Naikuru
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 189
- 268
Mke au mume anapopata safari. Kabla hajatoka muage kwa maombi ya nguvu sana na kukemea kila uharibifu unaotegemewa au utakaotokea bila kutegemewa, kataa katika jina na Yesu Kristo.. huku mmeshikana mikono ukiombs kwa kumaanisha...
Nakuambia hii sala inafanya kazi kabisa..
Ilishwahi kunitokea. Nikapanga safari ya kwenda dar kufata cheti changu, huku kuna mtu wangu nmepanga nae kwamba tutakutana..
Siku ya safari ilipigwa maombi ya hatari.. kufika dar ile ratiba ikavurugika balaa mwenyeji wangu naye kaniganda balaa hadi siku ikaisha kesho yake tukaenda kuchukua cheti bado nagandwa kweli kweli... mpka naondoka dar nikarudisha upwiru wangu nyumbani.
Hivyo hivyo nilipata safari ya mbeya nakwambia ilipigwa sala hatari. Sikufanikiwa kabisa... japo natafuta lakini zinagonga mwamba kabisa.
So please muombee mwenza wako kabka ya kuondoka na endelea kumwombea ulinzi...