufuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…