Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi

Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja.

Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida ya jioni anakuwa amechoka na kazi za kiofisi na kuamua kupumzika.

Juzi juzi nilipiga simu mida ya sa 12 :30 hivi nikawa nasikia makelele ya muziki "We zombi haujui eti Simba Simba Dangote" nikahoji ukowapi mwenzangu? Mkewangu akageuka mbogo hapo hapo na kuwa mkali, huku akinituhumu kuwa nimezidisha wivu, kiasi kwamba hapumui eti nina mapenzi ya kizamani.

Yani hapa moja haikai, mbili haikai, natamani hata kwenda Dodoma muda huu ila sijui yuko wapi!
Unatombewa bro tena fanya haraka
 
Mkuu tuanzie hapa kwanza

vipi ulienda ofisini kwake kuulizia kama mkeo kasafiri kweli kuelekea dodoma kikazi na je, ulipeleka lalamiko kwa mkurugenzi wake akuambie mkeo yupo maeneo gani maana hapatikani na una wasiwasi na usalama wake kama mume wake?

kama mwanaume fanya huo utaratibu hapo juu kimnyakimnya ila tambua mtu mzima hachungwi yupo dodoma anazagamuliwa kisawasawa na huu ndiyo ukweli.

Piga kimnya akirudi ,piga kimnya msuse alafu uwe busy na mishe zako yani usimuonyeshe dalili yeyote ya kuumizwa au kuteseka kwake . Jikaze kiume atajirudi tuu. Yani mpotezee hata akirudi ishi nae kama unaishi na msela geto busy na michongo yako na hakuna kugusa kitumbua yake. Alafu uje ulete mrejesho
 
maamuzi yake ya mwisho yawe yap
 
Back
Top Bottom