Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
-
- #61
mzigo umemzidi punda, japo nampenda sana wifeHawa watu ni shida kama hujaoa kwa kweli jiulize sana mana mkeo ni mke wetu pia...aweza kuwa ana utii na heshima kwa hawara kuliko wewe mume...
thank you madamNgoja akirudi au akikutafuta umsikie anasemaje!
Usijipunguzie Siku za kuishi kirejareja hivo!
Huyo kashakumudu kazi ipohaujui, daah
kweli kani win , nimeingia kwenye 18 zake dahHuyo kashakumudu kazi ipo
pole sana mkuukweli kani win , nimeingia kwenye 18 zake dah
Daah broo pole ! Yaan wanawake bana wahenzi sana mtu akimuwini kidogoo tuu ana sahau mtu wake maana kabisa ,!! Usahaur akirudi mpokee, kwa afya yako mpime magonjwa ya zinaa na vvu , kwa kulinda familia yenuNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali,
sio poa mkuuUkiendelea kuruhusu hili,next time atakupiga kibao cha makalio na kukisifia huku ukibaki unacheka tu.
sawabhana, mwambie homu watoto wana mliliaHuyu mke wako hachoshi mzeee nimetafuna minofu usiku kucha, sema namalizia mbili tatu nikurudishie mzigo wako mtu mwenyewe anajua style zle old fashion
Haina noma ntamwachia, sema akirudi home mwambie aboreshe usafi wake binafsi bn unaishije na mke vuzi Amazon 🤔kwapa njano, kanambia ww unakaa tu home una gubu kinoma skia usiwe unakaa sebuleni mda wote kasake chochote sio kila siku yy ndo breadwinnersawabhana, mwambie homu watoto wana mlilia
hali si shwariWe Zombi haujui... eti Simba la masimba Dangote [emoji2149][emoji2149]
life is full of uncertainities chiefHaina noma ntamwachia, sema akirudi home mwambie aboreshe usafi wake binafsi bn unaishije na mke vuzi Amazon 🤔kwapa njano, kanambia ww unakaa tu home una gubu kinoma skia usiwe unakaa sebuleni mda wote kasake chochote sio kila siku yy ndo breadwinner
We zombiii haujui simba la masimbaaa dangote..........Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.