Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Pole sana mkuu.bado sijampata
Hujawaza kureport polisi hadi muda huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu.bado sijampata
kabla ya leo jioni nitaripotiPole sana mkuu.
Hujawaza kureport polisi hadi muda huu?
Kazini kwake wamesema kwamba hayupo kazini?kabla ya leo jioni nitaripoti
Unatombewa bro tena fanya harakaNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
bila shaka chiefHabari yako kijana,
Hivi uko serious na hili jambo?
Hatua uliyochukua ndio hiyo ya kuelekea dodoma kumtafuta?bila shaka chief
Mkuu tuanzie hapa kwanzaNdugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.
Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.
Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.
Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
haujuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
😂😂😂😂😂
Kesi ya ngederenapanga kwenda kumshitaki ofisini kwake, ama ahame hio taasis
maamuzi yake ya mwisho yawe yapMkuu tuanzie hapa kwanza
vipi ulienda ofisini kwake kuulizia kama mkeo kasafiri kweli kuelekea dodoma kikazi na je, ulipeleka lalamiko kwa mkurugenzi wake akuambie mkeo yupo maeneo gani maana hapatikani na una wasiwasi na usalama wake kama mume wake?
kama mwanaume fanya huo utaratibu hapo juu kimnyakimnya ila tambua mtu mzima hachungwi yupo dodoma anazagamuliwa kisawasawa na huu ndiyo ukweli.
Piga kimnya akirudi ,piga kimnya msuse alafu uwe busy na mishe zako yani usimuonyeshe dalili yeyote ya kuumizwa au kuteseka kwake . Jikaze kiume atajirudi tuu. Yani mpotezee hata akirudi ishi nae kama unaishi na msela geto busy na michongo yako na hakuna kugusa kitumbua yake. Alafu uje ulete mrejesho
sio poah chief
[emoji23][emoji23][emoji23] we danja masela wale pilau na msiba ni wa kwenu yaani tunazika leo kabla hatujaanua matanga taratibu za ndoa unafanyika huku daadeqdaah nahisi kudanja kwa pigo anazo niletea wife
Umempataje mkuu, details tafadhali..!!Nime mpata mkewangu ,now nikosafari narudi dar