Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Nifah kumbe mambo ndo moto [emoji91][emoji91][emoji91] hivyo acha nimsubiri Hawa wangu amaliziwe kuumbwa.Kulikuwa na haja gani ya kuweka kipande cha wimbo uliousikia wakati unapiga simu Mkuu? Lols
Lakini wala sikucheki, mi pia niko hivyo asipopatikana hapakaliki.
Huna kosa, uko sahihi na mwenzio kwakuwa ameshakujua anapaswa kujiweka ktk mazingira ya kukupa amani.
Nikimaanisha mawasiliano imara, kila wakati.
Ukatili huo"Kudanja" ubongo umetafuta maana yake kwa muda kidogo😅.
Muache mke afanye kazi ,watakurudishia wakimaliza kazi.
Ni shidraaWale waliokuwa “bado hawajaoa wanazidi kujifunza”
Msome kuelewa ili mjue mnajifunza nini kutokana na scenario wanazokutana nazo kaka zenu waliooa wafanyakazi wakiamini watasaidiana maisha.
To yeye ndoa ni kipengele ukipata chaguo la watu tutafute machaguo yetu.Ni shidraa
Mpe moyo😂Ukatili tena mama?
Mke yuko kazini lakini...
Kwa hiyo kichwa anayomiliki huyo mleta uzi??hapana😅🙌Mpe moyo😂
Hapo si kila kitu kipo wazi.Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Nimepitia bro,tulishindwana....sins imani tena kwamba yupo wanguTo yeye ndoa ni kipengele ukipata chaguo la watu tutafute machaguo yetu.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Pole.Nimepitia bro,tulishindwana....sins imani tena kwamba yupo wangu
Asante mkakaPole.
😂🙌Kwa hiyo kichwa anayomiliki huyo mleta uzi??hapana😅🙌
maumivu anayonipa huyu wife dahKulikuwa na haja gani ya kuweka kipande cha wimbo uliousikia wakati unapiga simu Mkuu? Lols
Lakini wala sikucheki, mi pia niko hivyo asipopatikana hapakaliki.
Huna kosa, uko sahihi na mwenzio kwakuwa ameshakujua anapaswa kujiweka ktk mazingira ya kukupa amani.
Nikimaanisha mawasiliano imara, kila wakati.
niko safari naelekea domuMkeo atakuwa analiwa huko na njemba nyingine sio bure mkuu.
Kaa chini utulize kichwa ufanye maamuzi sahihi.
thank u chiefDaah broo pole ! Yaan wanawake bana wahenzi sana mtu akimuwini kidogoo tuu ana sahau mtu wake maana kabisa ,!! Usahaur akirudi mpokee, kwa afya yako mpime magonjwa ya zinaa na vvu , kwa kulinda familia yenu
sio kwa wote mkuunimesogeza mbele maswala ya kuoa kumbe hali ndo ipo hivyo kwenye ndoa.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
sitaki kuamini kama nimechapiwaHongeraa kwa kuchapiwaa mkuuu ni kawaidaa tu
kwanini mkuuKwa hiyo kichwa anayomiliki huyo mleta uzi??hapana😅🙌